NAOMBA MNISTIRI NATAKA NDOA ,MWANAUME YOYOTE NIPO TAYARI KUOLEWA,NAPITIA WAKATI MGUMU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2024
  • FUATILIA MKASA WA BI ASHA MWANAMKE ANAEHITAJI KUOLEWA KUTOKANA NA CHANGAMOTO YA MAISHA ANAYOIPITIA.

КОМЕНТАРІ • 499

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 4 місяці тому +10

    Jistir na umuombe Allah kwasana na ufanye ibada dada angu ipo siku utapona kumbuka nabii ayubu aliumwa miaka mingi sana lakini alikuja kupona kabisaaaa

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale 4 місяці тому +4

    naomba MOLLA akujalie mume mwema pia akujalie maisha mazuri asante sana kwaku mtegemeya ALLAH

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 4 місяці тому +26

    Dada ukiendekeza waganga watakuambukiza ukimwi mana ivo kutia dawa sehem za siri hufanyiwi peke yako bora muachie mungu tu kwa mana ww si mbaya na mshepu unao mashaallah

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 4 місяці тому +3

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 4 місяці тому +1

      Sasa akiendekeza lini wakati imeshatokea?

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 4 місяці тому +2

      Jifunzeni mganga ni Yesu tu.

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 4 місяці тому

      @@comsmkemwa2671 😳😳😳 sasa unamwambia nani ?? Au unamfunza nani uyo yesu ni wako ww usiniambie mm alafu mawaidha ya dini yako peleka uko

    • @Leylah-pz5sc
      @Leylah-pz5sc 4 місяці тому +1

      @@Zaburi- sasa umefaham au hujafahamu ?? Ujuwaji tu kwani nliandika tusi??? Tafuta watoto uwafungulie masomo ya ziada mungu atakubariki

  • @anissawinasi2579
    @anissawinasi2579 4 місяці тому +2

    Pole sana dada yangu kwa shida hiyo, ila naho ushauri kwako, jila Jambo linalo kusudi lake, ikiwa waganga unaye tiya Imani kwao, Kwanini usihende kwa wahombaji watumushi wa Mungu, mahana twahamini Mungu ni mmoja, ila tunalo jina pekee lipitalo ma jina yote Yesu Kristo yuko tayari kukutendeya muujiza.
    Yeye ni mwenye uruma na rafiki wa Kweli, chukua nafasi ya kumwita nawe utahona mkono wake.
    Hachana kulalamikia watu hawana msahada kabisa.
    Mungu akubariki zahidi pole sana

    • @thebmcblackmiccatcher3949
      @thebmcblackmiccatcher3949 4 місяці тому

      Pole sana wewe mwandishi, unakompeleka ndiko mbakochukuliwa ndagu na watu wanaotumia jina YESU,

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 4 місяці тому +10

    Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat pole dada asha inshaallah ALLAH yupo PAMOJA nawewe dada huohuo msimamo KUWA nao usibadili dini na inshaallah ALLAH atakuletea MUME MWEMA MWENYE huruma,imaan, ana hofu JUU ya ALLAH na MWENYE HURUMA NA WEWE 🤲🤲 AMINI YAKO IWEKE KWA ALLAH TU NAKWELI MANENO YAKO YANAONYESHA UNA EGEMEA KWA ALIYE KUUMBA ☝️☝️☝️❤❤❤🤲🤲🤲🤲

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 4 місяці тому +9

    Pole dada. Ila Uwe mwangalifu, wanaume sio suluu ya maisha. Mgeukie Mungu.

  • @hashimsalim1203
    @hashimsalim1203 Місяць тому +1

    Mm nko tayari kukustiiri Rudi kwa Allah...nipo Kenya inshaalah itakua kheir...

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 4 місяці тому +2

    Ishaallah kwa uwezo wa Allah utapata unachomuomba Allqh bi Aisha Allah atakujaalia kheri

  • @amanarashid7503
    @amanarashid7503 4 місяці тому +2

    Maashallah mrembo sana allah akujalie shifaa na akupe mume mwenye kheir inshaallah

  • @citykibonge2999
    @citykibonge2999 4 місяці тому +5

    Utapona dada kwa nguvu za Allah❤

  • @veronicaagonga7415
    @veronicaagonga7415 4 місяці тому +1

    Mungu awasaidie ndungu zako awape maisha marefu

  • @user-tz1ry4ek7d
    @user-tz1ry4ek7d 4 місяці тому +4

    Okoka we we Dada yesu anaweza kukuponya ,, sikutani kweli we we unateseka Dada..

  • @user-bl7kb2ei7x
    @user-bl7kb2ei7x 4 місяці тому +1

    Pole dada mola yupo mupokee yesu atakusaidia

  • @richardsineno6720
    @richardsineno6720 4 місяці тому +1

    Wow! pole sana dadangu Mungu atakuondolea matatizo yote Insha Allah,napenda sana msimamo wako wa kidini Allah azidi kukuongoza Amiin.

  • @SamirLudovick
    @SamirLudovick 4 місяці тому +1

    Dada aisha pole. Allah akusamehe na akuponye, ila acha ushirikina ukifa na imani za wanganga Allah atakutia motoni ukae milele, tubu sasa Allah atakusamehe yeye anasamehe madhambi yote

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 4 місяці тому +1

    Mdd pole sn kwa mtihani ila badilika
    Acha mkorogo jjistir
    Fanya ibada amka usk Mwuombe mungu mungu atakupa mume mwema

  • @user-gl8ij6mn6e
    @user-gl8ij6mn6e 4 місяці тому +2

    Da asha namuomba afanye ibada kutwa mara tano na awe anamuomba allah akae sawa na je vip akipatiwa dada wa kazi itakuwaje

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 4 місяці тому

    Pole sana dada. Inauma sana. Huyo mume aliyekufanyia madhira Mwenyezi Mungu amuangazie na amsaidie kwa neema zake aweze kubadilika na kuwa binadamu mwenye utu.

  • @user-ei6vm6dm2n
    @user-ei6vm6dm2n 4 місяці тому +1

    Pole sana dadangu,hakuna niliso wezekana kwa mungu ,mkubali yesu na umuamini yeye na kila kitu kitakua sawa na kutembea utatembea kwa jina la yesu,enda kenya kwa pastor Ezekiel akakuombee na utapona tu

    • @princematumbo
      @princematumbo 4 місяці тому

      Yesu huyo yupo wapi?acheni utapeli

    • @umutoniyvette8637
      @umutoniyvette8637 4 місяці тому +1

      Yesu yuko haï
      Inje ya yesu ni giza mutupu
      Maana yeye ndiye nuru la ulimwengu

    • @abduyussuf8345
      @abduyussuf8345 4 місяці тому

      ​@@umutoniyvette8637Muhimbili mbona hamuendi wakati ndio Kuna walemavu wengi?

  • @salimbilal6786
    @salimbilal6786 4 місяці тому +1

    Mungu ana fungu iko siku atokea mume wa daraja kwako akunusuru bado una pendeza mashallah

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 4 місяці тому +1

    Pole sana mungu akupe Nuru akuponye na hiyo hali

  • @henericomasanja
    @henericomasanja 4 місяці тому

    Mama pole sana inaumiza saana simama ktk Imani yako (MUNGU) Na jarbu kupambania tiba naamini utapona na Mambo mengine baadae "MUNGU NI MKUBWA" 🙏🙏🙏

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 4 місяці тому +1

    Pole sana dada aisha ww kaa na maisha yako .usikimbilie tena kuolewa dada

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 4 місяці тому

    Japokua ni mlemavu lakini wewe dada ni mzuri sana, inaskitisha sana kuenda kwa waganga wakakuchezea yaani kama ungeijua thamani yako na ukifanya subra utapata mume mwema na kuishi maisha mzuri, Asha umzuri kweli Mashallah.

  • @Maalim_Samatta
    @Maalim_Samatta 4 місяці тому +11

    Assalaam A'leykum, binafsi nafanya kazi za dua lkn ule ukweli nawachukia waganga washirikina wanaofanya kazi kwa staili hii. Mara makaburini, mara njia za panda hawana hata khofu na Allah. Mara wawaingilie wanawake za watu wallah wana dhima mbele ya Allah adhabu zinawangoja. Kila mwanamke wanazaa nae yaani mafedhuli wasio na imani. Tiba gani mnakwenda kumuosha mtu kwa maji ya maiti, dah mashetani wakubwa hawa. Allah awadhalilishe. Puuzi kabisa.

  • @mukeshimanataussi6939
    @mukeshimanataussi6939 4 місяці тому +2

    Pole sana da Aisha Allah akupe kila hitaji lako plz usitokagi kwenye dini yaki islam

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 4 місяці тому

      Na’am. Usiingiye kwenye ushawishi mbaya kwa mtu yoyote kubadilisha Dini sababu ya kuolewa.

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 місяці тому

      Anaitwa ASHA sio aisha 😅

  • @mmeagroup-TV
    @mmeagroup-TV 4 місяці тому

    Muislam uislam unaufaham masha allah tanya ibada na umtegemee Allah peke yake usisahu dhikr nyingi mola anatosha kwa kila tatizo.

  • @alexkakwaya4383
    @alexkakwaya4383 4 місяці тому +1

    Namshauri ampokee Yesu kwa dhati. Huo ndo mwisho wa matatizo yake.

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 4 місяці тому

      Yesu yypi unae mkusudia,asiwe yyyle mwingereza alie ekt filam

  • @jumalakers7832
    @jumalakers7832 3 місяці тому

    Pole sana dada utapona kwa uwezo wa Allah Asbeena Allah waneemaallih wakilh

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 4 місяці тому

    Pole sana dada maradhi ni mtihani unaowachanganya wengi kwenye fitina za ushirikina na matapeli na bado watakuja, mtegemee Allah sw kikweli sio binaadam aliyezaliwa na mwanamke

  • @assaningyoku5948
    @assaningyoku5948 4 місяці тому +2

    Nenda kwa yesu kristo utapona

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 4 місяці тому

    Pole sana dada MUNGU akuponye kwa jina kuu la YESU

  • @markmuna1276
    @markmuna1276 4 місяці тому +5

    Kweli pole sana ungemkubali Yesu hakika ungepona

    • @abdulhamidhaji5056
      @abdulhamidhaji5056 4 місяці тому +2

      Yesu wa wapi
      Yesu hana uwezo wa kumsaidia huyo

    • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
      @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 місяці тому +1

      Njoo kwa Yesu kristo mwokozi ndiyo mwisho ya yote akuna zaidi. Amen. Wote waongo na matapeli . Mungu mkuu akusaidie dada. Pole sana.

    • @innocentndikumana8928
      @innocentndikumana8928 4 місяці тому

      yesu nibinadamu kama weye nayeye arikuwa anahitaji msada kwamungu kama wewe gisi unahitaji msada kutoka kwamungu 😊

    • @belak999
      @belak999 4 місяці тому

      ​@@abdulhamidhaji5056waganga wenu kwishaaa, ndio hao unawaamin wanaponyesha

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 4 місяці тому +2

      Kabisa YESU KRISTO MWAMBA, ATABAKI KUWA MFALME WA MILELE

  • @AlliKidiza-yf6lv
    @AlliKidiza-yf6lv 4 місяці тому +1

    Du pole sana dadayangu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 4 місяці тому

    Pole sana dada mungu yupo nawe hayo mengine yote yachie dunia na kila likujialo niliasababu zake uenda ndio kheri yako kesho mbele ya Allah utayapata mema.

  • @user-nj9vr3zd4d
    @user-nj9vr3zd4d 4 місяці тому

    Pole sana .dada mungu .akubariki

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 4 місяці тому +1

    Sababu kuu wanaume wanaacha wanawake,ukweli ni kwamba wanawake wa tanzania wanapenda sana hela za wanaume,akimuona mwanaume anaona hela sio mpenzi,ndio chanzo kikuu,ukimpenda mwanaume na kumuhudumia kimapenzi na kumthamini hawezi kukuacha.Acha kuweka hela mbele uone awez kukuacha na kuwa na adabu ni ngumu sana

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 місяці тому

      Kwa hili la asha huyo mume ni tapeli sio muoaji.

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 4 місяці тому

    Jaribu kutumia magongo yale ya kutembelea dada hili uchangamshe mwili inshallah mungu atakupa nguvu,historia yako yauzunisha kweli unapitia mengi na una moyo pia.

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 4 місяці тому

    Mwamini Yesu tu, Utapona achana na waganga Dada yangu,
    Amini tu hivi;
    YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
    YOHANA 3:16

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 3 місяці тому +1

    Mganga ni Yesu Kristo ndio jibu la maisha ya wanadamu wote

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 4 місяці тому

    Allah akujaze subra
    Dumu na ibada hivyo hivyo swali unakaa mshukuru sn mungu na adhkar kwa sana mungu atakulipa uko ktk ibada mwanangu kila mda sema alhamdulilahi

  • @samrysamry9812
    @samrysamry9812 4 місяці тому

    Mashallah Dada unaimani Allah atakupa shifaa kikuwa subira Dada angu baki na dini yako ya haki ❤❤❤

  • @user-ek9zk3bj5i
    @user-ek9zk3bj5i 4 місяці тому

    Pole dada mungu atakusaidia. Mtegemee mungu Kwa moyo was dhati

  • @rukaiyamchana6958
    @rukaiyamchana6958 4 місяці тому

    Pole sana dada kwa mitihani Allah atakufanyia wepesi utakuwa sawa

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 4 місяці тому +1

    Uspomjua mungu sawa sawa! Lazima waganga wakutese! Tiba gani mpaka makaburini? Siuchawi huo!

  • @amissalimaasantemungukwaku384
    @amissalimaasantemungukwaku384 4 місяці тому

    Pole sana dada asha mungu atakulipi ahayo uliyo yapata kwa mungu humlipa yule ambae huzurumiwa

  • @rolandmgedzi2966
    @rolandmgedzi2966 4 місяці тому

    Imeniuma dadaangu,, pole sana,, mwamini mungu,, kuna siku mungu atatenda

  • @mudiali4506
    @mudiali4506 4 місяці тому

    Askm Dada, tafta watu Wana, WA ruqia shairiiya wakusomee.
    N zaid
    Nione Sheikh kisqi Ata kusaidia in sha, Allah.

  • @emanuelkamaghe2647
    @emanuelkamaghe2647 4 місяці тому +1

    Dawa ni kumwamini Yesu unapona kabisa

  • @potiyowatz836
    @potiyowatz836 4 місяці тому

    Mungu atakufanyia uwepesi madam.

  • @kennedyodera7555
    @kennedyodera7555 4 місяці тому

    Pole xana dadangu kuja Kenya uombewe uta pona Kwa jinala yesu

  • @kennedywabomba1851
    @kennedywabomba1851 4 місяці тому +4

    Yesu ndiye kila kitu ukimkubali nenda kwa mch.amiel katekela imgn huku kenya tunamuaminia sana mtafute atakusaidia.

    • @princematumbo
      @princematumbo 4 місяці тому

      Utapeli tu huo,hawana lolote

    • @kennedywabomba1851
      @kennedywabomba1851 4 місяці тому

      @@princematumbo Mungu akusaidie

    • @princematumbo
      @princematumbo 4 місяці тому

      @@kennedywabomba1851 wewe Yesu amekusaidia vipi?

    • @kennedywabomba1851
      @kennedywabomba1851 4 місяці тому

      @@princematumbo Yesu amenisaidia mambo mengi Sana infact haihesabiki coz ile maisha niliishi matendo na matatizo nilioyapitia ni sehemu kubwa zaidi ametenda maishani mwangu.

    • @user-mi3cs9lc6y
      @user-mi3cs9lc6y 4 місяці тому

      Akili mgando yes Ni mwanadam tu.na Wala si mungu

  • @Zuberigangisa-dk9ne
    @Zuberigangisa-dk9ne 4 місяці тому +1

    pole Sana dada

  • @user-rn6pi1xt7v
    @user-rn6pi1xt7v 4 місяці тому

    Pole sana dada usikate tamaa ipo siku utainuka insha allah kwa uwezo wa allah

  • @user-ov3dy4xu5v
    @user-ov3dy4xu5v 3 місяці тому

    Allah atakupa shifaah kila kitu muombe Allah kwani Allah ndie aliyetuleta sisi binaadam duniani kwahivo muombe Allah atakujalia upone..

  • @user-bp8gm3yu9z
    @user-bp8gm3yu9z 4 місяці тому

    Dada pole sana Mungu yupo amini utapona, ushauri wangu kwako nakuomba uende kwa pasta Dominiki kiboko ya wachawi hakika Mungu atakutendea maajabu utatembea mara moja.

  • @richardsineno6720
    @richardsineno6720 4 місяці тому

    MASHA ALLAH, JE ana watoto wangapi tafadhali

  • @shinwakilimbi4359
    @shinwakilimbi4359 4 місяці тому +1

    Pole sana ❤

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 4 місяці тому

    Ila dada wewe ni mzuri sana mungu akufanyie wepesi asha lakini naomba nikuahauri kitu japo imani yako ni tofauti lakini mungu mmoja tafuta uponyaji naomba uende kimara temboni kwa kuhani musa wewe hujazaliwa na ulemavu iyo hali ni wanadamu ya kutengeneza na sikama unabadirishwa dini utakwenda mjua mbaya wako na uponyaji utaupata ubarikiwe dada yangu ni hayo

  • @mwaminindayishimiye3149
    @mwaminindayishimiye3149 4 місяці тому

    Pole sana dada Mungu hakuponye❤❤❤❤❤❤

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 4 місяці тому

    Pole Sana ndugu yangu na mitihan ALLAH atakuafu aamiyn

  • @user-gt8zn3wt6m
    @user-gt8zn3wt6m 4 місяці тому

    Pole dada mungu akuponye utapata mwanaume sahihi wa maisha Yako yote

  • @jermanminsori663
    @jermanminsori663 4 місяці тому

    pole saaaaaana dada Mungu yu pamoja nawe utapata tu unachohitaji usichoke kumuomba.

  • @user-kf7ox6iq1e
    @user-kf7ox6iq1e 4 місяці тому

    Mungu akufanyie wepesi utapoa

  • @NCHAKANchaca
    @NCHAKANchaca 4 місяці тому

    Biblia. Yohana 8:31-32
    [31]Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli;
    Then said Jesus to those Jews which believed on him, If ye continue in my word, then are ye my disciples indeed;
    [32]tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
    And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 4 місяці тому

    Allah. akufanyie wepes upone karaka sana🎉

  • @davidmidunga7690
    @davidmidunga7690 4 місяці тому

    Nimeguzwa sana na maelexo ya kwako naninayo imani mungu atatenda

  • @muzerwadeo638
    @muzerwadeo638 4 місяці тому

    Dada Mungu njo uendelee kuomba. Ni yeye tuu anaye uwezo wa kukusaidia. Achana na hawa waganga wanaweza wakakuletee mambo mazito zaidi kuliko huo ulemavu. Ambatana na Mungu atakusaidia.

  • @HusseinSimvula-sg5uz
    @HusseinSimvula-sg5uz 4 місяці тому

    Mjukuu wangu pole sana. Tafadhali usikate tamaa tatizo lako linatibika ila hao wote uliowaendea hawalijui na hata namna ya kulishughulikia hawajui ndo maana unateseka hadi sasa

  • @samuellubunga1728
    @samuellubunga1728 4 місяці тому

    Pole sana
    Mungu azijibu haja za moyo wako

  • @JacksonYesu
    @JacksonYesu 2 місяці тому

    Achana na waganga we mpokee Yesu hapo utapata uponyaj na Amani

  • @user-eb1xi2qk8e
    @user-eb1xi2qk8e 4 місяці тому

    mungu atakufanyia wepec dada insha allah

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 місяці тому

    Watumishi wa mungu wapo watafute wakushauri, nenda ukamtafute hata mwamposa umueleze utaona woote waliokufanyia michezo mpaka huyo wataisoma namba ya yesu. Yesu juu🎉

  • @abeljames4043
    @abeljames4043 4 місяці тому +1

    Yuko yesu apinya wengi ukimkumbilia hatakuacha anauwezo wa kuku ponya kuliko mwanadamu yeyote kata shauli leo

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 місяці тому

    Yesu anaweza yoote, kama uko tayari kwa Deliverance simama uganye maamuzi utapona. Na achana na mitandao, unajianika. Huyo shekh sharifu hajakifanyia la maana zaidi ni kwamba kakuongezea shida. Nina uhakika una majini na mapepo, uchawi, na nguvu za hiza zoote zinakuzunguka. Muite yesu

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 4 місяці тому

    mashallah Allah akuponeshe marardi yako ishallah

  • @NCHAKANchaca
    @NCHAKANchaca 4 місяці тому

    Biblia. Mathayo 11:28
    [28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
    Come unto me, all ye that labour and are heavy laden, and I will give you rest.

  • @user-xy9xf9re9y
    @user-xy9xf9re9y 4 місяці тому

    Dada achana na washilikina muombe mungu Kwa sana utapona TU Kwa mungu akuna atakoloshindwa utapona inshallah

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 4 місяці тому +2

    Ila mdada mzuri maashaallah tabarakallah, namuomba Allah akujaalie mume mwema

  • @mailarichard3269
    @mailarichard3269 3 місяці тому

    Nashauri uokoke Dada na Mungu atafanya uponyaji kwako

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 4 місяці тому

    Hujafa hujaumbika..mashallah bint kazuri mungu akufnyie wepesi 🤲🤲

  • @user-ty8hu5gh4h
    @user-ty8hu5gh4h 4 місяці тому

    Pole sana ,tatizo nimeoa tu ningelikuoa mimi

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 3 місяці тому

    Huyo bwana inafaa achukuliwe hatua ya araka upesi....uta nyanyasa vip kilema na kumpiga kwa juu....hatua ichukuliwe araka....pole xna dadangu .😢😢

  • @husseinhassaname
    @husseinhassaname 4 місяці тому +2

    Ww kwanza jihifazi ww kabla kuhifaziwa ndio uombe mtu akuoe na mm nakushauru epuka vijana olewa na watu wazima watakufanya uwe na furaha

  • @evaemil856
    @evaemil856 4 місяці тому

    Mr. Right jiunge huko km wengine Ila usali na kutubu first.

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 4 місяці тому

    Jamani pole shida umeweka tumaini kwa binadam binadam hana msaada mkimbilie Yesu peeke mwenye majibu zaidi ya hapo maana hizo ni nguvu za giza ulirushiwa pole sana

  • @Nibizichristo
    @Nibizichristo 4 місяці тому +1

    Dada pole Sana kwa yalio kukuta , ila Mungu bado anakupenda saba, Ila ungitafuta Wana maombi kumbuka rose muhando aliumwa myaka 9 alivy9kwenda kimaombi bwana Yesu christ alimponya nanda kwa watu wakuombeye utapona

    • @ayubzaka1598
      @ayubzaka1598 4 місяці тому +1

      Wabongo elimu ndio hakuna kabisa Ur very primitive surely

    • @ayubzaka1598
      @ayubzaka1598 4 місяці тому +1

      Kwani hakuna Sheria huko bongo

    • @ayubzaka1598
      @ayubzaka1598 4 місяці тому +1

      U need check for physical doctor hakuna uchwai hapo dada

    • @ayubzaka1598
      @ayubzaka1598 4 місяці тому +1

      Matibabu yako hapa Nairobi shy needs physical medication Nd physiotherpy

  • @braitonlwanda764
    @braitonlwanda764 4 місяці тому

    Utapona dada hayo yanamwisho wake, Mungu wetu ni mmoja jaribu kwenye maombi

  • @user-hn6kv6xe7m
    @user-hn6kv6xe7m 4 місяці тому

    Watangazaji hongereni sana,mtoeni out huyo dada angalau aondoe mawazo mumtembeze mjini angalau moyo wake ukunjuke😭

  • @gaitamaemmanuel
    @gaitamaemmanuel 2 місяці тому

    Umetupiwa jini alafu bado unaenda kwa majini ili wamtoe jini....tafuta kanisa karibu yako ndio kiboko ya icho ulichotupiwa...Yesu anaponya

  • @simbahussein4416
    @simbahussein4416 4 місяці тому

    pole sana mungu ata kusaidia

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 місяці тому

    Kanafaaa kuoa mashaaalah,rudi kwa sharifu tena,chuma hicho mzee baba,unakiogesha, ndani kw ndani,

  • @user-qm7wy2ms4r
    @user-qm7wy2ms4r 4 місяці тому

    Mwamini mungu iko siku utatembea hiyo ni mitihani ya mungu inshaallah

  • @user-wq9md2tk6e
    @user-wq9md2tk6e 4 місяці тому +2

    Allah akbar

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 3 місяці тому

    Nenda mbinga kwa Mtumishi Wa Mungu Jofrey Utapona na Kutembea papo kwa papo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 місяці тому +4

    Dada ukisom coment usije ukabadili din kwa ajili yakupon miguu mungu tuy hajaamuw utapona usisikeze hao wanao sem etnokoka umuone yesu waulize yesu anapatikan wap ndo umuone kaa na dini yako

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 4 місяці тому +1

      Punguza Ushauri mwingi fata imani ya maisha yako na yeye Afate maisha yake kiufupi Heshimu imani za watu

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 4 місяці тому

      @@stevenlugojeremia2323 .umesikia kasem yy ni mkiristo am ushambega umekujaa na umbea mwingi chiz w

  • @natashakibale5557
    @natashakibale5557 4 місяці тому

    Njoo kwenye ukristo Yesu atakuponyaa

  • @JamesKabodo
    @JamesKabodo 3 місяці тому

    Kimbilia kwa Yesu utapona

  • @user-eb1xi2qk8e
    @user-eb1xi2qk8e 4 місяці тому

    unastahili kuolewa inaonesha unaijuwa dini kidogo..nakushauri swali sana muombe mungu sana kwenye ibada yako

  • @rahma6189
    @rahma6189 4 місяці тому

    Pole sana