Funguo Za Mafanikio - Sheikh Yusuf Abdi (12.2.2016) 2nd Week

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @bakarimwangazy9126
    @bakarimwangazy9126 Рік тому

    Shekh Yusuf twakuelewa sana wallahi.... Allah akupe umri mrefu wenye barka...

  • @fatimamisfar5640
    @fatimamisfar5640 7 років тому +3

    Mashaalah sheikh yousuf tangu kusikiza mawaidha yako nimefaidika sana. Mungu akubariki na akuhifadhi.

  • @allyjabiri5849
    @allyjabiri5849 5 років тому +1

    Usiskilize watu sheikh , hawana jema hao hata uaeleze kitu gani. Endelea kutuaidh tunakufaham vizur, MASHALLAH

  • @nurualamoody4305
    @nurualamoody4305 6 років тому +1

    Alhamdullillah allah atujaalie kuyafanyia kazi kwa vitendo manufaa duniani mpaka ahera. Ameen

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +1

    Mashallah nime fadika aallah mdulilah shukran mungu akujalye kheri shekh yusuf❤❤❤mashallah mashallah😭😭😭😭😭

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 років тому +1

    Mashaallah hakika yusufu abdi ni fahar yetu allah akupe hitajio lako

    • @حليمهال-غ1ظ
      @حليمهال-غ1ظ 5 років тому

      Hakika. Tunafaidika. Allah amjazie kheir dunia hadi akhera sheikh wetu.

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +2

    Mashallah shukrAn kwa kutufunza mashallah mashallha

  • @kibibimwanamvuamohammadmoh9823
    @kibibimwanamvuamohammadmoh9823 8 років тому +1

    Ma shaa Allah.
    Sasa nmefahamu.
    Shukraan jazzillah, Allah akulipe khery

  • @khamismbwana9640
    @khamismbwana9640 6 років тому +1

    allah akupe nguvu na imani uiendeleze dawa

  • @mayamohamad710
    @mayamohamad710 6 років тому +2

    Sheikh MashaAllah usichoke Mungu akuzidishie InshaAllah tutaongoka imepata faida kwa hii

  • @ismailhussein1936
    @ismailhussein1936 6 років тому

    Maashaallah Allah akuzidishie shekh wetu

  • @mwasitsaid7644
    @mwasitsaid7644 6 років тому +1

    mashaa Allah Jazakallahulkher

  • @حواءجمعهخميس
    @حواءجمعهخميس 8 років тому +2

    mashallah jazzakallah herry

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +1

    Mashallah

  • @tiffahbaibe795
    @tiffahbaibe795 6 років тому

    Asalam alykum ,shelhk yusuf jazzakaAllah kher

  • @raniarani6975
    @raniarani6975 7 років тому

    mashallah allahumma baarik fiihi

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 роки тому

    Maashaallah

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Shukrani kwa kutujuza

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 років тому

    Binadam hatuna jema

  • @ansarclinic5734
    @ansarclinic5734 8 років тому +1

    mashaAllah

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому

    Amin

  • @musamusa71
    @musamusa71 5 років тому

    mashaallaah

  • @tumao970
    @tumao970 7 років тому

    mashaallah

  • @nicemunacute5772
    @nicemunacute5772 8 років тому

    SHUKRAN jazeelan

    • @soumadaralsalam8138
      @soumadaralsalam8138 6 років тому

      Asalam Alaykm wabaraka2h Alhamdulillah baada ya kumshukuru Allah nashukuru sana shekhe yusuphu kwa mawaidha nimekua nikisikiliza mawaidha yako mara nyingi namuomba Allah atufanyie wepesi sote kwaujumla tuwe wenye kutekeleza tunayo yasikiliza inshallah

    • @soumadaralsalam8138
      @soumadaralsalam8138 6 років тому

      Sote tuwe watekelezaji kwayale ambayo unatufahamisha biidin llah Inshaallah wallahi shekhe mm huwa nasikitika sana nikisikiliza hutuba pasina kufaham maana labda kama nikiwa msikitin kwaajili ya swalat jumaa kwasabab mara nyingi hutuba za ijumaa huwa zinatolewa kwa lugha ya kiarab barakallah shekhe yusuphu Namuomba Allah Atujaalie mwisho mwema sote Inshaallah

    • @soumadaralsalam8138
      @soumadaralsalam8138 6 років тому

      Shekhe yusuphu samahan nilikua ninahitaji namba yako kama itawezekana inshallah kwasabab nina masual nahitaji kuuliza

    • @saidjuma643
      @saidjuma643 5 років тому

      Wallahi sheikh nakupenda sana ajili ya Allah. Allah akujaze kheri afya na uzima tuzidi kustafidi toka kwako. Amiin. Kwa kweli "sasa tumefahamu" alhamdulillah

    • @mustafaomari375
      @mustafaomari375 4 роки тому

      Amin Amin Amin Allah akuhifadhi shekh wetu na akupe umri mrefu

  • @habyalmary8132
    @habyalmary8132 5 років тому

    Hata hio Quran uki wasomea kwani wataifuata? Atakae afuate asie taka atajua mwenyewe. Kila mmoja atachukua mzigo wake mwenyewe.

  • @rajabujobu5297
    @rajabujobu5297 5 років тому

    Kaka mimi nime silimu ila wazazi Wang wamekataa na nime silimu kwazia mwaka jan ila nataka nifanye dosula ila wazazi nasina musaada wowote naitaji musaada wako km 0620521856 kwa jili ya mungu nakuomba ilo

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 років тому

    Usichoke