Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
holy melodies🙂.....Mungu awabariki sana
Unauwezo mkubwa Sana
Shukrani
Safi sana mdogo wangu Jerry mjukuu wa Mungu Baba gonga pedal mpaka zing'ooke.
Mungu akubarik unafanya vzr endelea na juhud hzo.
Wewe ni fundi cheo cha master kinakufaa
Daaaaaaaaaaaaaaa huyu Master sijui nimwambie nini ili nione kweli nimempendeza maana ananivutia sana upigaji wake kwa sifa na utukufu wa mwenyezi Mungu . Ahsante Sana wote kwa utume huu
Kwa Sasa jerr unatumikia gan?
Well done.... Maestro 🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
hiii nliingoja sanaa
Hizo pedals zimepewa haki
bila fujo
Mzee bila fujo😂😂
Hii ni patokia gani na jimbo lipi?
Pedals ni nzito zimejaa vzr sana kwenye hicho kinanda, electon ina sauti nyingi nzr lkn pedal ni sifuri hamna kitu
Iyo Ar100
Wakati mwingine ni setting tu product za Yamaha electron nazikubali hadi naumwa
Ni techniqs?
Techniques haipo