Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante jeshi letu safi sana Hawa wanachafua jeshi letu Asante mungu hawabaliki sana kwa kazi
Hongera sana Jeshi La Polisi 🇹🇿. Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin.
Hongera sana Polisi kwa kazi hii nzuri.
namshukuru mwenyezi mungu kwa ajir yako n kwa ajili ya jesh la police
yaani mwenyez mungu bado anakupenda bro tarimo hata sasa bwana amekupigania
Hongera jeshi letu la polic
Safi sana.
Alhamdulillah Rabbal 'Alaamiin.
Mzee Kibao. Soka. Mlai. Mbise. Nani aliyewaua???
Kwani soka,Mlai na Mbise wamekufa ?
Wachukuliwe hatua kali za kisheria iwe mfano kwawengine
Vipi maendeleo ya kesi ya yule mama aliyemchinja mtoto wa jirani Arusha na kumkatakata na kumweka katika beseni?
NI WAZO NA UELEWA KIDOGO:-HUWA HIZI PINGU..WANAZITOA WAPI..??-JE,NI ZA POLISI KWELI KAMA WENGI WANAVYODHANI..??HEBU TUSAIDIENI KWA SWALA HILI
Kwani polisi mnajuaje heshima kwenu ninyi ni zaidi ya mashilawadu ila ila ila
Na vipi maendeleo ya uchunguzi wa kifo cha ndugu Ally Kibao?Na Kwa Tanga vipi kesi ya mauaji ya Mume,mke na Ally Bagdadi wa Tanga barabara ya nne?Na vipi kesi ya Afande Fatma kigondo?
Uzembe na uzururaji
Polisi wetu hawana uwezo huo .yawezekana mtekwaji aliwataja anawafahamu kibiashara.
Bila information hata CIA na MOSSAD hawawezi kufanya kazi, information is power
Juzi Nondo naye???
Tulia watu wanachunguza
Salama wakati juzi tu hapa katekwa Nondo usalama huo mnautowa wapi?
Asante jeshi letu safi sana Hawa wanachafua jeshi letu Asante mungu hawabaliki sana kwa kazi
Hongera sana Jeshi La Polisi 🇹🇿.
Mungu Awabariki na Kuwalinda.
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin.
Hongera sana Polisi kwa kazi hii nzuri.
namshukuru mwenyezi mungu kwa ajir yako n kwa ajili ya jesh la police
yaani mwenyez mungu bado anakupenda bro tarimo hata sasa bwana amekupigania
Hongera jeshi letu la polic
Safi sana.
Alhamdulillah Rabbal 'Alaamiin.
Mzee Kibao. Soka. Mlai. Mbise. Nani aliyewaua???
Kwani soka,Mlai na Mbise wamekufa ?
Wachukuliwe hatua kali za kisheria iwe mfano kwawengine
Vipi maendeleo ya kesi ya yule mama aliyemchinja mtoto wa jirani Arusha na kumkatakata na kumweka katika beseni?
NI WAZO NA UELEWA KIDOGO:
-HUWA HIZI PINGU..WANAZITOA WAPI..??
-JE,NI ZA POLISI KWELI KAMA WENGI WANAVYODHANI..??
HEBU TUSAIDIENI KWA SWALA HILI
Kwani polisi mnajuaje heshima kwenu ninyi ni zaidi ya mashilawadu ila ila ila
Na vipi maendeleo ya uchunguzi wa kifo cha ndugu Ally Kibao?
Na Kwa Tanga vipi kesi ya mauaji ya Mume,mke na Ally Bagdadi wa Tanga barabara ya nne?
Na vipi kesi ya Afande Fatma kigondo?