Wakwanza Leo patanisho🎉muachane na ndoa za mapema ...
The best thing huyo jamaa anafaa ku assume Brenda akipiga hizo kelele zake, mwishoe atatulia tu. Ni utoto unamsumbua
😢😢😢Feel sorry for Brenda.. Asi jilazimishe kwa ndoa. Aki she really need help and guidance.. Atafute vile anaweza peleka mtoto home atafute kazi.. Luck of financial support ndio ina mpush kwa marriage
Woiyeee.....19yrs.....mtoto 8months now he wants to quit and leave her with the kid😅😅..... Reminder:: Anything involving hurting men mniamshe ata saa nane usiku i will😂😂😂
Akoth yawa rudi shule plzz
19 yrs na mm niko 42 na sijaolewa kuna watu wana bahati
19yrs Brenda you have a long way to go
wah 19yrs 1 yr in marriage it's no for me, or mayb problems zinakufanya uangukie kuolewa
Ongeza sauti hapo!!😂😂mwanaume hapendi pere!!pere!! mingi ..
Mwaume apewe respect mambo itakua sawa
Hi brenda uko
Alafu akisikia Brenda ameenda Saudi ataanza kumpenda, Brenda toka huko mbio huyo mwanaume nimuongo Na anakudharau.
Atafute passport aje apatane na waiguru na hiyo mdomo anafaa achange n she be humble in this life
Huyu jamaa nae ako na roho ngumu amsamehe tuu na amuweke kwa njia ya kweli huyu brenda miaka bado iko chini inafaa aongozwe na mama mkwe amfunze vitu zingine
gidi hawa ni young lovers.bdo ndo wanaanza kutambwa maisha
Huyu mwanaume amsamehe Brenda... she is a small girl who needs guidance. They both need counselling. They are young for marriage
She is still young. Apelekwe polepole tu by 25 atakua sawa.
Gost na kicheko.....saidiani Brenda please
I was married at this age am now regretting l divorced after 2 yrs hadi leo naumwa heri kuolewa ukiwa 26 and above wee men😢😢
Pre mature marriage consequences.
Boy should be supportive to the young girl
Wololo makubwa haya
Jitume dada utaheshimiwa
Luyhas we don't neglect our children huyu Ni mluya Wa wapi surely 😢 .
Manenos
I like brenda so much bcoz she gives her mind freely. Phanuel and his family might be too much on Brenda, coz i heard Phanuel saying that his fagher went for Brenda. Mzee amekua shemeji tena🤔🤔🤔.
How can you tell your wife to go and marry and do comparison when you know that even you is not perfect.
Leo nasinama na boychild huyu dame apewe tym kiasi abadilike
what busness can my father be doing with my wife? ukwe ilienda wapiii?
Brendah,,,,,ungali young ask for guidance kwa mtu mkubwa dhen uone utafanya nn but don't go back to phanuel utazeka mapema,,,,,leave phanuel na hicho kiburi chake hakitawai msaidia😢😢😢😢
huyu jama hataki ku garamika ,yeye si anajua alioa msichana mdogo ,na sahi wako na mtoto wa 8 months, jali masilahi ya mtoto wenu ,mlizaa mtoto kwa raha yenu
19 yrs ameolewa😢😢 na Mimi hapa 40!!! Kweli dunia ni dwara😮😮😮
Wambui, uko 40 na huna bwana? Niko 43 na natafuta. Hebu ni inbox tuterete hani.
You set high standards, but will settle for low and below your expectation.
Mashinda ni mbaya kama ndizo zilimfanya aolewe that early
Huyu jamaa anahepa kulea mtoto
Gidi na ghost nyiseme ...ni more fire ni kelele na vichwa ngumu sana
Both are young youth they only need guidance please Gidi en Ghost tafuteni mtu wa kuwaelekeza wanandoa wengi walio na shinda kama hizi better we be contributing for payments, is not good watu kuwachana for no big reason aki
Izi ndoa za mapema n Shida tupu akii😢
Do this man understand that he is not married but he has two kids in his house,,,inafaa alee watoto wake bila stress. Ukiòa mtoto kubali mega ipigwe,glass zifunje,,,na vituko lazima,,,,,,Jamaica na mshauri achukue watoto wake apambane na hali yake. He is the mother and father until his big daughter matures. Sisi numezoea kulea our marred daughters na bado tuna hope for maturity change
Yaani 19 yrs na mapenzi yashaakuzungusha hvo😂😂daaah😂😂
Ooh my, may God have mercy on this young girl. Yaani jamaa anakukataa live and you are there forcing yourself 😢😢. Please go back to school
Hahaha the girl she's Still young akii na vile Wajaluo wa Busia n weusi na hawatairi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Brenda go ahead with youre life..lea mtoto wako tia bidii.If he wants to support youre child well n good.
Gidi noo..hio advise nayo🙆🏽♀️🤦🏽♀️
Lakini reasoning ya jamaa ni ya 5yrs old
Huyo jamaa yuahepa majukumu
Brendah atafute tuu mtu wa kumsurpot arudi shule
19 is very little
Nimehurumia huyo mwana dada sana
DON'T JUDGE HER AGE circumstances are the one pushing some of people to do soo.😊
Sisi wa 30s hatuna mbio 😂😂 mapenzi ww
🤪🤪 ATI alianza kusubua na 2 weeks
Last Year Friday 😂 😂😆🤣 ingekuwa boy,Gidi angeuliza maswali 69.
Rudi kwenu msichana huko na watu wa kukuadvice
Yeye alioleka na 19 na mm nlioleka na 14 ak ju ya shinda
19yrs with divorce alarm
Msiseme mtu mwanaume hata Brenda anapenda jokes,mbona amereazon last minute kama mtu amekoma Kwa ndoa. hata yy ajue mwanamume ni kichwa ya ndoa.
Uyu mwanaume ni mhanyaji.Amepata wengine
Niukwal dia huo aweza badilika Branda soon ataletew mke walal kwa bad moja
Brenda she still young she need help yawaaa
Individuals saying that marrying young is a mistake, do you want to tell me that those who marry while 30 plus years old are the ones marrying at the right time, yet after a short while their leaks are all over social media even before starting honeymoon?? Let us be practical and rational, marriage does not have the right age and also any scheme to follow, it relies on an individual maturity and having an information of what it takes to be called a wife or a husband. Otherwise in my opinion, marrying young will always be better than marrying old from all the angles, not unless you view it from one side. That is why a number of women are cruel with this lady here since she is 19 married and with the kid, while them they are over 30s yet no husband, no kid and they would strongly emphasize how being married young is bad as a lady because they want those ladies to grow old and be miserable with them. I repeat, no amount of wealth and standard will even come close to beating the prize and significant of having a family and a home, if you find your partner even if you are 18, settle down, but no what it takes; be responsible and accountable, and God will bless you. Marriage is church, family is christ.
Some mama mukwes??? Weeeh!
Jama saizi ndio amejua msichana ako na mdomo wakati ameweke mtoto wa wenyewe mimba na kumuacha
Giddy hiyo wife wamwelewe Ni ndogo sana
The gal is desperate. She needs something to do. Hiyo ndo shida ya kuolewa bila kazi Yako. Madharau ya huyo mjamaa is too much alafu they are taking advantage coz the gal is young
Wajaluo wa busia bure kabisa
Fanuel is a disgrace kabisa.Brenda should recollect herself and make a move in life that will improve her future being.
Siku njema uanza asubui,huyu brenda apelekee mamake mtoto akuje saudi tuchspe kazi hapo akuna ndoa
This is a very arrogant guy, may Brenda find a very mature and very nice person. He is too immature.
Brenda go back to school you are too young.
19 year's bado ni mapema, kitambo 30 year's utakua umejoka , huyo jamaa akutaki ,tafuta kazi ulee mtoto wako
Can we reach brenda for assistance....she needs help