Naona Waziri amekomalia wezi wa magunia na anataka kuwafunga. Vipi wezi wa mabilioni wanaotajwa kila mwaka kwenye ripoti za CAG? Hao hawaguswi....ni "wenzetu"😂 Watanzania bwana! Kufikiri kwetu kuna matatizo makubwa.
Safi sana mheshimiwa na naomba ikikupendeza muangalie na hili la mbegu za GMO nawasiwasi kunasiku tutakuja kukosa mbegu zetu za asili. GMO kibiashara ni nzuri kiafya je?
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Bashe big up.
Naona Waziri amekomalia wezi wa magunia na anataka kuwafunga. Vipi wezi wa mabilioni wanaotajwa kila mwaka kwenye ripoti za CAG? Hao hawaguswi....ni "wenzetu"😂 Watanzania bwana! Kufikiri kwetu kuna matatizo makubwa.
Safi sana mheshimiwa na naomba ikikupendeza muangalie na hili la mbegu za GMO nawasiwasi kunasiku tutakuja kukosa mbegu zetu za asili. GMO kibiashara ni nzuri kiafya je?
Na kwenye mbegu za pamba wapo na tunawajua
bashe akili mia!!!
Na huku ,,kwenye korosho uje Tena malipo yanachelewa