MASWALI YAJIBIWA NA MWALIMU DANIEL MWANKEMWA: Je Muhammad ndiye kweli muhuri WA MANABII?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @izengo4801
    @izengo4801 2 роки тому +2

    Mungu akubariki mtumishi

  • @peterngeri9442
    @peterngeri9442 2 роки тому +2

    Somo nzuri mbarikiwa nyote mulio wezesha channel hii isikikeke ulimwengu muzima nawapongeza nyote munao fatilia mwaalimu daniel mwankemwa hutoa elimu nzuri nime furahiswa wawili hawa kuja pamoja mbarikiwe nyote

  • @robertjoseph4196
    @robertjoseph4196 Рік тому +4

    Mwankemwa ni mwalimu kweli

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 5 місяців тому

    Nafurahi sana kuwaona Ombi pia oneni mafundisho na mijadara kupitia(kwa kuandika CHRISTIAN PRINCE DEBATES) Bwana Yesu awabariki sana.

  • @LisbethCasian
    @LisbethCasian 5 місяців тому

    Naomba mtihani ya form four

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 5 місяців тому

    Ili uoe wazazi wa mke au walezi budi waridhie, nimesikia ktk harusi ya Hadija alimlewesha pombe baba yake na kumvalisha nguo ambazo ilikuwa ni rasmi kupokelea mahali hata nae alishangaa kujikuta amezivaa baada ya pombe kumtoka na hta kumhoji Hadija"unaolewa na huyu yatima?" Ukweli ni upi ktk hili.

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 Рік тому

    Mwalim Daniel.yohana16.13_14.yesu hapo ametoa utabiri wa roho wa kweli.naomba useme ukweli utumishi Daniel

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Рік тому +1

      Bausi ninaomba unitumie namba yako ili leo nikutumie link ya somo linalohisiana na hoja yako hii. Tafadhali.

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 5 місяців тому

    Mwl hivi pamoja na wake wengi aliokuwa nao Muhammad je hakuwa na watoto?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 місяців тому

      Alikuwa nao lakini wlalokufa na akabali mmoja tu Fatuma

  • @Chris-in1vc
    @Chris-in1vc 8 місяців тому

    Kuongezea hapo watumishi kuhusu Muhammad, Khadija alikua ni dini ya Nasara ( a christian cult), na Muhammad alikua anajidai Nasara akiwa chini ya mafundisho ya mjomba wa khadija Yan Waraqa bin Naufal na ndio maana hakuweza kuthubutu kuongeza mke, wala kujua wasiokua waislamu kama isemavyo Quran 9:5 na 9:29 hakumiliki sexy slave girls wala kuwachukia wayahudi na kuwatesa, punde tuu mkewe alipokufa na waraqa pia ndo Shetani wake akamdhihirisha mchana kweupe !. Pili kama ulivyisema Khadija ndio aliyemuoa Muhammad, na hata ndoa Yao ilikua ya kisanii maana Khadija alitumia ujanja kimlewesha babaake mzazi na kumvika vazi zuri na kumualika katika ndoa na baadae babaake alipopata fahamu akajuta kua hawezi kumpa muhammad binti yake ilihali tayari ameshawaozeaha ! Halafu huyo ndo mtume wa waislamu wanayemuamini !

  • @SalmaAbdul-zz7dy
    @SalmaAbdul-zz7dy Рік тому +1

    Nabii wa uongo wa bar yesu ndie alietajwa katika biblia matendo 13:6
    Muhammad hakutajwa katika biblia wala Quran kuwa ni nabii wa uongo

    • @wasaficlassicshoes
      @wasaficlassicshoes Рік тому

      Jua neno nabii nasi Muhammad tu ila hata ww unaweza kuwa nabii wa uongo

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy Рік тому

      @@wasaficlassicshoes manabii wa uongo hutokea kwenu nyinyi huko, hakuna muislamu aliejitokeza akasema yy ni nabii

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Muhammad ndiyo nabii wenu​@@SalmaAbdul-zz7dy

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Muhammad hakuwa nabii?​@@SalmaAbdul-zz7dy

    • @obyigogo9920
      @obyigogo9920 24 дні тому

      Alirogwa muhamad

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 28 днів тому

    danile ww ni kafiri tu.hata hio bibilia huna andiko sahihi ilipewa nani