Mwalimu Yanga ajibu tuhuma za ushirikina na hujuma kwenye timu ya Yanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 17 днів тому +2

    Mmmmh hiki kipindi kinaoji mashabiki wa yanga tu Yani mpaka mwenye kipindi ni yanga mtangazaji ni yanga hii aijakaa sawa Simba nguvu moja 💪

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 16 днів тому +3

    Tz hatuna mwl wa namna hii.hana maadili ya ualimu.

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 19 днів тому +1

    Dah nimeinjoi Sana Leo juu ya MWALIM ❤

    • @ndaniya18
      @ndaniya18  18 днів тому

      Umemuelewa 🤣🤣🤣

  • @Fei-l4x
    @Fei-l4x 18 днів тому +2

    Jamaa anajuwa sana eko kwake

  • @muxxajadon8086
    @muxxajadon8086 19 днів тому +1

    Mwalimu yangaaa😂😂😂 nomaa sana

  • @chemstry409
    @chemstry409 17 днів тому

    Ikikupendeza Mualike Mwalimu tena aje studio...Maana Jamaa ana vitu vingi sana....

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 19 днів тому +2

    Mwalimu uko vizuri

  • @bollywoodentertainment8081
    @bollywoodentertainment8081 15 днів тому +1

    Mtangazaj anazingua,,muache mwalimu aongee

  • @kizitomkude
    @kizitomkude 19 днів тому +1

    upo vizuri, mfano mzee madrums

  • @ImotheoMshani
    @ImotheoMshani 18 днів тому

    si rahisi hivyo top scoler kushuka kunatatizo

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 19 днів тому +2

    Mwandishi gani huyo anauliza mwenyewe halafu mwl anapoanza kujibu yeye anamtangulia mbele ili mwl asijenge hoja

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 18 днів тому +2

    Leo mwandishi umepata shule ya maana.....wekezeni kwenye weledi na utafiti kuliko kueneza upumbavu huu unaoendelea

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 19 днів тому +7

    Mzee Bakharesa ni mwanachama hai wa Simba hadi leo. Sasa kwa nini watu wasiseme Azam ni tawi la Simba wengine wakatae?

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 19 днів тому +2

    Mwalimu Defence ya Yanga haina usajili, yalikuwa makosa makubwa kumtoa Gift Fred

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 дні тому +1

    Shida wachambuzi uchwara wengi ni simba ambao maadui wazi wa yanga.

  • @fadhiligasper4067
    @fadhiligasper4067 18 днів тому +1

    Sijui unanielewa😂

    • @ndaniya18
      @ndaniya18  18 днів тому

      Sijui unanielewa 🤣🤣🤣🤣

  • @EmmanuelMkeba
    @EmmanuelMkeba 17 днів тому +1

    HAWA KWELI WACHAWI, WAKIBANWA NA SINDANO WANAIKIMBILIA SIMBA ,NINYI AZAM KAWAGUNDUA

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 19 днів тому +2

    Tiborowa alikuwa yanga na kaenda Azam, popaty yanga na Yuko azam

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 19 днів тому +1

    ..mwandishi Bhakhresa ni mwanachama halisi wa kadi ya Simba

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 17 днів тому +1

    Kasuga ww ni yanga damu tunajua Wana Simba Hadi hayo maandishi Yenu ni ya rangi ya njano na kijani tu ndo yametawala

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 День тому +1

    Mwl Yanga achana na hao waandishi wa habari uchwara unaongea nao nini?

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 19 днів тому +2

    Huyu mtangazaji katumwa nini..mbona anahoji harafu hataki kuckia ukweli

  • @SeifumpeliMpeli
    @SeifumpeliMpeli 19 днів тому +1

    Namkubali kaka wakati wetu umefika wa kulalamika

  • @adamiddymbali402
    @adamiddymbali402 17 днів тому +1

    we jamaa kuna wakat unaongea fact muda mwngne pumba

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 19 днів тому +1

    Kama unazungumzia kusaidia basi simba kasaidia mara nyingi saana kwenye kimataifa

  • @ImotheoMshani
    @ImotheoMshani 18 днів тому

    hawezi kuwa na kumbukumbu

  • @sebastianmaige7102
    @sebastianmaige7102 19 днів тому +2

    Huyo mtangazaji anaonekana ni mshabiki wa makolo mbona hamuachi mwalimu aongee akamaliza

    • @ndaniya18
      @ndaniya18  19 днів тому

      Anatafuta ku balance story.

  • @josephshishira6301
    @josephshishira6301 17 днів тому +1

    Mwl. Pumba tupu

  • @Isfarisfar-q7z
    @Isfarisfar-q7z 19 днів тому +1

    Ibla unamshika pabaya uyo mbna maswali ajibu uyo mwalimu gani uyo

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 19 днів тому +1

    Ako kamaaa ni kakolo nakajua Vizuri

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 19 днів тому +2

    HUYU JAMAA NILIKUWA NAMUONA WAMAANA SANA TATIZO USHABIKI UMEMMALIZA ISSUE YA BAKA ANASEMA KAONEWA HOVYO SANA TUWE WAKWELI KATIKA UKWELI SIYO UWE YANGA AU SIMBA UKWELI UBAKIE PALE

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 19 днів тому +1

    LINAPOTOKEA JAMBO LA UKWELI WEWE UKALETA USHABIKI NDIYO UNAKUWA USHABIKI MAANDAZI KOSA LA BAKA JAMAA ANADAI WAZIRI AACHIE KITI KWELI NI AKILI HIZOO MWALIMU WA WAPI?

  • @AlfredBowa-b8r
    @AlfredBowa-b8r 19 днів тому +1

    Mandundu Ndio wamefulai siio wananchi

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 19 днів тому +1

    ... mwandishi una matatizo Sana, kwnn hutulii ukampa Mwl nafasi akupe majibu ya maswali yakoo?.....mbona unamkatiza?...au na wewe ndiyo walewale ?

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 19 днів тому +1

    Kasuga unazingua hebu acha tupate madini unamkatisha Sana mwalim Kila nondo anavyo taka kuzitoaa unafanya Kama kwenye kipindi chako Cha kipenga acha hizo bana

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 16 днів тому +1

    Uyu jamaa anaitwa mwalimu sijuwi sijawai kumwelewa sababu muongo sana na apendagi kuwa mkweli yanga team yetu mbovu na mpila mchezo wa wazi kilam2 anaona yanga team yetu mbovu wazee wengi tufukuze wazee tulete vijana kama wenzetu simba

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 15 днів тому

      Wewe ni panya road na panya road kweli ni wabovu ukibisha subiri mwisho wa msimu utaona Wananchi wanavyobeba tena ubingwa wao. Huwezi kuwa Mwananchi halafu ukaukana ukweli kwamba Yanga ni timu bora sana kwasasa.

  • @allymaranya426
    @allymaranya426 18 днів тому

    Acha mtu aongeeee unmatchable mtu asimlz kuongea

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope 19 днів тому +1

    Acheni usenge Wana yanga yule MCHAMBUZI katetea mpira usiharibike na hakutaja timu yeyote wasenge nyie Kuma

  • @EmmanuelMkeba
    @EmmanuelMkeba 17 днів тому +1

    ETI AMANI YA NCHI NDIKO MNAKO KIMBILIA,KARIA ALIPUMZIKA MMEANZA

  • @edsonbaitholomeo7414
    @edsonbaitholomeo7414 14 днів тому

    mwalinu wewe nimkojo wewe sasa ivi una shua boy una mdasili una farid una dube wote wametoka azam,una chama una baleke una mkude ulikuwa na okra awajatoka simba kwaiyo simba nayo niyanga ongelea mpira acha upumbavu ongelea mpira

  • @salummakadi311
    @salummakadi311 19 днів тому +2

    Mwalimu.hawezi kuongea ukweli hao ndio washirikina mbona haongei vidonge na sindano?

    • @ndaniya18
      @ndaniya18  19 днів тому

      Doh

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 15 днів тому +1

      vidonge na sindano wataongea panya road wanaotafuta sababu za kukosa ubingwa miaka mitatu na wanne unakuja