Bibi Aisha, endelea kusubiri. Mwenyezimungu yuko pamoja na wale wenyekusubiri. Allah atakuletea mume bora mwenyewe kheri na wewe ambae atakujali. Hongera kwa uvumilivu wako. Endelea kumuomba Mwenyezimungu
Pole Sana Sister Allah Yupo Nawewe Insha'Allah Allah Atakujaalie Shifaa Atakujaalia Twahuyr Yarabiy Nasisi Tusameh Pia Mimi Nilifikiria Wewe Ni Mkiristo..Kumbe Ni Muislamu Vipi Unamuliza Mungu Kunaswala Unaswali Inaitwa Istikhara.Rakaa Mbili Kisha Unamuimba Allah Anakuonesha Kilalakheri au Nishariy..
Dada Asha ana full package ya Mwanamke bora Uzuri Imani na utulivu wa akili yaani IQ kubwa sana ni mtihani tu uo alioupata M/Mungu ampe subira asikate tamaa 🙏
Mimi hua si comment lkn kwa hili imenigusa, wakati nakusikiliza nilidhani hauko timamu lkn wakati naendelea kukusikiliza kwa imani niligundua kua wewe una utimamu mkubwa wa akili, yaan unajitambua sana mwenye ufahamu anaweza nielewa vzr . Me nikuombee tu Allah akuongoze na akujaalie watu sahihi watakao kusaidia na pia uweze kupona na kurudia hali yako ya mwanzo, usichoke kumuomba Mungu.
Dada pole sana.Endelea kuwa na Imani Kwa Mungu kwani ana lengo jema na wewe.Maisha yako yote yapo mikononi mwaka.Hatakuacha vumilia muda ukifika atakujalia unachokihitaji.Amina.
Kweli dadaangu hii nchi matahira wangi pumbavu Sana kwa niaba ya dadaangu ifike mahala watu tujitambue hapa stand twa subiri kila mmoja na daladala lake alafu mnazihaki mungu halal ucngiz na hasahau matendo ya waovu
Uwez muacha salama dadaangu pole Sana mtihan na Ana manaake dadaangu pole Sana na mungu akupe nguvu na akujaalie subira ya nabii ayub nataman cku tukutembelee Jana
MashaLLAH dadangu kwa msimamo wako wakiimani kwenye dini yako yakiislam,hiyo mitihani yote hapa duniani,ALLAH ankuonja tu(subra)kesho akhera unafungu kubwa sana na starehe ya milele,usitingishike
Hilo la Kuzini hata usingelisema, ni aibu zaidi..😢 Hata kama alikupa msaada mkubwa, haikuwa njia ya wewe kumuonea huruma na kulala nae.. Allah amekataza Zinnah.. Allah Atusamehe pale tunapokosea...
pole sana dada mimi ni mkongomani DRC 🇨🇩🇨🇩 ila ninashauri lakukupa hiiapa , wewe unapenda kuolewa lakini kwenye mapenzi aichagui dini wala Kabila .💐🌺💐🌺💐🌺🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪🏋️💯
Pole sana dada yangu ila unapaswa kujua bado Mungu anakupenda pia anaweza kukuponya kabisa mpe Yesu maisha yako anaweza kukuponya kabisa yaliyo wa shinda wanadam kwa Mungu yanawezekana mwamini utapona
Ndomambo dadaangu pole sana kuwa mstahamilivu muombe mungu na mungu akupe Imani shufaaa , ujira mwema , na upate mwisho mwema kwa sote. Mungu atakupa hitajio lako.
Pole sana dada yangu hiyo mitihani ni ya mda tu Allah amesema wape bishara nyema wenye kusubiri wanapopata misiba na wanasema sisi sote ni wa mungu na kwake tutarejea
Pole dada utafanikiwa wengine tunapitia changamoto izo we utakuwa sawa unasimama kabisa zingatia mazoezi utakuwa sawa Mungu akusaidie upate mtoto wa kusumbuana naye akufariji rafiki wanakimbiaga hadi ndugu wasio na utu
Pole sana dada, ila wanaume loh yani wakiona iyo shepu mioyo inawaenda mbio, dada wakija kwa uzinifu watukane kisawasawa mana ukiregea watakuchezea mpk mwisho wa maisha yako, inshaAllah mungu atakupa rizki yenye kheri na ww
Pole sana dada yetu kwa mitihani iliyokukuta. Kwakuwa wewe ni muislam jitahidi kuamka usiku kisha usali salat ist-hara rakaa utazoweza kuanzia 2 muombe Allah akupe mume mwema, Insha Allah atakupa mahitaji yako
Hilo hata mimi nimeligundua nikiangalia jinsi anavyoo ongea na kukosa ktk nyumba ni kawaida ila huyu dada pia ana hasira sana imagine Sasa mtu anazungumza kujiua
@MariamAhmadaMwikalo hakuna mahusiano ya upwiru na hasira hizo ni unscientific thoughts, Kuna vitu vingi sana hususan vya afya ya akili ambavyo kwa jamii yetu hatuvijui au kuvipuuza na ndio matokeo yake ni haya tunabashiri tu usipofanya ngono unakua na hasira thts absurd
Ni kweli unajitetea mama,kuwajibu watu wa aina kwa jinsi hiyo ni sawa tu,waka auhitaji kuomba msamaha,endelea kuwa na msimamo huohuo na uzidi kumtumainia Mungu na mwisho wako utakuwa mzuri sana
Pole mdogo wangu nakuomba saana huo mdaa umeka ufanyie kazi swali fanya zikri Allah atakulinda nakukukinha na hio misuko suko yote mimi ndio ushauri wangu tawaza swali ila kuksa tu ivo bila swala hutobowi Aisha naomba swali utaona mabadiliko mengi
Kumbe ulishabikiriwa na kufanya uzinifu wew huna bahati, tubu uache dhambi kabisa Mungu Mt atakusamehe pia atakutumia atakae kusamini , yeye nimwingi wa huruma na rehema
Dar pole sana dada yani naumia sana kukuona unapitia magumu sana ila Namin utapata alie mwema usiache kuomba mungu ivo ivo napia hongera sana kuwa na msimo wako
Pole sasa dada asha Allah akuponye na akuondolee mtihani tafadhali tafadhal tafadhali usiruhusu kufanya uchafu wwte ukiwa ktk hiyo hali una kila sababu yakumuogopa mola wako dada asha nimekupenda kwa ajili ya Allah jaman 😢😢😢
Dada Mungu atakufanyia wepesi muombe Mungu kwa sana wewe dada ni mtu mwenye Imani sana wewe na mtangazaji wako nyote Mungu atawabariki sana
Mimi ni mwanamke ninae mume ngoja nimshauri mzee achukue chombo tuwe wawili inshalah
Ya kwel hayo??
😂😂😂
Huyo Kwa mdomo anaoneka si mchache nawe kanowe mdomo maana hapo Kuna makuu .
Inshallah
Nasi tunakuombea dua,amjalie wepesi akubali
Oooooooh Pole sana Ila Duaah usiache kuampole wasikutoe kwenye. Ta k wa wahuni kua na subra Allwah atubarik heyri amen
Pole sana Mimi nipo tiari ila ni vile Niko mbali Sanaa ila in shaa Allah mwnyezimungu akufanyie wepesi nusra ipatikane
jamin pole sana la kwa uwezo wa mungu utapona tu naomba nikutibie mm
Mungu akuponye mamy. NJOO Kimara Bonyokwa kanisa la ufunuo na Mungu atakugusa utayashuhudia atakayokutendea
Pole sana ndugu yangu ila usife moyo ni mtihani tuu ya Dunia yatapita tuu yupo Mungu wetu wa neema mwenye uwezo ipo siku Mungu atatupumzisha my
Allah akupe stara dadangu,na wepesi wa maisha,waiskamu tuko wapi dada atulilia stara muhimu na Allah ametupa Kila kitu ..Ameen ya rabbi.
Bibi Aisha, endelea kusubiri. Mwenyezimungu yuko pamoja na wale wenyekusubiri. Allah atakuletea mume bora mwenyewe kheri na wewe ambae atakujali. Hongera kwa uvumilivu wako. Endelea kumuomba Mwenyezimungu
Dada ulikuwa sahihi kuwapa big up hiyo maneno Makali usiwalaze hata kidogo.
Dada yangu Mungu akubaliki sana na tena akupe haja ya moyo wako
Zidi kumuomba Mwenyezi Mungu bila shaka yeye ndiye mwenye uwezo wa kila jambo, atakunusuru na aweza kukubariki ukafurahia maisha upendavyo.
Pole Sana Sister Allah Yupo Nawewe Insha'Allah Allah Atakujaalie Shifaa Atakujaalia Twahuyr Yarabiy Nasisi Tusameh Pia Mimi Nilifikiria Wewe Ni Mkiristo..Kumbe Ni Muislamu Vipi Unamuliza Mungu Kunaswala Unaswali Inaitwa Istikhara.Rakaa Mbili Kisha Unamuimba Allah Anakuonesha Kilalakheri au Nishariy..
😭😭😭😭 Kaka Pole kumbee ulipata Ajari ,, MUNGU akulinde mpz
Pole sana mdogo wangu,Mungu atajibu maombi Yako usikate tamaa yupo pamoja nawe.
Dada Asha ana full package ya Mwanamke bora Uzuri Imani na utulivu wa akili yaani IQ kubwa sana ni mtihani tu uo alioupata M/Mungu ampe subira asikate tamaa 🙏
amiin thumma amiin
Pole
Allah, mpe mume mwema da asha.
Pole sana dada yangu mungu atakupa mume bora
Daah wanadamu hatuna hofu ya Mungu Hadi mlemavu tunamfanyia mambo kama haya Daah inauma aisee
Kazuuri kabint mungu atskusimamia tuu cmama tuu na mungu
Mimi hua si comment lkn kwa hili imenigusa, wakati nakusikiliza nilidhani hauko timamu lkn wakati naendelea kukusikiliza kwa imani niligundua kua wewe una utimamu mkubwa wa akili, yaan unajitambua sana mwenye ufahamu anaweza nielewa vzr
.
Me nikuombee tu Allah akuongoze na akujaalie watu sahihi watakao kusaidia na pia uweze kupona na kurudia hali yako ya mwanzo, usichoke kumuomba Mungu.
Masha'allah sijaona kama huyu. Ni kazi Sina ila ningeli ongeza mathina❤❤❤❤❤
Dada pole sana.Endelea kuwa na Imani Kwa Mungu kwani ana lengo jema na wewe.Maisha yako yote yapo mikononi mwaka.Hatakuacha vumilia muda ukifika atakujalia unachokihitaji.Amina.
Mungu yuko na mwenye subira. Mungu atakupa mme mwema. Subira yavuta kheir. Inshaa Allah
Kweli dadaangu hii nchi matahira wangi pumbavu Sana kwa niaba ya dadaangu ifike mahala watu tujitambue hapa stand twa subiri kila mmoja na daladala lake alafu mnazihaki mungu halal ucngiz na hasahau matendo ya waovu
Pole sana dadaa mungu atakusaidia
Watanzania tumuogope mungu jaman huyu dada hajapenda kuwa hiv pole sana dadaangu mungu akuepushe namajalibu
Wakristo Na Waislam wte wameumbwa Na Mungu Kusema Mkristo Humtak mmh Oohutak Vijana Ee Kwahao Ambao Unawakataa Ndio kuna mume
Kuumbwa na Mungu sawa, lakini kwa nini unaabudu masanamu?? Ndio maana hawataki hamumuabudu yeye mnaabudu masanamu
Kosa kuolewa/ kuoa muisilamu na mkristo.
Pole sana dada kwa masibu unayo pitia mungu atakusimamia
Dada pole sana mbona Yesu anaweza kukuponya kabisa. Mwamini Leo uone atakavyokutendea mema
Pole sana kwa unayopitia. Tukumbuke ndugu zangu kuwa "hujafa hujaumbika" Sasa wanaomsumbua huyu dada wanatafuta ugomvi na mwenyezi mungu.
Uwez muacha salama dadaangu pole Sana mtihan na Ana manaake dadaangu pole Sana na mungu akupe nguvu na akujaalie subira ya nabii ayub nataman cku tukutembelee Jana
MashaLLAH dadangu kwa msimamo wako wakiimani kwenye dini yako yakiislam,hiyo mitihani yote hapa duniani,ALLAH ankuonja tu(subra)kesho akhera unafungu kubwa sana na starehe ya milele,usitingishike
Pole sana mwaya mungu yupo naww
Huyo bwana mbali na tamaa.na ushirikina anao..
Bora uliwatukana wapumbavu ni wengi mno
Sasa kwanini ukakubali kulalañae hapo ndo ulipoharibu
Hongera mdogo unajua kujieleza vzr na pole mtihani
Mungu atakupa Dada
Anaekuja vizuri mpokee vizuri, na aliekuja vibaya mshukie vibaya. Upo sahihi.
Kabisa
@@shabbymakapaneumeshauri nini hapo, kama si upumbavu?? Ndo nyie wanaume bwege
Dada una hekima sana 👏🏾
Pole sanaa dada angu ila namin mungu nimwema inshaallah
Asee pole Sana sister
Mugu yupo pamoja nawe punguza kuwaza Sana sawa
Naomba ! Ujikaze Hadi nimeumia
Inauma Sana kufanyiwa tendo Ilo kwa Mwanamke yyte mbal ata n ww,Mungu akusimamie dada siku y Mungu itafka
Mdogo wangu we mzuri sana Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
Allah akufanyie wepesi
Pole dada ALLAH akuondoshe mathila amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
Duuuh alikuja hadi na udi 😂😂😂
Hilo la Kuzini hata usingelisema, ni aibu zaidi..😢
Hata kama alikupa msaada mkubwa, haikuwa njia ya wewe kumuonea huruma na kulala nae..
Allah amekataza Zinnah..
Allah Atusamehe pale tunapokosea...
Umeongea
Na katika zinaa allah hangalii mlemavu wala mzima
😂😂😂😂sis Asha Hamis Alawi, ulivyomkata jicho huyo mwanahabari kuhusu kina Zuchu na Nandy, duu jicho la huba lile....sexy eye inaitwa❤
Mtu akikukosea adabu usimjibu Mungu yupo atakujibia
Mpeni nusra Huyo dada wanaumeeeeee tunawaombaaa msitiriniiiii nanyi Allah atawastiriiiii hatak Sitara ya Allah Subhana wata,aala
pole sana dada mimi ni mkongomani DRC 🇨🇩🇨🇩 ila ninashauri lakukupa hiiapa , wewe unapenda kuolewa lakini kwenye mapenzi aichagui dini wala Kabila .💐🌺💐🌺💐🌺🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪🏋️💯
Huyu ni muislam sio kafiri kama wewe. Dini yake anaithamini.
Asc.quick recovery inshallah
Dada Pole sana, Allah ni mkamilifu, atakuwezesha update haki zako duniani 😊
Haup peke yako dad upo na Allah kakup mitihan kukupima mja wake utapas Ama utafel Alla akup subra upas mtihn aliokpa ammin
Tafadhali mnitumie namba ya M-pesa ni msaidie dada uyo.
Pole kipenz nakupenda Aisha ❤❤❤kikubwa dua
Pole sana dada yangu ila unapaswa kujua bado Mungu anakupenda pia anaweza kukuponya kabisa mpe Yesu maisha yako anaweza kukuponya kabisa yaliyo wa shinda wanadam kwa Mungu yanawezekana mwamini utapona
Ndomambo dadaangu pole sana kuwa mstahamilivu muombe mungu na mungu akupe Imani shufaaa , ujira mwema , na upate mwisho mwema kwa sote. Mungu atakupa hitajio lako.
Pole sana dada yangu hiyo mitihani ni ya mda tu Allah amesema wape bishara nyema wenye kusubiri wanapopata misiba na wanasema sisi sote ni wa mungu na kwake tutarejea
Pole dada
Pole dada utafanikiwa wengine tunapitia changamoto izo we utakuwa sawa unasimama kabisa zingatia mazoezi utakuwa sawa Mungu akusaidie upate mtoto wa kusumbuana naye akufariji rafiki wanakimbiaga hadi ndugu wasio na utu
Pole sana dada, ila wanaume loh yani wakiona iyo shepu mioyo inawaenda mbio, dada wakija kwa uzinifu watukane kisawasawa mana ukiregea watakuchezea mpk mwisho wa maisha yako, inshaAllah mungu atakupa rizki yenye kheri na ww
Una umri gani dada
@@Omariathumansakilango mm nipo 28, kwann umeniuliza umri au kuna tatizo
😂😂😂
Pole sana dada angu Allah atakusaidia unachokiitaji InshaAllah 🙏🏻🙏🏻
Dada Aisha hakika moyoni mwako una kitu, mungu yupo na ww ninaamin utakuwa sawa tu dada inshallah, kuwa na amani ya nafsi dada
Pole sana Dada ila swala la kujiua liondoe Mwenyezi Mungu ndo mtetezi wa kila Mja wake.
Pole sana namuomba Allah akufanyie wepesi jitahidi kuswali vipindi vyote bila kiacha ila kwa udhuru wa kisheria
Dada huna baya nimependa unavyomtanguliza mungu usikate tamaa Dada yangu mungu atakutimizia unachotaka ishahraa from sauth port elizabert
Pole kipenz utapona t ishallah mungu akupe mume mwenyeher nawewe ❤ upate watt wako waje kukutunza mwenyewe
Pole sana, mimi nakushauri uokoke, Yesu anao uwezo mkubwa wa kukuponya wewe.
Kumponya kivipi
Sisi wote niwatoto wamungu mmoja tofauti zetu niimani tu hakuna mungu wawakritu wala hakuna mungu wawaislam mungu we tu nimmoja amina
Dada angu pole ulizaliwa ukiwa ivo mimi naitwa ally nikombinga
Pole sana dada yetu kwa mitihani iliyokukuta. Kwakuwa wewe ni muislam jitahidi kuamka usiku kisha usali salat ist-hara rakaa utazoweza kuanzia 2 muombe Allah akupe mume mwema, Insha Allah atakupa mahitaji yako
Waafrika kwa kuendekeza imani za wazungu na waarabu,huku wakikataa tamaduni,mila na dini nzuri za asili ya mamabu zao
@@jovithngaiza1020hiyo dini ya wabantu ni ipi? Au ni Ramli ya waganga hapokweli unatudanganya
@@jovithngaiza1020Mila gan yawaarabu umevurugwa
Ila nikupe haki yako wewe nimzuri wasura Masha Allah ,Mungu akuondoshee hayo maradhi Insha Allah ,Amiin
Dada Kwa uwezo wa allah ipo siku utayasahau yote inshaallah
Mimi mkristo nakuombea tu mungu akupe wepesi upokee sawasawa na maneno yako amina
Pole dada yngu Allah atakutia nguvu Allah yupo hafi milele atakusaidia amin
Mungu akufanyie wepesi..dada Aisha umefanana kidogo na Sofi nimeroa.
Dada nakupenda sana upo vizuri naomba JB msaidie huyu dada kwenye kazi yako
Pole sana dada angu mungu atakufanyia wepesi kila penge uzito na wepesi upo usikate tamaaaa dada angu
Pole sana Allah atakuponya In shaa Allah
Upon sahihi Dada yangu pole San nimekuelewa Pole kwa mitiani iyo Dada yangu Mungu anakupenda usijali tunakuombea
Sisi usiwaze nitumie namba ya cim yako
polesana dada huyu dada akimsikiliza vizur ana umia kwahisia na moyoni
Pole sana kwa mtihani wa maisha ni swala la muda tu mambo yatakwisha wenye subura Mungu huwalipa.
Dada pole mungu atakuponya
Pole sana dada ndio matusi yanauma.kumbe hukuzaliwa mlemavu duh inauma ipo siku atatokeya atakeye kupa faraja ya maishani mwako.
Pole Dada kwaunayo pitia Ila wazo langu usichague dini hujui kesho yako
Mungu anampango na ww dada ipo sku ataleta neema yk kwako insha'Allah
kama hajaolewa ninamuhitaj na awe ana mcha Allah swala tano nipo tayar nimuoe
Kiukweli kumuoa dada kama huyu inahitaji uwe mvumilivu sana, kwanza anaonekana ana hasira za karibu, Allah amsaidie kwa kweli.
Hilo hata mimi nimeligundua nikiangalia jinsi anavyoo ongea na kukosa ktk nyumba ni kawaida ila huyu dada pia ana hasira sana imagine Sasa mtu anazungumza kujiua
Ameongea na kusema asamehewe kua walemavu huwa wanaahasira za karibu kutokana na Hali wanazopitia
Hasira ni lazima kwavile ana upwiru wa mda mrefu sio kusidio lake
@MariamAhmadaMwikalo hakuna mahusiano ya upwiru na hasira hizo ni unscientific thoughts, Kuna vitu vingi sana hususan vya afya ya akili ambavyo kwa jamii yetu hatuvijui au kuvipuuza na ndio matokeo yake ni haya tunabashiri tu usipofanya ngono unakua na hasira thts absurd
Inamaana upwiru unafanya mtu awe na hasira @@MariamAhmadaMwikalo
Kweli dada mwenyezi mungu akupe subla in shaallah
Ni kweli unajitetea mama,kuwajibu watu wa aina kwa jinsi hiyo ni sawa tu,waka auhitaji kuomba msamaha,endelea kuwa na msimamo huohuo na uzidi kumtumainia Mungu na mwisho wako utakuwa mzuri sana
Pole dada yangu mdg wangu anachangamoto kama Yako kaolewa atukuamn tulilia kazaa na mpka leo
Pole mdogo wangu nakuomba saana huo mdaa umeka ufanyie kazi swali fanya zikri Allah atakulinda nakukukinha na hio misuko suko yote mimi ndio ushauri wangu tawaza swali ila kuksa tu ivo bila swala hutobowi Aisha naomba swali utaona mabadiliko mengi
pole sana dada mungu atakujalia utafikia malengo yako2
Kumbe ulishabikiriwa na kufanya uzinifu wew huna bahati, tubu uache dhambi kabisa Mungu Mt atakusamehe pia atakutumia atakae kusamini , yeye nimwingi wa huruma na rehema
Hawa watu wazima jamani, inamaana kampididi tu huyo kaondoka zake 😂😂😂
Ulikosea kuzini dadangu.
Dada nakuombea kwa Allah akupe uzima autakao na afya njema mwenyezi mungu atakufanyia wepesi wa kila kitu ishaallah 🙌
Pole sana dada m/mungu akufanyie wepesi zaid upone
Pole saana dadaangu
Pole dada,Allah akufanyie wepec....Mwanadamu,hujafa hujaumbika
Mwenyezi mungu akujalie inshaa Allah
Mwenyezi Mungu akupe shifaa