Huu ndo mziki wetu wa Tanzania sasa..lkn watu hawaupi kipa umbele wanakuza vya watu..na wakat huu mziki ukiufanyia promo dunia itajua na tutapata pesa nyingi sana
Wamwiduka band ni moja tu Tanzania na nadhani Hawa jamaa watakuwa gumzo sana Tanzania hii. Nawakubali sana sana. Kazeni ipo cku mtakuwa level za juu sana.
Wadogo mpo vizuri Sana'a lakini nawashauri kuna sehemu mmeisahau nayo uchezaji tafuteni wadada 2 tu wavae vizuri kiasili wacheze style za kipekee halafu mtanitafuta hata mwakani sauti za busara watawapongeza
Kipaji mnacho,kikubwa mshikamono wa nyinyi kwa nyinyi ili mtengeneze mziki mzuru...naamini mtafika mbali sana kwani mziki wa asili ndio utamaduni pekee wa mtanzania.Najivunia kuzaliwa Tanzania na kupata radha halisi za Kiutamaduni wa kitanzania.
Nawafatiya Sana mm kilawakitowa nyimbo zao wakovizuri Sana mpiga manyanga yukovizuri sana
Asante sana Wamwiduka! Hongera mtangazaji kwa umahili wa kazi na kuimiliki vyema hadhira!
Nice one watoto wa nyumban
Tunakuombeeli duwa msije kutengana Wala kugombana kwaajili ya kitu kidogo tu ya pesa udugu wenu uwendelee mileleee Amin kutoka Zanzibar
Huu ndo mziki wetu wa Tanzania sasa..lkn watu hawaupi kipa umbele wanakuza vya watu..na wakat huu mziki ukiufanyia promo dunia itajua na tutapata pesa nyingi sana
Wamwiduka band ni moja tu Tanzania na nadhani Hawa jamaa watakuwa gumzo sana Tanzania hii. Nawakubali sana sana. Kazeni ipo cku mtakuwa level za juu sana.
Huo ndo msingi wetu hasa wanambeya kama mm sio mziki wa kisasa unawanufaisha walio soma tu asili ndo mpango ( Nakupenda asili yangu).
Harafu Hawa wakaka ni wapole sana jamani ninawaoneo huruma sn mungu awabariki ndugu zangu mfike mbali mpaka nje ya dunia
Wadogo mpo vizuri Sana'a lakini nawashauri kuna sehemu mmeisahau nayo uchezaji tafuteni wadada 2 tu wavae vizuri kiasili wacheze style za kipekee halafu mtanitafuta hata mwakani sauti za busara watawapongeza
Ninawakubali sana nyie jamaa.mungetafuta bar kubwa kubwa hapa mjini mkawa munapiga kila juma fulani bar hii kila juma fulani bar hii.mutatoboa
Safii tasafwa pamwanya
Pamoja sana by Songo ihanda
wazo zuri kwao
Tasafwa tivinza
Lyoli mwanamai
Mpo vizuri 🔥🔥🔥
Utaniweka utaniweka matatani moyo
Mwagona mwee
wolo wolo
Wamwiduka nawakubali sana, haina kufeli, #mapambanoYaendelee💪
Nyinyi mngekuwa na watu wakucheza na katika mtindo wenu huo basi mngeweza kuvuma kama makirikiri
Talented
Wamwiduka noma sana, wanajua sana
Safi watoto wa nyumbani
Kipaji mnacho,kikubwa mshikamono wa nyinyi kwa nyinyi ili mtengeneze mziki mzuru...naamini mtafika mbali sana kwani mziki wa asili ndio utamaduni pekee wa mtanzania.Najivunia kuzaliwa Tanzania na kupata radha halisi za Kiutamaduni wa kitanzania.
mungu akusaidie kaka uendelee kukuza kipaj chakooo
Kazanibuti awilo waongoze wanzako namikubalisana
Ana hekima Sana huyu jamaa mwiduka yaani kajishusha na anathamini wenzie Kama yeye hivi ndo inatakiwa
Jaman wamenikosha nimehisi nipo nyumban kabisa najivunia kuwa msafwa
Hawa Jamaa wanafaa sana
Noma saana anaejua anajua tu
Jasili achi asili hata bango freva ilianzia huko hayo mengene nimabolesho tu hongeleni sana wakubwa
Sana watoto wa nyumbani kazeni mtafika
Kazana
kazaneni.mtafika.mbari.
Hawa jamaaa nawakubali Sana
Aise huyu mwamba wa kutikisa #chelewa nahisi kama anateseka😄 ila namkubali laana
Nawakubari sana ,hawa wasafwa wenzangu ,mungu awaongoze ktk kazi yao .
🙌🙌🙌🙌🙌👏🏼👏🏼👏🏼
Mpovizuriiii xanaaa
Wanajua kukiamsha
🙏🙏🙏
Oya kama makhirikhiri vile upepo wenu,mnasauti za radi vijana
Nawakubal awa jama atariiii
Vizuri kazeni mtatoka tu
Uguluvi ave namwi imbombo yinyu ivalaje whitanzi kila pahusha wasafwa hoyeeeeer
Wamba washaanza na kung'aa kabisa