Kim achana nao hawa wanao sema ety kuanza wajua bali kumalizia aaaaaah....weye focus na kzi yko❤❤❤na mungu aibariki snaa....na katu usikizze ya wtu...kazi nzri xnaaaa❤❤❤😊😊😊
Halafu we KIM bhana usituchanganye,,,,, maana chozi haijaisha wala mwisho wake hatujaujua mara paaap umetuletelea tena kufuli una maana gani sasa, chozi ni nzuri sanaaa kwann usiimalize kwanza🤗🤗🤗
Kim napenda sana kazi zako unajuwa igiza mimi Black son tigre kutoka Congo 🇨🇩 drc Bukavu nakukubali naitaji hata mausiano naimba music vraiment nasepeli makasi kim nalingiyo penza
We Kim muache iyomichezo munjua munatuchanganya sasa Ivi umeanza serie nyingine kabla umalize chozi???Maliza unajua wew na medik hamukumaliza pessa na uchawi atanqwewe umeachia njiani chozi umetuletea ingine nahaieleweki😢😢😢😢😢😢
Ila mwasi mm nakupenda sana we mdada unajua kuigiza uongo Zambi ❤❤❤❤❤
Dada mwasi ❤you sana mama nakupenda bure sana from 🇰🇪
Nampenda jaman uyu dada wonder ..nafrah kumhona tu
Thanks
Kim Nawe Uliachiya Chozi Langu Nyiani Umeanza Nyengine Ivi Yyi Wabongo Mna Nni Kuanza Mnaanza Kumaliza Amjui😂😂😂😂
Kabisa hawajielewi kabisa😢😂😂😂
Apo kwel Yako wameanza kuchemka
Kim tunakulaumu plz malizeni choz maana mnatuboa ndipo Nina hamu sana ya chozi but cjui umetupangia nn naongea na ww Kim Fanya mambo
Umeona eeeh mm pia hata sielew
Ukweli
Kim achana nao hawa wanao sema ety kuanza wajua bali kumalizia aaaaaah....weye focus na kzi yko❤❤❤na mungu aibariki snaa....na katu usikizze ya wtu...kazi nzri xnaaaa❤❤❤😊😊😊
❤❤Oooh maiii kipenz changu butua Nakupenda atar😂
Dah uku mkorofi sana jamani
Hako kawimbo ka kufuli ndiko kanabeba picha, ni kazuri kwelikweli
Halafu we KIM bhana usituchanganye,,,,, maana chozi haijaisha wala mwisho wake hatujaujua mara paaap umetuletelea tena kufuli una maana gani sasa, chozi ni nzuri sanaaa kwann usiimalize kwanza🤗🤗🤗
Atupe vyote wala atuchanganyi
Kim Tunaomba Hiii Uimalize 😢😢😢Usitufanye Kama Chozi🙌
Nimewahi mapema from Kenya 🇰🇪💪 big up 💪🙏
Ila uongo mbaya mwasi ni mzuri tofauti na uzuri ata umbo mashalah
Bi migomba mmemuonea hyo scene
What I wanted to say. Nimzuri kweli ❤
Haswaa
Dah kweli kabisa mm enyewe simuishi❤❤❤
Mama mchawi leo unalia dur
Huyu mrefi namupenda anajua kuigiza upande wake wa urefi ongera sana
Habari kwa ujumla, naomba jina la wimbo na jina la nsani kufuli
We Kim haujui 😂😂😂❤❤❤ ila dah pia we ni mzur ety honger aniii
Kaz mzuri San Kim vevo
Wa kwanza Léo kutoka Congo drc ❤
Leteni like apa
Good job my Team🥳🥳💪🏻
🧭🤳 Nimewahi kufika Leo mwenzenu kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mkoan Cabo Delgado mjini Pemba...
CarioCa Kazi nzuri wana Clam Family ❤❤❤
Kim kutoa TU movie mpya kumaliza Aaaaaaaaaah!
Hahahaha
😂😂😂
Hhhhhh nilikua naitaft Sana hii comment
😂😂😂
Safi sana Kim kwa kazi nzuri big up sana dadangu
Woza Kim nice movie
Kim napenda sana kazi zako unajuwa igiza mimi Black son tigre kutoka Congo 🇨🇩 drc Bukavu nakukubali naitaji hata mausiano naimba music vraiment nasepeli makasi kim nalingiyo penza
Much love from Kenya 😮😮
Jaman na mm nipooo🎉
Kim wewe unanikubalisha sana tuuu❤❤❤❤
Kazi iendelee❤❤❤❤❤❤❤❤
kazi nzuli sana madam KIM
Washa wash hamujamalza mwaboo sana
Good nice one story 🎉🎉❤
Kazi kazi 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻
Bom trabalho para vocês mas desejo vai sair bm
Butua is my best artist
Sema, kimvevo Anafanana na redjaydee
Yaan kama wanaume tu
Wanajua kuanza kumaliza mtihani😂😂😂
Mwasi huna baya♥️
Mtafuna biskut hongera Sana 💪🏼
😂😂 ahsant sana
😂😂😂
Kakoso Alikubalije Kua Kwenye Umbo La Mwasi😂😂😂😂
Good job my baby kim
nakukubali san kim by seydatha
Mkemia apa from Tanga Tanzania nakubal sisster kaz nzur sana
Kazi nzuri
😁😁😁😁butuwa weye ni kivuruga tu
Kuanza tu kumalizia Aaaah😂
ooiiii mai wezombie 😂😂
🔥🔥🔥🔥
Mmeifanya po😂🎉🎉❤
Chozi langu wapi now🥲🥲
Kazi nzuri sana❤❤❤❤
Mimi nataka umalize chozi kwanza
Ila we bigi migomba kwanza heshma Yako halaf we bonge la cast unajua
Kaz nzur kim ila hii iishe
Kim upo vizuri sana, kazi iendelee
Kumaliza ya kwanza inakuwa ni kipengere kikubwa 😅😂 bongo akili nyingi🤯🤯
Kazi nzr❤🎉
Kim kutoa mpya tu kumaliza Aaaaaaaaah 😂😂
Jama duh ❤❤
Mbone chozi langu haiendelei
Mlevi mara nyingi ndo anakuwa msema kweli.
Mwasi wee ❤
Kim kazi nzuri kabisa nakukubali
Kim mimi shabiki Yako mbona uendelezi series ya chozi langu
Kazi tamu
Yani huyu mwas atafika mbali sana
Kim unazingua chozi imeisha hata muhuni hajalud chuo
Kim nae ametuweka jia panda sana chizi hauja maliza umetuletea kufuli bana we🤔
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
Kazinzuri
Mwasi kama mwasi mashalaa
❤
𝐇𝐢𝐢 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐨𝐭𝐨𝐨𝐨𝐨𝐨𝐨🔥🔥🔥🔥
Tatizo lako umalizi movie
Sijachelewa wa tatu leo tunao mkubali kim tujuane kwa like
Mm wa 4 tunawo mkubali kimu
Mtu pekeee anaemalizia story zake kwenye group lako ni mbwela na sengo wengne sijui wakoje😂😂😢
Fupi pia haielewek hata kidogo
Mmh pole
Usiangalie
Omae
Chozi chozi chozi chozi chozi chozi chozi chozi chozi chozi
We Kim muache iyomichezo munjua munatuchanganya sasa Ivi umeanza serie nyingine kabla umalize chozi???Maliza unajua wew na medik hamukumaliza pessa na uchawi atanqwewe umeachia njiani chozi umetuletea ingine nahaieleweki😢😢😢😢😢😢
Nawapenda sana from pemba
Chozi langu liko wapi
Like watu wa kim 😢
Kim mbona kama una tuvuruga tuna subiria CHOZI mais una lancé ingine série maliza CHOZI kwanza
😂😂😂😂😂❤❤❤
much love
DKK 31🤣
Kufuli💥💥💥💥
Next
😊😊😊❤
Kim VEVO umeanza kueleweka now
Kim vevo tunahtaji"Chozi langu"
Nice
Please Kim tuletee chozi
maliziaeni choz
#KIMVEVO 🎉
𝙐𝙝𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖❤❤❤
❤❤❤❤
❤
❤❤❤❤❤