INAKUWAJE MTUMISHI WA MUNGU AFUNGUE WENGINE WAKATI YEYE ANAISHI CHINI YA VIFUNGO VYA LAANA(Maagano)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai Місяць тому

    Tafadhali promover mkatasheni mtumishi kumtaja Mohamed na Allah,Mungu wetu ni Yehovah aliye hai na Yesu Kristo Mwokozi wetu 😢

  • @getrayakoyi9185
    @getrayakoyi9185 Рік тому +3

    Asante mchungaji amiel karibu Mombasa ya Kenya angalau nasi yesu kristo aliye hai atukomboe Kwa laana hizo 🎉😮

  • @MethuseraErasto
    @MethuseraErasto 7 годин тому

    mungu atufungue kwenye vifungo

  • @monyshirima
    @monyshirima Рік тому +2

    Amina mtumishi wa MUNGU, naomba uje na huku kwetu Kilimanjaro Wilaya ya Rombo tunashida sana naitwa Elizabeth

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 10 місяців тому +1

    Tena kweli mtumishi mungu akulinde twabudu mungu naitwa Jane Toka malawi

  • @davidmasha310
    @davidmasha310 5 місяців тому +2

    Nakufunika kwa damu ya Yesu

  • @lulumaro6579
    @lulumaro6579 Місяць тому

    Nakuelewa sana mtumish wa mung

  • @gerdmacharia6932
    @gerdmacharia6932 Рік тому +1

    Amina Amina shetani hana Nguvu kwa jina la Yesu Kristo

  • @RhianShauri-h8r
    @RhianShauri-h8r 3 місяці тому

    Yesu azidikuwa juu tuu

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 Рік тому +2

    Amiel your teaching s are wonderful, may God bless you coz you are a blessing to me

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc Рік тому +4

    Nawapenda sana nimebarikiwa

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +1

    Amen ubarikiwe san mtumishi mungu azidi kktumia jinsi apendavyo

  • @raelnangila3006
    @raelnangila3006 Рік тому +1

    Ameeni mungu awalinde Hawa wachungaji

  • @rosettenyandwi6334
    @rosettenyandwi6334 Рік тому +1

    Amen and Amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @FainaMkemwa-jf6tn
    @FainaMkemwa-jf6tn 7 місяців тому +1

    Mchungaji. Naomba uniombee rehema wakati sijaokoka nilikuwa sijui kutumia majira kuwani dhambi nikatumia md mrefu yakaja kunisumbua sana tuna yakajifunga kuzaa kabla ya mda wake. Nilivyopata uvimbe tumboni walipinipasua .nikafunga kizazi naomba Mungu anisamehe

  • @FainaMkemwa-jf6tn
    @FainaMkemwa-jf6tn 7 місяців тому

    Ainuliwe BWANA aliekuokoa ili akutumie ufundishe na wengine wayajue mapenzi ya Mungu alie hai Mungu aendelee kujifunua kwako mataifa wamjue kristo wa nazalet alie hai

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 9 місяців тому

    Nilijua una Yesu kumbe umeaga

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 Рік тому +1

    Amen Amen Ameeeeeen

  • @RahimaShujaa
    @RahimaShujaa Рік тому

    AMEN NIMEBARIKIWA
    SHUKURAN PROMOVER TV

  • @MsafiriSirvestar
    @MsafiriSirvestar 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU pia tunaomba namba yako ya simu

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Рік тому +1

    Amen

  • @raelnangila3006
    @raelnangila3006 Рік тому +1

    Aleluyaaah

  • @annajotham9478
    @annajotham9478 Рік тому +2

    Mi nahisi huyu ndiye aliye chaguliwa kuiokoa Dunia

  • @fitinamarando
    @fitinamarando Рік тому +3

    PROMOVER TV mbarikiwe wana Mungu hii ni wapi na imeanza lini sijabahatika kuina

  • @failanangeso26
    @failanangeso26 Рік тому

    Amina mungu awabariki

  • @JuliaMkura
    @JuliaMkura 11 місяців тому

    Amen 13:47

  • @HappynesMalimi
    @HappynesMalimi 4 місяці тому

    Naomba namba kuhani

  • @HappynesMalimi
    @HappynesMalimi 4 місяці тому

    Niombee na mm kuhani

  • @Estherm309
    @Estherm309 Рік тому

    😢😢😢😢 woooooii tusaidie Na utuokoe Na Yule muovu

  • @mwingandele9641
    @mwingandele9641 Рік тому

    Ameni

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk Рік тому +1

    Ezze16-1,4

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa Рік тому +3

    Tumeokoka lakini akuna maendeleo

    • @joyprecious8822
      @joyprecious8822 Рік тому +1

      Kweli kabisa dada,wakati mwingine tunadhihakiwa na makafiri

    • @pamelapendo1306
      @pamelapendo1306 Рік тому

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @fitinamarando
    @fitinamarando Рік тому +1

    PROMOVER TV mbarikiwe mbona hamjibu maswali yetu? --Dsm

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Рік тому

      Amen, swali lipi umeiliza?

    • @PeninahMwendwa
      @PeninahMwendwa Рік тому +1

      ​@@PromovertvTzbwana yesu asifiwe,ningependa mutumishi anielezee LA kufanya

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Рік тому +1

      @@PeninahMwendwa Akueleze la kufanya kuhusu nini?

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 Рік тому +1

    Hivi mtumishi katekela Bado uko SONGEA!????

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa Рік тому

    Apostle namba yako unapatikana vipi,tutafanya aje kufunja magano ya ukoo

  • @Justinakalogeza
    @Justinakalogeza Рік тому

    asanteyesu😮😢❤😅😊

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 7 місяців тому

    😂😂😂😂 mabinti mpoooo?

  • @vailetlemenya6576
    @vailetlemenya6576 Рік тому

    🔥🙏🙏🙏💪👏👏👏👏

  • @RhianShauri-h8r
    @RhianShauri-h8r 3 місяці тому

    Tai ni mtu mwenye nguvu na wewe na huyo

  • @RahimaShujaa
    @RahimaShujaa Рік тому

    HIVI NAEZA ONGEAJE NA HUYU MTUMISHI KATEKELA.. NIPATE JIBU SAMAHANI

  • @heriturya940
    @heriturya940 Рік тому +1

    Dadktariwarohosautihakuna

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  Рік тому

      Ni kipande kidogo tu,tumerekebisha tayari

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa Рік тому

    Naitaji kusngumza nawe,hii laana inao dolewa aje

  • @goodstar4790
    @goodstar4790 10 місяців тому

    Amen