SHEH MUNGU AKUPE MAISHA MEMA DUNIANI NA AKHERA KWA KUTUFUNZA MAMBO MAZURI NA WAZAZI WETU PIA MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU NA AWAINGIZE PEPONI NA SISI PIA AMINA YA RABBI
asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh shukrani nakupenda kwa ajili ya allah hakika umenitoa katika giza na kunipeleka katika nuruu...shukrani napenda mawaidha yako hutuba zako..hakika wewe chakukupa sina ila mo llah peke ndie anae jua ...
Shukraan sheikh Mawaidha yameugusa moyo wangu, ila naomba msaada kwako umi anasumbuliwa na masheitwan imefika mwaka sai na ameenda sehemu nyingi kwa tiba ila hali bdo haijamuondokea , nn tufanye tena namhurumia anavyoteseka
Alhamdulillah. Ameeza Kufanyiwa Tiba Ya Aina Gani? Kama Ni Mkazi Wa Mombasa Basi Nakushauri Umpeleke Asomewe Ruqiyah Kwa Sheikh Adam(Yuko Seehemu Ya Masjid Noor-Bodeni) Na Sheikh Khalid (Yuko Mferejini-Kingorani) Namuomba Allah Ampe Subra Juu Ya Huo Mtihani Na Ampe Shifaa.
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad ndg yangu ktk imani mimi nimmkazi wa z'bar kwanza kabisa namuomba Allah jalawa'la amponyeshe mama yetu arudi ktk hali yake ya kawaida pia nichukue fursa hii kukuomba ndg kibibi usidharau maneno aliokuambia shk yussuf kua mpeleke hio sehem kwa ajili ya kisomo kwasababu Maradhi hayo hayatakikucheleweshwa hata na Mimi baba yangu mzazi akiugua maradhi hayohayo hata tulipo Simama kumsomea wasomaji wakatwambia tumemueka Sana sasa na wewe fanya haraka yakweli namuomba Allah ampe swiha njema yeye na sisi kwa ujmla huu ndio ushauri wangu kwako na kwakila mwenye mtihani pia nakuomba uwe na subra kumbuka hakunakinachokua ila mfanyaji ni Allah S. W. A Allahuma laa sahla ilamaj'ltahu sahla wantataj'lullhazna idha shiita sahla . wasalallahu'alaihi wasalam. from Zanzibar
Mm nawausia na kujiusia nafsi yangu tuwe tunaskia sana mawaidha coz nyoyo zetu zina kutu mpaka zisafishwe so tuskizeni mawaidha tusafisheni nyoyo zetu na ALLAH atatusaidia In Shaa Allah
Mwenyezi mungu awazidishie elemu ya Diini na husnul qatima sheikh mwenyezi mungu aturidhiye nafsi zetu wote.
MashaAllah Jazzaka Laah L kheir..Dawa mnazotoa Allah awazidishie zina tupa mafunzo makubwa na Imani ya dini..SubhannAllah
Wallah maneno adim xana.....Allah atujaalie tuongoke.....na AKULIPE UJIRA WA KHERI SHEKH
Maashallah Sheikh Yusuf. Allah akujaze Ilm ufaidishe Umma, Ameen yaa rabb
Allahu Akbar Rabbi atughufirie madhambi yetu na waislamu wrote Amin
Shukran Sheikh, Allah sw akuzidishie hekma na upendo
Aslm alkm ww.... Subhannallah!!! Masha Allah. Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde Kwa hili. Jazakallah kheir 🙏. Masha Allah 🌹
Mashallah jazakaAllah kheir. Kwa kututoa gizani alhamdulilah
hy asalam alykum
Allah aturerekebishe in shaa Allah👐 mawaidha yenu ni funzo toshaa.jazak Allahu kheiran
Jazakah Allah Kheir Sheikh Yusuf sisi tuliokuwa nje ndio mitihani yetu. Ukumbusho mzuri sana.
Ukifata mungu utafanikiwa
Shukran sana aalha akupe umri mref akuhifadhi namahsidi yarab
Aallah tupe mwisho mwema yarab
MashaAllah swadaqtaa
MashaAllah shukran jazila shekhe Yusuf
SHEH MUNGU AKUPE MAISHA MEMA DUNIANI NA AKHERA
KWA KUTUFUNZA MAMBO MAZURI
NA WAZAZI WETU PIA MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU NA AWAINGIZE PEPONI NA SISI PIA
AMINA YA RABBI
Machaallah baraka Allahou fiki mawaidha nzuri saaana kabisi
Alhamdulillah kwa neema ya kua muislam na mu'umin!Yarabi tujaalie mwisho mwema waumini wote
asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh shukrani nakupenda kwa ajili ya allah hakika umenitoa katika giza na kunipeleka katika nuruu...shukrani napenda mawaidha yako hutuba zako..hakika wewe chakukupa sina ila mo llah peke ndie anae jua ...
Allahumma ja'alnaa khusunul khaatima in dal mauti
kubadilika kubadilisha umma mawaidha safi mashallah .Allah atuezeshe kubadilisha majumba yetu.
Ameen ya rabb
Ma sha Allah excellent
Mashallah shekh Yusuf...
Allah Akbaru Mancha Allah Allahum Amiin chukuran Jazakalahu Khaira
Allah akuhifadhi uzidi kutukaribisha Na Mola aliyetuumba InshaAllah
Allah tupe mwisho mwema
mashallah mungu akuzidishie kher
Jazakallahu kheyri Shukran sheikh Yusuf
MashaAllah,Jazzakkallah khairan
Shukraan sheikh
Mawaidha yameugusa moyo wangu, ila naomba msaada kwako umi anasumbuliwa na masheitwan imefika mwaka sai na ameenda sehemu nyingi kwa tiba ila hali bdo haijamuondokea , nn tufanye tena namhurumia anavyoteseka
Alhamdulillah.
Ameeza Kufanyiwa Tiba Ya Aina Gani?
Kama Ni Mkazi Wa Mombasa Basi Nakushauri Umpeleke Asomewe Ruqiyah Kwa Sheikh Adam(Yuko Seehemu Ya Masjid Noor-Bodeni) Na Sheikh Khalid (Yuko Mferejini-Kingorani)
Namuomba Allah Ampe Subra Juu Ya Huo Mtihani Na Ampe Shifaa.
+Sheikh Yusuf Abdi Aamiyn , naam yupo mombasa in shaa Allah ntawatafuta. shukraan jazzillah
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad
ndg yangu ktk imani mimi nimmkazi wa z'bar kwanza kabisa namuomba Allah jalawa'la amponyeshe mama yetu arudi ktk hali yake ya kawaida pia nichukue fursa hii kukuomba ndg kibibi
usidharau maneno aliokuambia shk yussuf kua mpeleke hio sehem kwa ajili ya kisomo
kwasababu Maradhi hayo hayatakikucheleweshwa hata na Mimi baba yangu mzazi akiugua maradhi hayohayo hata tulipo Simama kumsomea wasomaji wakatwambia tumemueka Sana
sasa na wewe fanya haraka yakweli
namuomba Allah ampe swiha njema yeye na sisi kwa ujmla
huu ndio ushauri wangu kwako na kwakila mwenye mtihani
pia nakuomba uwe na subra kumbuka hakunakinachokua ila mfanyaji ni Allah S. W. A
Allahuma laa sahla ilamaj'ltahu sahla wantataj'lullhazna idha shiita sahla .
wasalallahu'alaihi wasalam.
from Zanzibar
Amiin ya Rabb
Suratul baqara tiba kubwa somea Maji na mafuta zainun na Maji weka majani ya sidr
Maa sha ALLAH Jazakallah
Mashallah
Mashallah.
allah akufanyie wepesi shekh
Alhamdulillah
Kwakupata video Mpya bonyeza maandishi ya bluu hapo chini 👇
m.ua-cam.com/channels/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw.html
Usisahau Ku SUBSCRIBE,SHARE, NA COMMENT
shukran jazeelan
Mashallah mwenyezi mungu akuzidishie
Aslm sh,,kh wanguu Bamba nikulezee unaezaa kufananusha maulidii ya amuuu or maukin,,dii mambruii
MashaAllah jazakAllah kheri
Jazakkallah Khary, sheikh allah akuweke, mimi nina ombi moja akhui. Tafadhali uwe una weka video zako at least once a month inshallah.
allah akulipe nakupenda kwa ajili ya allah
masha Allaah mungu akupe siku mema
ALLAH akubarik
mashaa Allah
Mashaallah Jazzakha Allah
Allah awaongezee ilimu
Masha allah tabarakallah
shuqran
💞Mashallah. Shukulanikaka💓💕
Kweli kabisa mashallah
Masha Allah😊
Masha Allah sheikh
mashaallah khutba mzuri
Mashaallah tabarakallah
Masha Allah
Mada imenigusa mimi nipo mbali na mama yangu
masha allah
masha Allah
حماك ربي يا غالي
Nawapnda sana mashee wetu
Salam aleikum warahmatullahi wabarakatu
Shehe umesema
Shukran sheikh
MaashaAllah, Jazakallahu
Nikiswali najihis nipo peponi nisipo swali najihis uzito sina amani wasiwasi najihis sposawa nikiswali najihis nipo sawa kila kitu
LAYTHAT OMAN Allahu Akbar
Asalaam aleykum hujambo ndg
Hakika bila swalaa hamna amani ata na mimi hujihisi vivyo hivo nikichelewa ata kwa dakika moja ikiadhiniwa
MashaAllah
Shukulani kakayau
Shaallah
Mashaallah
mashaallah
Mashallah
❤️
nikisiliza mawaidha yko stamani kumaliza
😭😭😭😭😭😭😭😢😢
SHEH UPO SAHIHI KWENYE SWALA AYO MAFANIKIO NIKWELI
Mashaa ALLAAH
Mashaallah allah akubarik atubarik na sisi ameen
Mawaidha mazuri shekhe
Mashaallah jazakallahu kheyr
mashaAllah
mashaallah
Mm nawausia na kujiusia nafsi yangu tuwe tunaskia sana mawaidha coz nyoyo zetu zina kutu mpaka zisafishwe so tuskizeni mawaidha tusafisheni nyoyo zetu na ALLAH atatusaidia In Shaa Allah
Discribe yusufabdi
Neema kubwa sana,mwenyezi mungu atukubali sote inshaallah.
Alhamdulillah
mashallah mungu akuzidishie kher
Hadiya Abdukadi
masha allah
Mansha Allah
Mashallah
MASHAALLAAH
Maahaallaah
Maahaallaah
Mashaallah
Maashallh
MashaAllah
Mashallah
Mashallah