#TBT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 16

  • @alitante4279
    @alitante4279 3 місяці тому +1

    Vaa jezi za yanga chama usione aibu sisi simba tushakuacha kwa amn msaliti

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 місяці тому +1

    Nasikia kila ck usiku viongozi wa simba walikuwa wanamtuma shemalone akampige chama alafu wallikuwa wanampa chama chumvi na ugali😢

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 місяці тому +1

    Mchezaji bingwa anacheza na timu bingwa

  • @stevensoso7506
    @stevensoso7506 3 місяці тому +1

    Kazi ni Kaz Kaz njema uendako ukafanye vizuri

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 3 місяці тому

    Chama matamaa kawa mswahili huyo rushwa kweke kawaida sana kikubwa hela aende kwanza umri umeenda sana kama Saido

  • @MUOGOMCHUNGU
    @MUOGOMCHUNGU 3 місяці тому

    Ata gemu yakwanza Simba inafungwa5 manual .inonga chama walikua maduka.

  • @MUOGOMCHUNGU
    @MUOGOMCHUNGU 3 місяці тому

    Msariti ana kificho mwacheni aende2

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 3 місяці тому

    Nenda chama ulikuwa msaliti

  • @Abuu-gs1yi
    @Abuu-gs1yi 3 місяці тому

    Poleni wananzengo wa Ukoloni

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 місяці тому +1

    CHAMA WEWE NI MSALITI SANA KUMBUKA ULIKOTOKA WALIKUAAMBIA WEWE NI MZEE SASA HUKO UNAENDA KUFANYA NN?

    • @jamhuriyawambapanaji
      @jamhuriyawambapanaji 3 місяці тому +1

      😂😂😂 ugaliiiiiii sukari

    • @mussahoza
      @mussahoza 3 місяці тому +1

      acha makasiliko.. kaz yakee n mpiraa huyo,, mzgoo ukiwa mwngn lzm akubar tu, km manara kaenda yanga yeye nan ss... maishaa ndo yalivyoo

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 3 місяці тому +1

      Pole asee

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 3 місяці тому +1

      Acha ujinga ww hiyo ni kazi yake uyo, kwan kazaliwa simba?

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 3 місяці тому

    Mpira wa bongo umejaa unafki na umbea alikuwa mzee xaxa hivi karud kijana yanga wanafki xana ndio mana soka letu haliki mbali majungu mengi unafki mtupu

    • @mchox1679
      @mchox1679 3 місяці тому

      Mbona apo bado ujasema