Wamwiduka Band! Nimewakubali, Kazi nzuri yenye uhalisia unaoakisi maisha halisi ya Jamii yetu. Hakika ni kazi nzuri sana, mpangilio wa vyombo na sauti - hii ni kazi halisi. Hongera sana! Nilibahatika kusikiliza mahojiano yenu kwa kipande kifupi. Hongera sana kwa kudumisha utamaduni na kazi hii bora. Mungu aendelee kuwalinda na kuwapa mafanikio zaidi! Amina
I wish nyimbo kama hizi zingepata views za kutosha kwa sababu ya maudhui na melodies zinazowakilisha asili ya mwafrika ila bahati mbaya zile za mapenzi ndio zinazopendwa sana! SO SAD
Sisi wasafwa tuna akili sana sema babu zetu walichelewa kupata elimu, sema sisi wajukuu zao wakisafwa tumepata elimu tunawawakilisha vyema na kabila letu la kisafwa tokea mbeya,big up mmeimba vizuri sana
Yaani hawa wanauwezo wa kuimba saaaana,,na niwabunifuu mnooo na nyimbo zinaujumbe mzuri mnooo hizi ndozingekuwa kinapigwa kwenye kumbi za anasha nadhani hata wababa wenye akili za kilibgeni wangepungua ujumbe mzuri mno🥰🔥hivii hao masponsa wa kuwapushi wawainue ,,ukisikia vipaji ndo hiviii cyo mapiano cyoi nn ujinga mtupu
Haya Ni Maisha Halisi Ya Baadhi Ya Watunza Familia Haswa Wanaume Wanaopata kipato chao na kusahau familia zao Hawara Chips Yai Watoto Nyumbani Viazi Vitamu
Mnadumisha sana utamaduni kupitia Muziki. Kazi nzuri sana. Tunatarajia nyimbo nyingi zaidi za aina hii kutoka kwenu. #Wamwiduka Band. Tupo hapa kuwaunga mkono #support
Hawa jamaa wako vizuri sana... napenda kusikia nyimbo zao .... ila sasa Kwann ulifuta nyimbo zao zingine... kama_ Lupa hata hii kilingeni video yakwanza ile
Kama unaiangalia mwaka huu 2024 weka like❤
I'm a black American from Kentucky but this vibe makes, me to know how great our ancestors were ✌️❤
Wa ndugu zangu nakuja kuwapongeza kaka zangu ❤️❤️😭 iyi nyimbo ni nyimbo ni ukweli wa maisha ❤️ big up musikate tamaa ipo siku mutafika kwenye malengo
#wasafwa nakubali mna mziki mzuri sana. wamwiduka mmetisha sana, AWILO MASOKSI, KIDUME CHA MBEYA yu wap,
@ajali ya ntokela alooo nakumbuka mbali. Endeleza mbele gurudumu la mziki wetu wa asili...one love
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakubaliii.....ngoma ina message kubwa sana hii
Wamwiduka Band! Nimewakubali, Kazi nzuri yenye uhalisia unaoakisi maisha halisi ya Jamii yetu. Hakika ni kazi nzuri sana, mpangilio wa vyombo na sauti - hii ni kazi halisi. Hongera sana! Nilibahatika kusikiliza mahojiano yenu kwa kipande kifupi. Hongera sana kwa kudumisha utamaduni na kazi hii bora. Mungu aendelee kuwalinda na kuwapa mafanikio zaidi! Amina
bwanamdogo mwamwiduka ulishinza utwakilisya tasafya
Hongeran sana band mwiduka massage yenu imenigusa sana walalh na imenibalisha sana ...kep t up guys ...Kenya boy raymoe
Nyimbo za kina mabrother hawa zaakisi maisha halisi ya ulimwengu! Niwapongeze sana mno!
I wish nyimbo kama hizi zingepata views za kutosha kwa sababu ya maudhui na melodies zinazowakilisha asili ya mwafrika ila bahati mbaya zile za mapenzi ndio zinazopendwa sana! SO SAD
mapenzi ndo maisha
Wametoa ujumbe kwa hisia kali sana, hakika "Umoyo wa mbabha"
Wanajua sana
Sahihi
Vijana wangenyooka
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania is endowed with talents, the instruments are on point
Nyimbo zote zina Ujumbe, Keep it up brothers #KuziEnt kazi nzuri kaka
ahsante sana dada fatma. Karibu kutazama video zetu mpya mtandaoni na husisahau ku-subscribe channel yetu
Nikiwa pande za muheza Tanga kwa mara ya kwanza nashuhudia live wamwiduka band nimependa kazi safi xana
Dah hii imenigusa sana wazaz wetu wameishi san hayo maisha ... Vijan tubadilike
Huu wimbo naupenda sana yaani unaelezea ukweli mtupu!! Watoto wengi wamepitia maisha magum sababu ya kua na wazazi wa tabia ya kuhonga
Aseee hawa jamaaa nimewatafuta Sana leo kama mungu nimepata hii
kazi nzuri sana wamwiduka yaani msibadili mfumo wa uimbaji wenu ni wapekee sana kazi nzuri mnoo mtafika mbali sana
Sisi wasafwa tuna akili sana sema babu zetu walichelewa kupata elimu, sema sisi wajukuu zao wakisafwa tumepata elimu tunawawakilisha vyema na kabila letu la kisafwa tokea mbeya,big up mmeimba vizuri sana
Kwa muda mrefu nilikuwa sijasikia muziki halisi na nilishakata tamaa...ahsanteni sana Wamwiduka kutukumbusha kuwa vipaji vipo na muziki pia upo....
Hizi ndo nyimbo zetu za kuimba jumbe nzur Sana hakika pongez Sana
Huu wimbo mzuri sana una ujumbe mzito sana na ni kweli haya ndio yanayoendelea kwenye maisha yetu ya kila siku,,, Pongezi sana kwenu
Wimbo mzuri, ujumbe safi kabisaa, maadhi ya kiasili kabisaaaaaaa. Nimependezwaa haswaaaaa
Yaani hawa wanauwezo wa kuimba saaaana,,na niwabunifuu mnooo na nyimbo zinaujumbe mzuri mnooo hizi ndozingekuwa kinapigwa kwenye kumbi za anasha nadhani hata wababa wenye akili za kilibgeni wangepungua ujumbe mzuri mno🥰🔥hivii hao masponsa wa kuwapushi wawainue ,,ukisikia vipaji ndo hiviii cyo mapiano cyoi nn ujinga mtupu
wasafwaaaaa oyee nawapnda xan mdumuuu miak mingiiiiiii kwenuuuuuu
OYeee!! ahsante Recho Mwaigaga
tunakupenda pia
Tukugene nawe
Nyimbo bora katika Tamasha LA SAUTI ZA BUSARA2019
Kilichonileta huku
Kumbe wangu mlinielewa nilipowadirect kama manager wenu...
Namba zao pls
Afadhali nimeupata huu wimbo,kazi nzuri
And the wicked media can't allow an informative music like this to trend 😇😇😇
The unfortunate truth 100%
Waliokuja hapa baada ya ze original comedy tujuane🙌🙌
Hakika Jehovah awabariki na kuwafanyia wepesi siku mpate kufanikiwa zaidi ya hapa ili Ulimwengu uwatambuwe.
Wasafwa juuu sana ,big up
Kama umekuja hapa baada ya ile clip TIK TOK ya waigizaji gonga like. Mbeya City stand up
Mimi pia
Ni mm kbx
Nipo hapa
Naam
Mimi mzee wng 😂
Haya Ni Maisha Halisi Ya Baadhi Ya Watunza Familia Haswa Wanaume Wanaopata kipato chao na kusahau familia zao
Hawara Chips Yai Watoto Nyumbani Viazi Vitamu
Mnadumisha sana utamaduni kupitia Muziki. Kazi nzuri sana. Tunatarajia nyimbo nyingi zaidi za aina hii kutoka kwenu. #Wamwiduka Band. Tupo hapa kuwaunga mkono #support
Mimi nikiwa kenya nafurahia sana nyimbo zenu. Hongela sana
Great piece of music with loaded message. Like African sounds
Africa(Tanzania) with Afrosounds
Muvi
Mweeee...unapata elfu moja unahonga mia saba unakula mia tatu..
Sikia kazi na subscribe mdau link ua-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/v-deo.html
Shida
Nimewakubaliiii sana wenyeji wetuuu mbeya moja iyo big up sana
ahsante DADA kwa support yako
Wambabha mwoyo
Nawakubali sana nyie jamaa,, natambua sana uwezo wenu
Hongera kwenu, kazi nzuri. Kila la kheri keep fighting.
ahsante sana Kaka ISMAIL. Karibu kutazama video zetu mpya mtandaoni na husisahau ku-SUBSCRIBE channel yetu
wajomba niliwaona mbeya much love from +254
All from Mbeya Team Awilo nipen like zangu plz
Today is 30th, May 2023 and I come back here to this jam. I will always come back here to remind myself of where to channel my FOCUS and ENERGY.
Daaaaah jamaaa hawafaiiiii hata kidgo, hhuyoooo mesen selekta sasa Gonga like kwaoooo
Huwa na enjoy sn niiskilizapo hii nyimbo,, penda sana
Kuna watu wachawi how can you dislike this?!
Si Tunajikutaga Western, wakati hii ndo Miziki yetu.
Disliking this song ni ushetani
Bonge la ngomaaa vibu la ela yote
Daah napata hisia frah nikiwasikiliza Wamwiduka hongera zao cnaa wanafanya vzr mung awasimamie wafike mbali vijana
Nyimbo nzuri sana! Ujumbe mzito.tunataka nyimbo kama hizi. Big up brothers!!
This is real life of this century watoto wanapata tabu baba hana care ,,nice song with natural voice and taste
MIE NAWAKUBALI SANA NYIE NDUGU ZANGU. MUNGU AWABARIKI SANA NA IBARIKIWE KAZI YA MIKONO YENU. AMINA
Hizi ndo nyimbo huchoki bonge la nyimbo huchoki kusikiliza💥💥💥💥💥💯💯💯💯
Wangapi tumemkubali aliyesimama na gitaa. Like tujuane 🧚♀️
Tasafwa tivinzaaa
Kwasiku hii nyimbo naskiliza mara 10 naipenda❤❤❤
Hawa jamaa wako vizuri sana... napenda kusikia nyimbo zao .... ila sasa Kwann ulifuta nyimbo zao zingine... kama_ Lupa hata hii kilingeni video yakwanza ile
Wolowolo mwana wetu
Wasafwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kila SK lazma niskilize huu wimbo. nakumbk nyumbn imic u sana .mbeya mwasanga.
Mwasanga secondary umesoma?
Depuis la côte d'ivoire 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🕺🕺🕺🕺
Nimeitafuta sana finally I get it
Mi mwenyewe mwimbaji lakini kwa ngoma hizi nazipa saluti Mara 20000000000000000
nimekubal hiinyimbo mkal big up niliiskia kweny Redio reo Kwe 92 ,1 ahsant mkal imenigus San hii nyimb
dagaga wamwitu mziki wa nyumbasni kwanzaaaaa mbeya moja by malila boy toka shilanga
Unahonga pakubwa unakula padogo gonga like twende kama umemuelewa wamwiduka
Hiyo ndo kazi yenu
Hatari jama hawo
vwasafwaa wanyiga ndigaa wapo wengi hapa mjini wenye tabia kama hiyo
Jie Jamaa niwaambie kitu,msije badilika kutoka kwenye hii aina ya mziki bonge ya creativity.
Daaaah nyimboo nimeikubalia sana napenda kilaa saaa kuisikiliza kazi zuli sana bgup
Waliokuja kuucheki baada ya Hakika Ruben kupost akiimba tujuane ahaaaaa
nipo hapa
Getting emotional while listening to these brothers
I feel you.
Fantastic content with true lifestyle message...punguza tempo kiac iko kasi sana😉
#MensenSelekta. Nakukubali sana haubahatishi wewe ni fundi mzee kila mziki unaweza kufanya na ukapatia.
Daaah kweli mnawakilish vyema nime penda
Nakubali sana wamwiduka ayo wanayoyasema ndio maisha alisi ya mwanaume mtuelimishe nawakubali sana fanyanyeni akina kaka
nawakubali sana, mnafundisha somo zuri sana kwa Baba
Muda mrefu nawatafuta muziki wa hii bendi, Asante sana kwa kazi nzuri!
Yaaan nazipenda hizi nyimbo naweza kuangalia bila kuchoka
Efm walijitahidi sana kuitangaza hii nyimbo enzi za Chuma Jpm inakumbusha hapa jirani 2019
Mafundi wa mziki wa Asili Africa Kama unakubali gonga like na comment
2020
Bado tunawatazama #Mashujaa!
God bless Mbeya region in it's own way.
We have everything. Thanks Lord
Jah is good all the time.
Du! mis home mbeya nmekubali sana hawala chips mayai.....
Nawaona wanangu ...mm mwanenu wa dodoma pale majengo kwenye pweza mnanijua navyowakubali
Kama umerudia x10 kama mie gonga like hp👌🔥🔥💖💖💖
Yan wapo weng
Nimekushinda mm la67
@@saidichilyenga2847 😂mxiiiuu
Ata inapita mara kumi jaman nawapenda hawa watu mm 🤣🤣💃💃💃💃
Ujumbe mzuri!!
Mziki mzuri. Keep it up guys.
hongereni sana wazee mnaweza congratulation,.
Wasafwa Noma sana
Ni noma kwakeli GODY. Karibu kutazama video zetu mpya mtandaoni na husisahau ku-SUBSCRIBE channel yetu. THANKS
❤❤❤❤❤❤napenda hii sana +254......twawapenda nduguzetu
Kazi nzuri sana...big up sana wandugu
Wasafwa Mbeya lugha tamu sana hii,, 🙌🙌🙌
Hahhhaha washikaji ukiwaona live utacheka
Unahonga pakubwa unakula padogo. Mmetisha naupenda huu wimbo
Looo hii ni timu gani jaman bonge la ujumbe mweee
nani ameletwa huku kupitia KITIMTIM ZUNDE na Masantula nyce song watching from 😂😂😂🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩
Kwa kweli napenda nyimbo hizi sana
Unaongaa pakubwa unakula padogo
Wasafwa oyeeeee
Muziki mzuri....asili yenye ujumbe....songa mbele
..
Kama umeipenda hii nyimbo kama mim na kuirudia mara nying tujuane
adili umependeza sana .muone na kofia yke .mm nawapenda sana
Weweeee piga kereeeeeeeee kwa nyimbo yake
so powerfully vyombo wamwiduka NAWAPENDA😰
Great Band❤. Calabash kid 😸👍
hakika ninapend aina ya huu muziki. Bravo🙌
Kazi nzuri
Mlipendeza sana jamn mkovizuri