Waamini wa Njombe wafurika Barabarani kushuhudia Mwili wa Hayati Askofu Alfred Maluma, Waandamana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @verono8766
    @verono8766 3 роки тому +1

    Raha ya milele umpe ee bwana apumzike kwa Amani Amina 🙏🙏

  • @devotaduttu815
    @devotaduttu815 3 роки тому +1

    Poleni Sana wananjombe.Msiba Ni wetu wote wakristo wa Tanzania.

  • @anthonymbepera9831
    @anthonymbepera9831 3 роки тому +1

    Mungu akasimame na wana Jimbo Katoliki la Njombe na kanisa lote kwa ujumla wake

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 роки тому +1

    Poleni sanaa wana Njombe kwa Msiba wa Baba Roho Mtakatifu awafariji ktk wakati huu wa Majonzi ya kuondokewa na Baba yenu Mlezi. RIP Baba 💔

  • @mercianatamuti9091
    @mercianatamuti9091 3 роки тому +1

    Is this Tanzania again?

    • @mamavero4004
      @mamavero4004 3 роки тому

      Polen wana Jombe kwa msiba huo mkubwa