QADIRIA KATIKA UBORA WAO MAUTI SIRI QASWIDA OFFICIAL VIDEO ILIYOLIZA WATU WENGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 201

  • @MohamedMadambo
    @MohamedMadambo 3 місяці тому +1

    Mungu awalipe kher kwa ukumbusho huu hakika mwenye iman ya hofu na Allah hayaish kwake machoz kila anaposikiliza qaswaida hii

  • @nuriatyhamiss7201
    @nuriatyhamiss7201 5 місяців тому +1

    shukran sana kwa ukumbusho wako Allah akulipe kila lenye kher inshallah 🙏

  • @amingsutarno6977
    @amingsutarno6977 2 роки тому +2

    Masyaa Allah tiada pernah bosan" mendengar kan syair" yg di lantun kan berikan lah Negara kami dan Negara ini Rahmat mu yaa Allah engkau lah yg maha segala - Sega nya.

  • @ffed1876
    @ffed1876 Рік тому

    MaashaAllah Shukran kwa ukumbusho Mola atujaalie tuyakumbuke kila mara ili tujizuie na maovu kuyasogelea Amin

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 4 роки тому +1

    Yallah tujaghalie mwisho mwema tu nawapongeza pia kwa qaswida nzr san umauti siri ajuae Allah ujumbe mzr inshallah

  • @nambraknambrak612
    @nambraknambrak612 5 років тому +2

    Mashallah ujumbe mzuri mungu atuongozee sote isilama kwani duniani tunapita inshallah tuwe wenye kufata mema mabaya tuyaepuke

  • @omarsuleiman2208
    @omarsuleiman2208 2 роки тому +1

    Mashallah Allah hongereni sana vigogo

  • @didaa7009
    @didaa7009 2 роки тому +1

    alihamdhulilah kaka ak nikisikiliza uu wasiya ak naona machozi yanindondoka ak bt nikikumbuka wazi wag alihamdhulilah

  • @habibahamiss707
    @habibahamiss707 5 років тому +3

    maa shaaa Allah qaswida nzuri sana hakika sisi ni wa Allah na kwake tutalejea

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому +2

    Maa sha Allah hii Qasida ingependeza zaidi kama mungeitoa vile vile maigizo yake ya kifo kama munaekti hayo mauti kuliko kucheza lkn ujumbe umefika vzuri maa sha Allah

  • @maryamhamad5158
    @maryamhamad5158 3 роки тому +5

    Vigogo wamekutana. 💘Mashaallah

  • @aminaali8836
    @aminaali8836 3 роки тому +1

    Mashaallah umauti siri yake allah allah awabariki sana kwa ukumbusho ,,

  • @suhajuma3153
    @suhajuma3153 4 роки тому

    Best voice ,,, hongereni sana wasomaji kwa nyote zaid na zaidi,,, asanten sana,,,

  • @FatumaAthuman-bm2fm
    @FatumaAthuman-bm2fm 4 місяці тому

    Mashaallah mungu awajarie kaswida zuri sana

  • @naimasaid4073
    @naimasaid4073 5 років тому +1

    Uhakikaaaa ...unanikumbusha marehemu baba angu ..mungu akurehemu baba angu kwa rehma njema na mi nipo nyuma yako

  • @asiaa5196
    @asiaa5196 5 років тому +3

    Mashaallah ujumbe ni mzito ila mlivyokaa kaa tu hata hamjaweka majonz majonzi ndo kwanza mnacheka mmeikosea sana hio kaswida

  • @mwanaishasuwes348
    @mwanaishasuwes348 4 роки тому +1

    MashaAllah,hamjawahi toa kaswida ikachusha hongereni kwa kazi nzuri

  • @wangshuai1408
    @wangshuai1408 5 років тому

    Mashaalaha kaswida nzuri sana imenikosha sana tu ila tu mmekosea kucheza juma fakk nakuaminia tutawakaribisha kwetu kondoa asateni

  • @FatmaFatma-jr6li
    @FatmaFatma-jr6li Рік тому

    Ujumbe mzuri Masha Allah Ya Allah tujalie Mwisho

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 роки тому

    awa vijana ni wadogo noma wanastahili kuenziwa masahalah sauti zao zanisisimua walah mashalah duu sasa mwataka walie au wagaregare ujumbe utafika na umefika hata wakicheza

  • @khadijahasani9900
    @khadijahasani9900 2 роки тому +1

    Mashaa
    Alpha kwakutukumbusha

  • @hamisiramadhan3010
    @hamisiramadhan3010 3 роки тому +1

    Barallah lakum

  • @naimasaid4073
    @naimasaid4073 5 років тому

    Mungu akuzishiee fakiyy akupe pumzi utuzidishia kutupa ujumbe wa manufaaa kwetu

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 років тому +1

    Masha Allah hongeren sana Qaswida mzur yenye ukumbusho .

  • @ConfusedCoastalBeach-bk7gc
    @ConfusedCoastalBeach-bk7gc 9 місяців тому

    Mashallh kaswida nzur sn ❤

  • @benimkojani3434
    @benimkojani3434 5 років тому +1

    Juma untembea sana Allah Akuongzee in shaa allah

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 10 місяців тому

    ya rabbi utujalie mwisho mwema

  • @aliy3303
    @aliy3303 5 років тому

    Vp brothers hapo hakutaki kucheza fujo

  • @hajiwakil2138
    @hajiwakil2138 5 років тому

    Wapo sawa namaanisha mahodari sana juu ya kazi wanayoifanya ya kufikisha ujumbe

  • @aishahusen161
    @aishahusen161 4 роки тому

    Kwakweli. Mm naipenda kadiria dam dam😍😍😍😍😍

  • @kassimaliyy6113
    @kassimaliyy6113 5 років тому +6

    Juma kasida nzurii sana ila mumekharibu Kucheza tu

    • @rehemaabduli6976
      @rehemaabduli6976 3 роки тому

      Hongeren Sana kwaukumbusho Allah awajalie Afya njema

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 5 років тому +1

    Kwakweli juma faki ilikuwa huku kwetu hukubaliki hata kidogo ila ss hiv kila kona unatajwa hongera sna, kiongozi fakk hongera sna naww

  • @aliy3303
    @aliy3303 5 років тому +1

    Wallah tulipokua enzi za zamani hapo tumeshinda koz kaswida imesimama lakini Leo nimekua naona hakki haipaswi kucheza hivo hassa huo ni ujumbe mzito

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +1

    Masha'Allah!wakali mmekutana

  • @ameenaalameena4968
    @ameenaalameena4968 4 роки тому +1

    mashaallah nawapenda

  • @aliomari5254
    @aliomari5254 4 роки тому +1

    Hii nimeikbali mashalla

  • @FrankDev-q2z
    @FrankDev-q2z 7 місяців тому +1

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Рік тому

    Maashaallah maashaallah maashaallah ❤❤❤❤❤

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 5 років тому

    Mashaalkah kaka napend kaswida zako ni nzyr san

  • @bichechehassaniiddisilva3640
    @bichechehassaniiddisilva3640 5 років тому +2

    Mko vizuri kadiria hongereni ujumbe mzuri

  • @hameedkilala1299
    @hameedkilala1299 5 років тому +1

    nawapenda mpk bc nzuri sanaa

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 5 років тому

    InshaaAllah Allah atujalie mwisho mwema.

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 4 роки тому +1

    Good job

  • @shabanihussen7449
    @shabanihussen7449 5 років тому

    Mashallah sheikh wng

  • @tauhidaalikhamis871
    @tauhidaalikhamis871 4 роки тому

    Mashaallah kheryy

  • @tauhidasheha1118
    @tauhidasheha1118 5 років тому +1

    Kaswida ina ujumbe mzuri lkn mlitakiwa muoneshe huzuni yaani hata kulia mngelia basi ujumbe ndo ungetimia zaidi shukran

  • @hatibuhassani9854
    @hatibuhassani9854 3 роки тому +1

    Mashaallah nawakubal sana

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 5 років тому

    Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah #AQAZ

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 5 років тому +4

    Masha Allah mmeipangilia vizur kwa saut ya huzun Juma and fak nice

  • @khamismsham5084
    @khamismsham5084 5 років тому +1

    Hongereni sana wana aqaz

    • @khamismsham5084
      @khamismsham5084 5 років тому

      Hongera Shee fakky na shee juma kwa kughani

  • @abdallakhamis1644
    @abdallakhamis1644 11 місяців тому

    Hapana kiukweli hilo ni dufu kucheza lazima hata kama ujumbe ni mzito, hebu kumbukeni dufu asilimia kubwa sana Qaswida zao ni ujumbe je hawachezi

  • @guyomy7711
    @guyomy7711 5 років тому +12

    Qaswida nzuri na kali sio siri lkn mumeiharibu kucheza to unaezaje kzngmzia mauti halafu unacheza inamana mauti yanafurahisha or vp?

    • @shuuhassan7873
      @shuuhassan7873 5 років тому

      Kwel wamekosea

    • @aliy3303
      @aliy3303 5 років тому

      Kweli Broo. Hakika hata minanda ipungue na kucheza kupungue.

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 4 роки тому

      Wapunguze waongeze lkn kifo kikopalepale hivy bas waache wachez kwaman hainjins

    • @mamuhamad2959
      @mamuhamad2959 4 роки тому

      Io ni kwasababu watutoe machungu watizamaji

    • @firdausmariri3506
      @firdausmariri3506 4 роки тому

      Naam kweli kabisaa

  • @khairunnanji599
    @khairunnanji599 4 роки тому +1

    Masha Allah unatishaaa sanaaa

  • @brother_asam7323
    @brother_asam7323 4 роки тому +2

    ujumbe umefika kw jamii 😢😢

  • @mazinyodeluca1373
    @mazinyodeluca1373 5 років тому

    Nimeipenda sana hii kasda yenu

  • @mamuhamad2959
    @mamuhamad2959 4 роки тому

    Safi kabisa .huwa nakaa naskiliza hii qasda

  • @ashamrutu7217
    @ashamrutu7217 5 років тому +1

    Mashaallah ujumbe mzuri sana

  • @wadmohd7231
    @wadmohd7231 5 років тому

    Ujumbe ni sahihi kabisa hongereni sana

  • @ghabdulyfatah6201
    @ghabdulyfatah6201 5 років тому +1

    Mashaallah hakika nawapenda maustadh wang

  • @mwanaidabdala748
    @mwanaidabdala748 4 роки тому

    Mashaallah mashaallah taqbiiiiiiirr nimeipend sana hiii qaswida

  • @Shasha12345-Xu
    @Shasha12345-Xu 5 років тому

    asante kwa qaswida nzuri hongereni kwa hilo

  • @hajiwakil2138
    @hajiwakil2138 5 років тому

    Mashallah hongereni kwa ukumbusho tuko pamoja

  • @AbdulHakim-fd5ui
    @AbdulHakim-fd5ui 5 років тому +1

    Masha Allah Aqaz

  • @naimamohammed3243
    @naimamohammed3243 5 років тому +3

    Mashaallah aqaz qaswida nzuri, but mmejaribu kucheza. Walio swafu ya nyuma, huo ndio utaratibu wa qaswida huo.

  • @AhmedAli-jj2dp
    @AhmedAli-jj2dp 3 роки тому +2

    Hakika MashaAllah

  • @zawijiaomary1057
    @zawijiaomary1057 4 роки тому +1

    Mashallwah💞💞

  • @latfadaud4444
    @latfadaud4444 5 років тому +3

    mashallillah mashallillah jmn me napenda xn

  • @hamadsuleimaan8232
    @hamadsuleimaan8232 5 років тому +1

    NAAMINI HAPO NI MPENDAE KTK MAULID YA AHIMT, PAMOJA SANA AQAZ

  • @zubeirahmad219
    @zubeirahmad219 5 років тому +4

    Assalaamu alaikum. Ndugu Aqaz,ushauri wangu ni kwamba angalieni vizuuri ni Kasida gani ambazo inaweza kukufanyeni kucheza na ipi hamutakiwi kucheza. Kwa mfano kama hiyo,mulitakiwamutulie kabisaaa,nyengine ileee ya Yatima aliyoimba ustadh Juma. Ile kasida binafsi ninapoiangalia na kuisikiliza macho yangu hayawezi kustahamili ni lazima nilie tuu

  • @yahayaomar585
    @yahayaomar585 5 років тому

    Mlitakiwa kuonesha huzunika na sio kucheza.. hongereni ujumbe umefuka

  • @hamzakhamis4418
    @hamzakhamis4418 3 роки тому

    Wenzetu walikuw wakitajiwa mauti inakuwa nimazingatio sisi twacheza yakowapi mazingatio ALLAH tuongoe inshaallah

  • @omarkhamis8848
    @omarkhamis8848 5 років тому +1

    Qaswida mzur ila kitu kimoja mulikuwa mueke huzun

  • @omarameir2966
    @omarameir2966 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @AbdulHakim-fd5ui
    @AbdulHakim-fd5ui 5 років тому +1

    Safi aqaz

  • @rashidyomary8355
    @rashidyomary8355 5 років тому +1

    mtihan mkubwa sana watu mauty yanaelezewa sisi tunacheza baada ya kulia tukaomba maghfira ka ALLAH by sh mpury

  • @wardakanyinyi4609
    @wardakanyinyi4609 4 роки тому

    Ujumbe mwema mashaallah

  • @aminahalifa827
    @aminahalifa827 5 років тому +2

    Safi sana

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 роки тому

    Ikovizur ht kam wanacheza kisa ujumbe lkn kifokiko plpl kwahio waachen wachex t mn hainajinsi ht wasingecheza kufa nifaradh lzm 😰😥😢

  • @zulekhanassor8063
    @zulekhanassor8063 5 років тому +2

    Mashaaallah baraka allah

  • @mohammedali1645
    @mohammedali1645 5 років тому +1

    Jamani dini na bongo man haifai.Kaswida imekosa mahali pake.Mbona hi tabia yakuigiza manaswara tuacheni.Vibaya hivyo.

  • @jumaking8385
    @jumaking8385 3 роки тому

    Mashaallh.qaswida.nizur

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 4 роки тому

    Ma sha Allah...

  • @suleimanalawy2164
    @suleimanalawy2164 5 років тому +14

    Mumekosea sana kwenye kucheza..hiyo qaswida mlitakiwa msikatike viuno hivyo sabab ujumbe wake ni kifo..sasa unaanzaje kucheza kuhusu kifo?itaonekana kama mzaha vile mnafanya

    • @aishabakari921
      @aishabakari921 5 років тому +1

      asalamu\ałaykumu warahmatulahi wabakatu wadogo zangu juma faki na faki mbaruku nikweli kabisa kashida yenu ya kifo ni nzuri na inamachungu na inamkumbushamwanaadam ;msingecheza ibaki kama huzuni

    • @piankahusseni1298
      @piankahusseni1298 5 років тому

      Maxhaallah

    • @halimalima4669
      @halimalima4669 5 років тому

      Suleiman Alawy kweli ndugu zangu mko vzr lakini kwenye nyimbo hii mmekosea kucheza na kutabasam.

    • @ahmadmohdali4221
      @ahmadmohdali4221 5 років тому

      Suleiman Alawy mh mlitakiwa musichez kwa rafu sw

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 4 роки тому

      Hat wasipochez kifo kikopalpal kwahio achawachez t. Mn hainajins

  • @mrchakaboycosma7047
    @mrchakaboycosma7047 5 років тому

    mashaallaha nawakubali sana

  • @zubeirahmad219
    @zubeirahmad219 5 років тому +1

    Sasa lazima muangalie sana,kasida yoyote munayoiimba ikawa ndani yake kuna vitu vizito kama hiii basi kuweni makini, musichezee. Kasida imekita zaidi kuzungumzia "UMAUTI" unadhani kunahaja ya kucheza?

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 роки тому

      Wasicheze Wao Au Tusicheze Sisi. Hatutakiwi Sisi Kùcheza Juu Yamaisha Namazingira Yetu Yamaisha

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis3063 3 роки тому

    Ndugu Waislam tunawakaribisha katka group letu la qaswida.wattsap humo zinatumwa qaswida mbali mbali kwa aneihitaj group letu anitafte kwa namba 0772379025

  • @mamahafsa2867
    @mamahafsa2867 5 років тому +3

    nduguzangu jitahidini kuamakini maana ktk mafundisho tunaambiwa MAUTI yakitajwa tuonyeshe nyuso za huzuni,asakwann ninyi mnakatika?

  • @JazilaNajim-gd9cj
    @JazilaNajim-gd9cj Місяць тому

    Mashaallah 😅

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 2 роки тому +1

    Mauti ni siri ilowekwa na allah pia kwake tutarejea na hakuna kitakacho baki ila lillah peke yake.

  • @ismailselemani3239
    @ismailselemani3239 4 роки тому

    Qaswaida na mwonekano haviendani

  • @aliomari5254
    @aliomari5254 4 роки тому

    Mashairi mazuri mashalla

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 роки тому +1

    Wasomaji ya rasuli munayataka ??
    Ubishi munao nyinyi kwa kuwa hamtaki kuacha ujinga huu na kufuata SUNNA

  • @ahmedbizo2085
    @ahmedbizo2085 5 років тому

    jmni mnapatkan wapi chuo chenu mashaaallah

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 років тому

    Kasida nzur

  • @nuurhassan8447
    @nuurhassan8447 5 років тому

    Mashalla.kaswida.zikosawa.tatizo.punguzeni.kukatavi.uno

  • @yumnamohamed6652
    @yumnamohamed6652 4 роки тому

    Mashala

  • @yahayawajide4475
    @yahayawajide4475 5 років тому

    Jaman kaswida nommmma

  • @rashidaliy472
    @rashidaliy472 5 років тому +1

    qaswida nzuri mashaallaha! lkn ilikuwa musicheze km hivyo inaujumbe mzito na wa huzuni!

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 4 роки тому

      Ndug hat wasipochez umaut upo acha t wacheze mn hainajins

  • @khamiskhamis3580
    @khamiskhamis3580 5 років тому +2

    Yani ninatoka machoz kwa hii kaswida kwa sababu ninamkumbuka kiongoz wa Qamaria Abubakar Alikuwepo ile siku ya hii kaswida keel umauti sirii

  • @Armsdady
    @Armsdady 4 роки тому

    Mashaallah