Ndani ya 18
Ndani ya 18
  • 27
  • 67 505
Ramovic apiga marufuku vilevi Yanga, Starehe zinashusha kiwango cha Azizi Ki
Ndani ya 18 imekaa na Movich kuzungumza kuhusu kocha mpya wa Yanga, Sead Ramovic na kinasho shusha kiwango chha Azizi Ki kwa sasa.
Переглядів: 5 292

Відео

Mwalimu Yanga ajibu tuhuma za ushirikina na hujuma kwenye timu ya Yanga
Переглядів 24 тис.21 день тому
Mwalimu Yanga ajibu tuhuma za ushirikina na hujuma kwenye timu ya Yanga
Mchome Mapovu atoa utabiri wa dabi hii, anatumika na Yanga?
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
Mchome Mapovu atoa utabiri wa dabi hii, anatumika na Yanga?
Foby - Wasanii wengi wanakimbilia Yanga kufuata pesa, Aziz Ki na Feisal bado hawana ubora
Переглядів 156Місяць тому
Foby - Wasanii wengi wanakimbilia Yanga kufuata pesa, Aziz Ki na Feisal bado hawana ubora

КОМЕНТАРІ

  • @hockingsshangali1747
    @hockingsshangali1747 День тому

    mwalimu usitumie nguvu nyingi nyingi kupambana na huyu mjinga. nimpambe wa simba katumwa ndio maa na hataweza kwanini.

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx День тому

    Mwalimu upo upo vizuri, huyo mtangazaji ni mnafiki anakuuliza maswali ya kinazi, kwani yeye haoni hujuma wanazofanyiwa yanga, mnafiki tu huyo IBRA,

  • @johnmsagga5327
    @johnmsagga5327 День тому

    Wewe ni mwalimu mpovu kuliko walimu wote WA shule za msingi no liwahi kuwaona

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 3 дні тому

    Mwl Yanga achana na hao waandishi wa habari uchwara unaongea nao nini?

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 дні тому

    Shida wachambuzi uchwara wengi ni simba ambao maadui wazi wa yanga.

  • @annomgaya7450
    @annomgaya7450 5 днів тому

    Kumutukana Manara je

  • @HidayaOmare-hj6cp
    @HidayaOmare-hj6cp 6 днів тому

    Movich yuko vizr hana kujisikia kabisa

  • @PatrickMlungusye-yu7ms
    @PatrickMlungusye-yu7ms 7 днів тому

    Movich uko fresh,,,KASUGA HONGERA KWA UBUNIFU KAKA,,,Mr Chumvi NACHINGWEA hapa.

  • @TimMwandeja
    @TimMwandeja 7 днів тому

    Hongera movch ukovizuri endelea kuitangaza yanga yetu mungu akubariki,Asante.

  • @BahatKashindye
    @BahatKashindye 7 днів тому

    movch utafika mbali

  • @BahatKashindye
    @BahatKashindye 7 днів тому

    movch utafika mbali sana

  • @LightnessBenny-km5nw
    @LightnessBenny-km5nw 7 днів тому

    Hii chanel itafika mbali yupo serious. Big up mpo vizurii saana hamnalongo longo.

  • @AidaRamadhani-f6g
    @AidaRamadhani-f6g 7 днів тому

    Moviki uko vinzuri sana

  • @fredylucas2484
    @fredylucas2484 7 днів тому

    Nottingham Forest walipanda daraja na kuchukua Champions league

  • @kaizambilinyi8105
    @kaizambilinyi8105 7 днів тому

    Ibrahim nakukubali sana

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 11 днів тому

    Et tuwe watu wa football unamaanisha??mbona ww ndo unaongoza kuropoka huongeagi kimpira kenge maji ww

  • @JamesMohammed-o6h
    @JamesMohammed-o6h 13 днів тому

    Yanga yako mbov

  • @CostaTine
    @CostaTine 15 днів тому

    Ujinga unakusumbua

  • @FidelisCosmas-w1p
    @FidelisCosmas-w1p 16 днів тому

    Mjinga hajijui hahahahaaaa

  • @edsonbaitholomeo7414
    @edsonbaitholomeo7414 16 днів тому

    mwalinu wewe nimkojo wewe sasa ivi una shua boy una mdasili una farid una dube wote wametoka azam,una chama una baleke una mkude ulikuwa na okra awajatoka simba kwaiyo simba nayo niyanga ongelea mpira acha upumbavu ongelea mpira

  • @NtahEdward
    @NtahEdward 17 днів тому

    Achen mambo izo Simba hatuna mambo ya hovyo hayo ni mambo ya nyuma mwiko

  • @bollywoodentertainment8081
    @bollywoodentertainment8081 17 днів тому

    Mtangazaj anazingua,,muache mwalimu aongee

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 18 днів тому

    Tz hatuna mwl wa namna hii.hana maadili ya ualimu.

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 18 днів тому

    Uyu jamaa anaitwa mwalimu sijuwi sijawai kumwelewa sababu muongo sana na apendagi kuwa mkweli yanga team yetu mbovu na mpila mchezo wa wazi kilam2 anaona yanga team yetu mbovu wazee wengi tufukuze wazee tulete vijana kama wenzetu simba

    • @msemakweli...
      @msemakweli... 17 днів тому

      Wewe ni panya road na panya road kweli ni wabovu ukibisha subiri mwisho wa msimu utaona Wananchi wanavyobeba tena ubingwa wao. Huwezi kuwa Mwananchi halafu ukaukana ukweli kwamba Yanga ni timu bora sana kwasasa.

  • @jose-i4d5y
    @jose-i4d5y 19 днів тому

    Mwl. Pumba tupu

  • @EmmanuelMkeba
    @EmmanuelMkeba 19 днів тому

    HAWA KWELI WACHAWI, WAKIBANWA NA SINDANO WANAIKIMBILIA SIMBA ,NINYI AZAM KAWAGUNDUA

  • @EmmanuelMkeba
    @EmmanuelMkeba 19 днів тому

    ETI AMANI YA NCHI NDIKO MNAKO KIMBILIA,KARIA ALIPUMZIKA MMEANZA

  • @adamiddymbali402
    @adamiddymbali402 19 днів тому

    we jamaa kuna wakat unaongea fact muda mwngne pumba

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 19 днів тому

    Kasuga ww ni yanga damu tunajua Wana Simba Hadi hayo maandishi Yenu ni ya rangi ya njano na kijani tu ndo yametawala

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 19 днів тому

    Mmmmh hiki kipindi kinaoji mashabiki wa yanga tu Yani mpaka mwenye kipindi ni yanga mtangazaji ni yanga hii aijakaa sawa Simba nguvu moja 💪

  • @ManB-nv8xb
    @ManB-nv8xb 19 днів тому

    Awana jipya wanyonge wa tabora

  • @chemstry409
    @chemstry409 19 днів тому

    Ikikupendeza Mualike Mwalimu tena aje studio...Maana Jamaa ana vitu vingi sana....

  • @ImotheoMshani
    @ImotheoMshani 20 днів тому

    hawezi kuwa na kumbukumbu

  • @ImotheoMshani
    @ImotheoMshani 20 днів тому

    si rahisi hivyo top scoler kushuka kunatatizo

  • @allymaranya426
    @allymaranya426 20 днів тому

    Acha mtu aongeeee unmatchable mtu asimlz kuongea

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 20 днів тому

    Leo mwandishi umepata shule ya maana.....wekezeni kwenye weledi na utafiti kuliko kueneza upumbavu huu unaoendelea

  • @Fei-l4x
    @Fei-l4x 20 днів тому

    Jamaa anajuwa sana eko kwake

  • @fadhiligasper4067
    @fadhiligasper4067 21 день тому

    Sijui unanielewa😂

    • @ndaniya18
      @ndaniya18 20 днів тому

      Sijui unanielewa 🤣🤣🤣🤣

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 21 день тому

    Dah nimeinjoi Sana Leo juu ya MWALIM ❤

    • @ndaniya18
      @ndaniya18 20 днів тому

      Umemuelewa 🤣🤣🤣

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 21 день тому

    Mwandishi gani huyo anauliza mwenyewe halafu mwl anapoanza kujibu yeye anamtangulia mbele ili mwl asijenge hoja

  • @muxxajadon8086
    @muxxajadon8086 21 день тому

    Mwalimu yangaaa😂😂😂 nomaa sana

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 21 день тому

    ..mwandishi Bhakhresa ni mwanachama halisi wa kadi ya Simba

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 21 день тому

    ... mwandishi una matatizo Sana, kwnn hutulii ukampa Mwl nafasi akupe majibu ya maswali yakoo?.....mbona unamkatiza?...au na wewe ndiyo walewale ?

  • @AlfredBowa-b8r
    @AlfredBowa-b8r 21 день тому

    Mandundu Ndio wamefulai siio wananchi

  • @kizitomkude
    @kizitomkude 21 день тому

    upo vizuri, mfano mzee madrums

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 21 день тому

    Ako kamaaa ni kakolo nakajua Vizuri

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike 21 день тому

    Huyu mtangazaji katumwa nini..mbona anahoji harafu hataki kuckia ukweli

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 21 день тому

    Kama unazungumzia kusaidia basi simba kasaidia mara nyingi saana kwenye kimataifa

  • @Isfarisfar-q7z
    @Isfarisfar-q7z 21 день тому

    Ibla unamshika pabaya uyo mbna maswali ajibu uyo mwalimu gani uyo

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 21 день тому

    Mzee Bakharesa ni mwanachama hai wa Simba hadi leo. Sasa kwa nini watu wasiseme Azam ni tawi la Simba wengine wakatae?