Huu wimbo umetufumbua macho. Awamu ya SITA ni kuimarisha Muungano (Mzanzibari) anaipaisha Zanzibar tu mf. Kapeleka ndege eti kule pia ni sehemu ya Tanzania, kagawa fedha za Sherehe za muungano, kamtuma Mwinyi kuwakilisha nchi wakati kisheria hauruhusiwi. Leo hii bidhaa bara zimepanda huku Zanzibar mambo shwari. Umeme hawalipiii Du!!
Nyimbo nzuri, ila Tanzania siyo mtoto ni mzee wa kustaafu kabisa, wanaobahatika kuwa Maraisi wa nchii hii wanatakiwa walitambue hilo na watupeleke kwa mchakamchaka kwenye vita vya kiuchumi.
Wimbo mzur hauchoshi kuusikiliza,,hongereni sana
Such a fabulous everlasting and entertaining song, much respect Super Kwata band, boom🔥
Daaah Kero upo poaaaa mzee babaaa nipe like yako mzee Kuna zawadi zako zinatoka Zenji zitakufikia usiwe na wasi
Umetishaaaaaaaaaaaa
Mko juu sana.. kwa uimbaji huo najua hata noten mpo vizuri mno
Namuona SGT WA JESHI..NZURI KIONGONZI..Nakubali
Wimbo mzuri Sana, da!! Ukiingia kwenye kumi na nane zao utadhani watakubebeleza na kukusamehe hahahahaaah
😂😂🤣🤣🤣
😆😆😆😆
Private Fidelis kutoka jeshi la kujenga Taifa JKT 831
Kazi iendelee
LOVENESS nakuona cheupe wa Combania.
Such a nice super band with integrity. Soldiers
Safi
#Kaziiendeleee,#Kaziinaendelea #Alipomamanavijanatupo,#Samiakazininakazitunaiona.
Hakika mko vizuri sana makamanda.
X mass imebidi niirudie maaana ni🔥🔥🔥
Waooooo!!! Mbarikiwe sana nimeipenda hili song yan la kuchukulia mke hili hahahha fireee Harmony nzuri sana sauti na mziki pia Gud
Enjoy mpangilio wa kila kitu... blessed
Hapo kweli tunahaki ya kuwapenda mumetisha
Huko mwisho huko singeli si singeliiii hatareeeee
Big up Polis wetu!!!
ohooo good teacher G wa mapunda
Tichaaa Kazi iendeleeee
Huu wimbo umetufumbua macho. Awamu ya SITA ni kuimarisha Muungano (Mzanzibari) anaipaisha Zanzibar tu mf. Kapeleka ndege eti kule pia ni sehemu ya Tanzania, kagawa fedha za Sherehe za muungano, kamtuma Mwinyi kuwakilisha nchi wakati kisheria hauruhusiwi. Leo hii bidhaa bara zimepanda huku Zanzibar mambo shwari. Umeme hawalipiii Du!!
Nc song
Watu na machaka yao tangu jkt hapo nibkazi iendelee na machaka yaendelee
Watu na machaka tokea mlale kule hahahaaa
Mko vzr wadada
Nice nice kazi iendeleee
Ujumbe mzuri sana
Safi sna ...vijana wa Polisi
Nyimbo nzuri, ila Tanzania siyo mtoto ni mzee wa kustaafu kabisa, wanaobahatika kuwa Maraisi wa nchii hii wanatakiwa walitambue hilo na watupeleke kwa mchakamchaka kwenye vita vya kiuchumi.
Hawa ni kuruta wetu wanaoimba.? Nimeipenda safi sana makanda. Tuna Tanzania moja tu
Kazi Iendeeee
Yes ni kuruta mixed na askari
very nice song
kuruta mpo vizuri
Ngurutu wa mungu
Mmetisha
Nimewapenda
nakuona mariamu wa op
❤❤
Hapa safi sana
Safi sana ccp.
Tamu sana
nishawai kusema huyko insp geofrey ni shida hamkunielewa sasa anaonyesha kuwa ameiva
Anajua hyu bro
❤
Safi Sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ok
Very nice
Sijawaelewa
isee bendi mnayo kwakweli mmefa nya vizuli sana
💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
IKO fire
Kali
Gud job
Blessed
Charlie Charlie papaa
Masha Allah
Kurutu on training
Kazi iendelee
Big up sana police I really 💓
Wapiganaji
Kiwango
Kazi iendelee
Hawa ni askari au wanaigiza tu kama askari jibu jamani
Askari
sasa uingie kwenye 17 zao utajuta kuwepo duniani
KWAYA HII YA POLISI NI KIBOKO SANA.
Mguu pande
hamna lolote ushenzi tuareg
💋💋💋💋💋💋🙏🙏🙏🙏
🫶🫶🫶🫶
Gud job
Sanaaaaa