Brayo hata nyi pia mulikosea mngeenda kwa polce kwanza kabla ya yote jamani msiwe munafanta vitu kabla kutafta dci jamani 😢😢 sema hamkujua kama mtakuta boma iko na vijana wajinga
Our poor boy kabeba musalaba dio ukweli upstikane ili wenye wameichi gizani wapate mwangaza wake Jesus Christ. Please Beka na Brayo update us on our boy Bishop on how he is doing so far. . May the Lord Strengthen you our Heroes 👏👏
Yani mahali kulifiwa hakuna hata mtu na mama mwenyewe yuko shamba kama kawaida gs yyi mkiangalia hii hali ni yakawaida Mungu aingilia kati ssa atazikwa vpi kama boma hiingiliki😢
Brayo na Beka huyo dci simuoni poa juu kunavitu vyakuchukua maamuzi kama dci anabaki mtazamaji tu mfano mumekuta viatu inje na inaonesha dhahili mtu yuko ndani ety yupo tu na hanambinu mbadala yupo tu Aa huyu mi hapana juu yuko slo mno
huyu mama abebwe pia aende akaseme ukweli maana hata alipoelezwa hakustuka kabisa wala hakuchukua hatua mpaka leo imagine huyu ndie alimfanya sister yake kwa court
Wah Brayo hapo mmesimama si kwa mutiso ama hiyo nyumba na inakaa hakuna mtu anaishi hapo af please jaribu kuomba sana labda huyo mama ameolewa na mutiso
Huyu mama ata matanga hafanyi kwani yeye Ni mmoja Wa Hao illuminat?
How's kioko we're worried about him plzzzzzzzzzzz update so that to know na Cynthia apate justice yake 🙏🙏
Brayo hata nyi pia mulikosea mngeenda kwa polce kwanza kabla ya yote jamani msiwe munafanta vitu kabla kutafta dci jamani 😢😢 sema hamkujua kama mtakuta boma iko na vijana wajinga
Our poor boy kabeba musalaba dio ukweli upstikane ili wenye wameichi gizani wapate mwangaza wake Jesus Christ. Please Beka na Brayo update us on our boy Bishop on how he is doing so far. . May the Lord Strengthen you our Heroes 👏👏
Huyu mama hana huzuni wa mwanawe hata kidogo, yaani alikaa tu nde hata kuripoti tu hawezi
Uyumama ni mbaya mbona alisikiya habari yakifo nahashituki.
hiyo mambo ni ya uchawi muzipo chunga mutatwistiwa
Na huyu ni DCI mgani anaongea mambo direct
Akywoooye mama ni kuogopa anaogopa 😢😢
Na yuko tu anafanya kazi zake bila ya hofu nashangaa
Brayo huyu mama hanahata uchungu anajua tangu ilesuku hajawai ambia watu wajue mtoi wake aliuliwa huyu mwanamke hapana
Yani mahali kulifiwa hakuna hata mtu na mama mwenyewe yuko shamba kama kawaida gs yyi mkiangalia hii hali ni yakawaida Mungu aingilia kati ssa atazikwa vpi kama boma hiingiliki😢
Kioko Ako wapi, kwanini mteule amewaacha pekee yenu hawasaidii
Sasa uyu tangu iyo siku anafanya nn angepiga ndulu watu wakuje wamsaidie ata kama
Lord have mercy
Brayo na Beka huyo dci simuoni poa juu kunavitu vyakuchukua maamuzi kama dci anabaki mtazamaji tu mfano mumekuta viatu inje na inaonesha dhahili mtu yuko ndani ety yupo tu na hanambinu mbadala yupo tu Aa huyu mi hapana juu yuko slo mno
Please brayo and beka tunawapenda sana lakin hii nikazi yakichawi muwe mwajipaka mafuta matakatifu kabla muanze
Jitolee uwanunulie anointing oil
huyu mama abebwe pia aende akaseme ukweli maana hata alipoelezwa hakustuka kabisa wala hakuchukua hatua mpaka leo imagine huyu ndie alimfanya sister yake kwa court
Justice ❤ justice ❤ justice 🙏🏿,bby Cynthia lazima azikwe kama ukweli umejulikana, mbona wakatizie watoto maisha😢
hii boma nikama ata jirani hawaingii😢
Na hizi mboma ziko lonely sana
huyu mama ako kimoja na mumewe pia
brain weww husikii kabisa ukiambiwa na fans hii story achana nayo mwisho utapoteza family yako na we mwenyewe
How is kioko
Huyu mama hayuko serious mtoto wako akure then niende kwa shamba
Hizo nguo sI ni za hao vijana
Ama huyo baba nfo mutiso
Brayo muwe natumia holy oil plz
🙏🙏🙏🙏
Waneza uwa mama ata weee
Hata huyu mama haishi kwa amani roho imokoma na sugu za famliy yake mambo n magumu kwakweli kila kitu umekubaliana nacho kitakachotokea 😢😢😢 pole sana
Hii family inajuwa kinacho wakula
Huyu mama amekorogwa na dawa
Wah Brayo hapo mmesimama si kwa mutiso ama hiyo nyumba na inakaa hakuna mtu anaishi hapo af please jaribu kuomba sana labda huyo mama ameolewa na mutiso
Zawadi karisa kama ni mambo ya uchqwi watashidwa kataka Jina la yesu in Jesus name
Amen
huyu mama awache kujifanya anajua kila kitu mbona time aliambiwa mtoto wake kafariki hata hakupiga nduru ya kushtuka
Alichukuliwa ni kama maji imemwagika hakustuka kabisaa
Hao wote ni wauwaji,vijana walimua DCI,wakiendelea kuawa watu wengine,na baba na yeye amemua msichana na watu wengine wa jamii
Brayo ungeuliza hyo mama bwanake anaitwa nani pengine ni Mutiso amefanya sacrifice ili wasimpate
Huyu mama hayuko serious na kifo cha mtoto wake, anaambiwa mtoto amekufa na hakuna reaction yoyote yenye amechukua
So huyu ndiye bibi wa mutiso
Ukweli ni wabaya sana
Huyu mathe ni kufinywa amefinywa ni vile Hana otherwise inabidi akae tu hapo
🙆🙆🙆🙆🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🤲🧎♀️🧎♀️🧎♀️😭😭😭😭
Brayo our Bishop we mission him xo much unaendelea aje??
Kioko ako anji ???
Huyu mama anajuwa kila kitu uchawi wizi majambazi wakubwa hawa
Waiting