Aise Dudu Baya kweli ni mtu mwenye akili sana. Mimi namkubali sana. Mimi pia nilipomsikiliza Nape kauli yake iliniudhi sana mpaka mheshimiwa Rais asipochukua hatua kwa kauli ya Nape sitakuja kumwelewa hata kidogo. Rais nampongeza kwa kuchukua hatua haraka.
DUDU ZURI ANA AKILI SANA SANA.HIVI NINYI MAKAMPUNI KWA NN MSIMPE
UBAROZI KUTANGAZA BIASHARA ZENU?
AKILI YENYE AKILI THANKS BRO
Aise Dudu Baya kweli ni mtu mwenye akili sana. Mimi namkubali sana. Mimi pia nilipomsikiliza Nape kauli yake iliniudhi sana mpaka mheshimiwa Rais asipochukua hatua kwa kauli ya Nape sitakuja kumwelewa hata kidogo. Rais nampongeza kwa kuchukua hatua haraka.
Kwahiyo Mungu hasamehi dhambi ya kukusudia, mfano umeua kwa kukusudia halafu ukaenda kuhiji Maka, hakuna kusamehewa?
Ndio