DUDU BAYA,DIAMOND HANA LOLOTE SHOW ZA NJE ANAIMBA BURE ILI AONEKANE MKUBWA BADO SAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • #bongo24 #diamondplatnumz #dudubaya

КОМЕНТАРІ • 78

  • @nashnene6326

    Naanza kuamini maneno ya Mange kuhusu dudu baya! Mngese kweli, Mange slituambia ugomvi wake na mr nice ni kumgombea basha wao! Kweli mange huwa anasema ukweli

  • @kwisa4899

    mbona watu munatukana Beyonce mbona hufanya show za bure kwani Dai yeye ni nani

  • @magrethmagonza186

    I think dudu baya tafuta shughuli ya kufanya don't west your time because even your age almost you are going to retire soon yule Simba bado umei unamrusu na isitoshe hana muda wa kukaa vijiweni kujaji watu na pesa anayo na bado anafuta .guys mwacheni kijana kajjaliwa jikosoe were kwanza ask yourself before mtu mwingine nonsense

  • @BraveMajaliwa-gf7ru

    Dudu baya yupo sahii 😅 mimi nipo marekani maeneo ya Ohio Cleveland siongei kama chawa ili 💯 % jamaa yupo sahii 😂😂😂 umeanza vzr pia umemaliza vizuri dudu baya

  • @user-xl8un8ur6b
    @user-xl8un8ur6b 14 годин тому

    Dudu baya ulifeli, kimziki kimaisha, umechoka umeshindwa ata pesa ya nyolea ndevu, walikufukuza wasafi, ulikua auendani naile lebo, auna kitu ww

  • @godsonsilayo4371
    @godsonsilayo4371 16 годин тому

    Wise man always think and speak big thing,umesama kitu sasa hihi sana huo ni ukweli mtupu .........thank you

  • @magrethmagonza186

    Huyu kweli nimeamini hayupo vizuri kiakili akapimwe maana kageuka hakimu, Jaji ,mwalimu mwanamuziki, mjuaji yeye uliwahi kusikia wapi. Km bure wangeenda wengi wakapige bure ili wajukane hata kapige bure if it's possible

  • @user-fn7vm8mf9d

    wabongo niwashaba sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @TheKemi1976

    The ridiculous interview I never experienced. Very sad, ndio maana hii nchi hatuwezi kuendelea

  • @user-ub3uc4yd9y
    @user-ub3uc4yd9y 16 годин тому

    Sio diamond kwasasa hashapita huko

  • @michaelkojesa7741
    @michaelkojesa7741 2 години тому

    Uncle dudu big up😊big energy

  • @LatifaHashim-rn1ip

    Uyu Baba Ana ongea ukweli namkubali sana

  • @andrewkilave3532

    Yaani kicheko cha dudubaya ni sawa kabsa na ile ngoma ya Nakupenda mpenzi

  • @cdeleo9336

    Wewe pia tafuta kazi ya kufanya . It seems huna lolote la maana kutwa kuongelea watu please grow up. Wewe hukutumia muda vizuri now unatapatapa

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 14 днів тому +1

    Mwamba yupo sawa

  • @AbuuMkabugo

    Bora yeye anaimba bure kuliko wwe hata Zanzibar hujawahi kupiga bure

  • @user-nx4eg7sf8u

    Safi sana uncle ze Dudu hebu naomba namba yako ya what's app tafadhali.

  • @jamaryribson3165

    I feel very sorry for Diamond Platinum it is always him

  • @musiccaentertainment100k8

    Mashabiki wa uchafuni hasira za nn mkiambiwa ukweli

  • @merinakassembe118

    Hamo alijaza wote na kofii olomide