Huyu ndie Kishki wa Bukoba(Mtoto)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 кві 2021
  • Omar Bakari Almasi online tv

КОМЕНТАРІ • 427

  • @hassanbaya
    @hassanbaya 3 місяці тому +4

    Ya rabb mjaalie kijana huyu afya na amani na umuongoze katika njia iliyo nyooka pamoja na wazazi wake inshaallah.

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +14

    Mash allah tabarak rahman....ALLAH amuhifadhi huyo mtoto na kila shari na kila hasad balaa atukuzie atuhifadhie yarab... allahuma amin....

    • @chandengao8795
      @chandengao8795 2 роки тому

      Mash Allah Allah akujaalie kila la kheri ahera na dunia inapendeza sana

  • @dullydullahsenior756
    @dullydullahsenior756 3 роки тому +7

    MashaaAllah Tabaraka Rrahman 🙏🙏🙏🙏🙏🙏Allah awatuzidishie Hawa watoto elimu Na kheri Na barka télé izi ni Zawadi kutoka kwa Allah

  • @mwinyimwalim6999
    @mwinyimwalim6999 3 роки тому +13

    Allah amjaalie kila lenye heri na yeye sheh huyu na awajaalie na wenetu na sisi wafuate nyayo za mtoto huyu Amiyn

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 3 роки тому +14

    Kizaz chema Allah akupe mwanga ktk safari YAKO ya maisha mwangu

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 3 місяці тому +1

    Allah (SWT) akuangazie nur siku zote, akuepushe na hasaa na akupe umri mrefu uiangazie Quran tukufu na sifa zake❤

  • @swalehmzee5883
    @swalehmzee5883 2 роки тому +1

    Watu wanaigiza wasanii kina diamond na harmonise MashaAllah mungu atubainishia sheikh kishki daawah unafanya kwa dhati imeleta matunda na mifano kwa watoto hali ungalipo hai hujakufa tumeshuhudia NASISI nimashahidi kwa hilo
    HONGERA ALLAHU BAREEK

  • @earlybakari7580
    @earlybakari7580 3 роки тому +27

    Mashallah,vipaji vya watoto vinaonekana kwtu bongo,Allah akbar

  • @z.nalnabhani7194
    @z.nalnabhani7194 3 роки тому +8

    Mashaa Allah,TZ tunao mashekh chipkizi wengi,mashekh washikeni mikono hawa watoto,hii ni neema kubwa sana

    • @salehrocky6970
      @salehrocky6970 3 роки тому

      Mashallah allah akuzidishie kipaj zaid amin

  • @PEPMIS4770
    @PEPMIS4770 3 роки тому +28

    Mashaallah. Huyu mtoto kipaji maalumu, Allah amnusuru na macho ya watu wabaya na amuondoshee nuhsi

  • @disantojevnco2718
    @disantojevnco2718 3 роки тому +8

    Wazazi tuwapeleke watoto madrasa ili wapate kumjua ' Allah' na kushiba maneno ya 'Allah' sheikh kishki no 2 ana skills ya ajabu Hongera anajua sana 'Allah 'ampe umli mlefu apate kuitetea dini ya 'Allah' insha Allah

  • @pachawadoto5911
    @pachawadoto5911 Рік тому +2

    Nimejifunza jambo kubwa saaana kupitia mtoto huyu 😭Allah amuhifadhi na watu madwalim...( Aliejaaliwa ni yule anaetuii Allah...

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 3 роки тому +10

    Maa shaa Allah Maa shaa Allah Maa shaa Allah.Allahu Aqbar

  • @WaridiTambi
    @WaridiTambi 4 місяці тому +1

    Masha Allah mwakan na yy ashindane katika mashindano ya kusoma Qur'an

  • @ashatomas9914
    @ashatomas9914 4 місяці тому +1

    Ishallah mungu amzishe kumpa kipaji na hamuifadhi katika daraja la waladi katika daraja la firdaus

  • @sofiaahmad1926
    @sofiaahmad1926 3 роки тому +1

    Huu ndio mfano mwema wa kuwiga swiratul mustaqeema. Sio bongo music.

  • @sein.208
    @sein.208 3 роки тому +19

    Masha Allah
    Subhana Allah
    Allah amuhifadhi mtoto huyu🤲🏻💚

  • @Salum85
    @Salum85 3 роки тому +5

    Allah amtie nguvu kijana mzuri katka dini yetu tukufu. Aamiyn

  • @twaliathandrea6610
    @twaliathandrea6610 3 роки тому +4

    Mashaallah mashaallah Allah akuongoze mtoto mwema,Akukinge na kila shari

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 роки тому +7

    From oman mascat nawapata vizuri shekh kishiki na pacha wako masha Allah

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 роки тому +31

    Mashaallah Allah ampe umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia mtoto huyu nimempenda San mungu amuongeze amzidishie elimu yake

    • @munatwalib2808
      @munatwalib2808 2 роки тому

      Mashaallah Allah mkinge na shari mahasidi

  • @mamysaid2283
    @mamysaid2283 3 роки тому +9

    Allah atujaalie na sisi tupate vizazi vyema Inshaallah

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +8

    Atami nime furahi alhamdulillah alhamdulillah ninemaa

  • @abdickarena-live114
    @abdickarena-live114 3 роки тому +14

    MashaAllah Allah amjalie mwisho mwema! Huyu kijana pamoja masheikh wote kwa uwezo wa Allah! Allah tu ndiye mwenye uwezo

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 роки тому +2

    Ma sha Allah. Shukran kwa kutujulisha kuhusu kijana huyu mwema. Allah amjaalie kila la kheri Duniani na Akhera. Na amjaalie awe kijana wa kuigwa na vijana wakubwa na wadogo na wote wale wanaopenda upokezi wa ujumbe wa Allah aliotutumia kupitia kwa Mtume wake Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam. Ila hapo aliposema, Wallahi mjumbe wa Allah angezimia kwa kulia nadhani ni mtoto ameongea anavyodhani. Au mwasemaje viongozi wetu?

  • @minazabdul2105
    @minazabdul2105 2 місяці тому

    Mashallah allah swt amu ongoze kishki wa kama chumu..na nimefurahi sana jinsi alivo soma

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому +3

    Mashaalla mtoto mzuri m.mungu akuzidishie ufahamu zaid

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 3 роки тому +1

    Walah shekhe kishki umeanza kutengeneza kizazi cha kumjua mungu kwa kukufuta wewe jambo zuri munyeezi mungu akujaalie khery ili wawe wengi

  • @abdalamado7150
    @abdalamado7150 10 місяців тому +1

    Mashaa Allah Sheikh kishk mwenyezimugu awalinde niko nsumbiji sijui kiswahil vizuru

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +15

    Maashallah Allah amzidishie elmu lnshallah

  • @user-go2dj2xs6m
    @user-go2dj2xs6m 2 роки тому +1

    Allahu akbar, , Allah awahifadh watoto wote wenye kuwapenda mashekhe na uislamu

  • @jumaadremane7756
    @jumaadremane7756 3 роки тому +7

    Mashaa allah sheh Kishk for that surprise. We've anjoid a lot.

  • @user-xb5fd1yf5w
    @user-xb5fd1yf5w 3 місяці тому

    Mashaalah barakallah Allah awaongoze watoto wetu inshallah

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 роки тому +11

    sheikh kishik tunakupenda lillah

  • @MeraiOmar-ok8bo
    @MeraiOmar-ok8bo 4 місяці тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah..mungu azidi kukuongoza mtoto mzuri ❤

  • @aysherbenta5426
    @aysherbenta5426 4 місяці тому

    Wallah nimelia kwa furaha.allah akubariki mwanangu daaaah

  • @fatmaabdi6913
    @fatmaabdi6913 3 роки тому +1

    SubhanaAllah...Allahu akbar...mashAllah tabarakaAllah......may Allah guide him on the straight path until his old age ameeen.

  • @user-je7qd5po5q
    @user-je7qd5po5q 3 роки тому +2

    MaashaAllah Kishk mdogo Allah akubari na akuongoze💖❤

  • @soumyasingh2011
    @soumyasingh2011 3 роки тому +2

    Mashaallah Allah amhifadhi Kishki Junior wetu,Amiin yaa Allah

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 4 місяці тому

    Mashaallah mwenyezi mungu akujalie Kilalaher

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Рік тому

    Subhaana llah Ametakasika Mola wangu,neema iliyoje ukiwa mfano mwemaa sheikh wangu Alhamdulillah Rabbil'Alaamina kijana yupo vizuri amepita mlemle maishaallah

  • @halima2549
    @halima2549 3 роки тому +10

    MashaAllah wallah nimefurh kijana anaigiza kila neno la sheikh.. Na hivi ndivyo tunavyoomba sote vijana tuige mifano kama hii

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 роки тому +2

    Maa Shaa Allah!
    Allah Subhannahu Wata'ala ambariik na Kumhifadhi, Aamiin.

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 3 роки тому +1

    Mr nice anasemaje
    Dudu zuri anasemaje
    Adija nyusi anasemaje......Allah tupe watoto wema kama huyu kiumbe in Shah Allah 🤲

  • @alisaid5378
    @alisaid5378 3 роки тому +2

    Mashaallah.alla atuwekee tabiitabiina watabiina wakizaz chamtume Muhammad s,a,w

    • @salmakimweri431
      @salmakimweri431 2 роки тому

      Maishallah allah ampe mwisho mwema inshallah

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah mpk machozi yamenitoka, Allah akuhifadhi kijana

  • @mussamussa952
    @mussamussa952 3 роки тому

    Allaahu Akbar. Mwenyezi Mungu ampe nguvu ya kuitetea dini ya kiislam hadi kufa kwake. Aamin

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому +2

    Mtoto ukovizuli m/mungu akuongezee erim na mwisho wako uwemwema

  • @muhammedkipande3986
    @muhammedkipande3986 2 роки тому +1

    Mashallah Allah awajaze neema tele walimu wetu na walezi wetu aaaamin🤲

  • @MwanahawaYahya
    @MwanahawaYahya 4 місяці тому

    Maaxhaallah allah atupe kizaz kilichokuw bor na si bor tu kizaz

  • @yasinimushi1406
    @yasinimushi1406 2 роки тому

    Masha allah mwenyez mungu amjaalie ujuzi zaid

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 3 роки тому +1

    MashaAllah MashaAllah M/Mungu afikishembali zaid Amiin ya Rabbi Allahmin ya Rabbi 🤲🏿🤲🏿🤲🏿

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 3 роки тому +1

    Masha Allah Allah azidi kumuongoza katika njia ya kumpendeza Allah

  • @TimeMohd-dv3mu
    @TimeMohd-dv3mu Рік тому

    Hakika mungu ni mkubwa na katika hii dunia hakuna asie na akili maarifa2 ndyo wngne hawana takbirrr

  • @mimiwewe6617
    @mimiwewe6617 3 роки тому +1

    Shukran Kishk wa kamachumu., Allah akujaze kheri

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому +1

    Mashallah mjomba hodar mana anakipaji cha kusomesha mungu mlinde maalim wetu .

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 3 роки тому +4

    Allah bariq mashaallah watabaraqallah

  • @afric01
    @afric01 Рік тому

    Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Tabarakallah!!!! Yasssallaaam. Itakuaje Sheikh kishk akose kumpenda kijana huyu ambapo mimi mwenyewe ni mempenda. I love you so much!! Kishki junior love you so much 💕😘. Allahu Akbar. Subhannallah!!!!❤❤❤❤❤❤

  • @user-ef4kr6lt2h
    @user-ef4kr6lt2h 4 місяці тому

    Mashallah mashallah muzazi kazi nzuri

  • @MuhineBakari
    @MuhineBakari 4 місяці тому

    Mashaallah allah akuhifadhi na macho ya watu wabaya

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 роки тому +1

    ALLAH AKBAR: MASHA ALLAH TUNAONA WATOTO WENGI CHIPUKIZI, WENYE VIPAJI KATIKA KUTOA DA'AWA,: ALLAH AWALINDE.

  • @salumabdallah294
    @salumabdallah294 3 роки тому +1

    Mashaallah Allah amjaalie yaliyo mema na elim ya juu juu yadini

  • @zaitunmustapha8962
    @zaitunmustapha8962 3 роки тому

    Tunakupenda Sana sheikh kishik hongera sana Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha

  • @twalibmavumba
    @twalibmavumba 4 місяці тому

    Jazakallahu lkheir yaa waladu swaaliha ❤

  • @richdll5714
    @richdll5714 3 роки тому +3

    Mashaaallah ALLAH amwongezee

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 4 місяці тому

    Yesu ni mshindi wa ulimwengu penda usipende ndiye nabii pekee aliye fufua njoo kwa yesu kila pepo linakimbia mungu hana lugha wa dini matendo ndiyo yatakayokufikisha mbinguni

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 4 місяці тому +1

      Hvi we unaelewa unachokizungumza we unamatendo gani ya kuingia peponi haliyakuwa unaingia kufany ibada na viatu unalal bila dua unakula bila dua unaoga bila dua unamatendo gani ya kukupeleka mbinguni

  • @sarahmugisha5011
    @sarahmugisha5011 3 роки тому +2

    Adi raha jamani kishik mutot👌😘😘

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 3 роки тому +4

    Maa shaa Allah, tabarka Allah

  • @leilazulpha3205
    @leilazulpha3205 3 роки тому

    Masha Allah Allah amuongoze kwa kipaji chaki juu ye ndio mpatiaji in shaa Allah

  • @AliMohamed-ht1uj
    @AliMohamed-ht1uj 3 роки тому +1

    Mashaallah
    Allah amujlie kijna hyu kila lakher n awasamehe wazizi wke n awafnye wakuwe n wtu w peponi

  • @mussajuma6714
    @mussajuma6714 3 роки тому

    Allah akujaliye mtoto akuepushe na shetwani akujalieye kuitangaza uwislam ndiyo dini ya haki inshallah Allah atakulipa

  • @mainunasungura4556
    @mainunasungura4556 3 роки тому +1

    Masha Allah mwenyezimungu amuepushe nahasadmtthuyo

  • @zaitunmustapha8962
    @zaitunmustapha8962 3 роки тому +1

    Allah amtangulie mtoto huyu na amuongoze na njia ilionyooka njia ya kher

    • @ashhamsaid9444
      @ashhamsaid9444 2 роки тому

      Allah Akuhifadh Mashallah barakafiyhum

  • @abubakarsadiq8179
    @abubakarsadiq8179 3 роки тому

    MashaALLAH huyu kijana atakuwa kiongozi wa kesho IN SHA ALLAH

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 3 роки тому +3

    Mashaallah, allah akupe heri nyingi wewe na wazazi wako ameen.

  • @nondaimagestv
    @nondaimagestv 3 місяці тому

    MaanshaAlĺah,Allah Awke Kira Khair.

  • @user-sl2lu5rk2f
    @user-sl2lu5rk2f 3 місяці тому

    Mashallah Allah atujalie vizaz vyema

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 місяців тому

    MASHAAAالله MASHAA االه MASHAA الله TABAAARAKA لله.😢😢😢😢😢

  • @aminasalum6695
    @aminasalum6695 3 роки тому +1

    Mashaallah mwenyezmung akupe umr mrefu

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 2 роки тому

    MashaAllah baraka Allah fiq

  • @saidemfalume8909
    @saidemfalume8909 2 роки тому

    Shekhe nurdin kishki allah akujalie afya njema na barraka uzidi kutangaza qur an tukufu na sunna za mtume muhammad s.a. w

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 4 місяці тому

    Masha Allah,,baarakallahu fiikum

  • @shebankaingu3944
    @shebankaingu3944 3 роки тому +1

    Maashallah Maashallah Allah ampe nguvu na afya

  • @habsobashir4616
    @habsobashir4616 2 роки тому

    ماشاءالله.
    Keep going young star,u will be amoung the leaders of tomorrow inshallah

  • @hatmaally8986
    @hatmaally8986 2 роки тому

    Maashallah Maashallah Maashallah Maashallah allah amuhifadhi kijana hyo amiin ya rabbi

  • @swalehmzee5883
    @swalehmzee5883 2 роки тому

    HONGERA HONGERA HONGERA SHEIKH KISHKY ALLAH AKUJAZE KATIKA MIZANI YAKO MEMA

  • @luciasteven6441
    @luciasteven6441 2 роки тому +1

    mm nimkrsto lakin naipenda sana dni y kiislamu....

    • @nondaimagestv
      @nondaimagestv 3 місяці тому

      Allah, Akuingoze yaa Ndugu yetu

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 роки тому

    Maa sha Allah wallah raha sana Allah atupe vizazi vyenye kumcha Allah na kuwapendwa na kuwaiga masheikhe wetu kwa mema

  • @firdausoman1678
    @firdausoman1678 3 роки тому +1

    Mashaallah tabarraka Rahman Allah amuhifadhi

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому +2

    Subhana llah alhamdullillah mashallah 🥰🥰

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 місяців тому +1

    MaashaAllah maashaAllah❤❤❤❤❤❤

  • @brunonamanga4768
    @brunonamanga4768 3 роки тому +1

    Mashallah mtoto uko vizuri mnooooo

  • @user-vn4ri6if3i
    @user-vn4ri6if3i 4 місяці тому

    Allah ambaarik hmm ♥️♥️♥️♥️

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 роки тому +1

    MASHALLAH ALLAH AKUFANYIE WEPES INSHALLAH

  • @CizaDangote
    @CizaDangote 3 роки тому

    SUBHANALLAH vipaji vipo Kwakweli.
    ALLAH tujaaliye wana Wema

  • @kevindominic9522
    @kevindominic9522 Рік тому

    Mashallah, Alla amlinde mwanetu awe kiboko cha ulimwengu

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 роки тому +1

    .ماشاء لله تبارك الرحمن يا ولد الله يجزيك الخير ويحفظك

  • @adibandagile7720
    @adibandagile7720 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah tabaalakAllah Kishk wa Bukoba

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 роки тому

    Maa Shaa Allah!! Allahu baarik Allah akuzidishie Elimu mwanangu,mdogo wangu Shekh kishk Allah akuhifadhi Sana

    • @issackalio4353
      @issackalio4353 3 роки тому

      Mashaallah ustadh wetu mungu akubariki kwa dunya na akhira

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 місяців тому

    Mashaaa الله Mashaaa الله Mashaa الله.