Mashaallah, Mawaidha Mazuri sana, kama ingewezekana, naomba utufahamishe wapi pakuzipata hizi istighfar nyegine za mwisho, kama inawezekana ziandikwe ili tuwe na akiba ya kuzisoma, yani kama kuna kitabu , Shukran,
Ewe Mwenyenzmungu, Tusamehe Makosa yetu Hakika mola wangu Tudumishe kudumu katka Imani yako iliyo Thabit Tupe Muongozo mwema wenye Ng'amar njema ,na Mwisho wetu use in Mwisho wenye kutulidhia, Nakupenda Mola wangu ulie mtukufu na pia na mpenda na mtume wetu Muhammad S,AW napenda navyote vilivyo halali Kafka muongozo wako ulio Mwema, Ya Allah nistil niweze kupata nusra kwa Mwanamume aliye Mwema
mungu kuakujalie kicheko chaduniani na akhira kwa amal swalih unayo ifayo ifanya na atujaalie nasi tulio yasikia kwako tuwe niwenye kuyafanya innshaallah sote umati wa muhamad swala llah alehi wasalam tuwe ni wenye kufaulu fi dunia wal akhira ameen ya rabbi ameen
MaashaAllah laquwata ila bilah barka Allah fiik shukran sana sheikh Allah akulipe wema wako na fadhila kubwa yaarabby kwa kutufundisha elmu zenye manufaa makubwa duniani na akhera.
Allah akujalie natamani ningekuwa mkeo ningepata mafundisho ya dunia na akhera maana sikujaliwa kupata mafundisho ya dini yangu ata kuswali sijui shehe.
Mwenyezi mungu nijalie mwisho mwema mm na familia yangu dunia tuipe kisogo
أستغفر الله ربي من كل ذنب وأتوب إليه
ya rabb filw watubu illah
Allah akulipe kher shekh
MashaAllah ..Jazakallahu kheiran .. Allah niongoze mja wako kwenye nyendo za kheir hadi mwisho wa uhai wangu na ummat MOHAMMED (S.A.W)AMIIN
اللهم آمين
جزاك الله خيرا بعد الخير إلى الجنة فردوس
Nakpenda sheikhe wang kwaajil ya Allaah ama hakika umenielimisha mwenyez mungu akpe Afya njema na umri mrefu mwisho mwema pia kwa sote
Mashaallah nmekja tena kwa account ingine
Masha Allah nakupenda sana kw ajili ya Allah nimepata faida alhamdulilah kw mawaidha haya .jazzakka Allah khaira
Allaah azdi kuwa fanyia wepec mashekhe wetu wrote zaid na zaid na walio tangulia mbele ya khaki makaz yao yawe peponi Amiin Amiin Amiin
Amiin thuma amiiin
Allah akujaali mwisho mwema SHEKHE wetu aamin.
Mashaallah, Mawaidha Mazuri sana, kama ingewezekana, naomba utufahamishe wapi pakuzipata hizi istighfar nyegine za mwisho, kama inawezekana ziandikwe ili tuwe na akiba ya kuzisoma, yani kama kuna kitabu , Shukran,
Maa Shaa Allah, shukran sana Jazzaka lAllahu kheir
Ewe Mwenyenzmungu, Tusamehe Makosa yetu Hakika mola wangu Tudumishe kudumu katka Imani yako iliyo Thabit Tupe Muongozo mwema wenye Ng'amar njema ,na Mwisho wetu use in Mwisho wenye kutulidhia, Nakupenda Mola wangu ulie mtukufu na pia na mpenda na mtume wetu Muhammad S,AW napenda navyote vilivyo halali Kafka muongozo wako ulio Mwema, Ya Allah nistil niweze kupata nusra kwa Mwanamume aliye Mwema
ma shaa Allah Shukran sheikh Allah atusameh na atuongoze kwenye kher aammin
bab lee amiin
Amiin
Jazzakah Allah kheir ustadh Rashid
Assalamu alaykum saidiye n no yauyu shike
Shukrani Allah akupe afya in Sha Allah
Maanshaallah Allah atuwezeshe tuwe miongoni mwawaliosikia na wakayanyia kazi
Mashaaallah huyu ustadh nilikuwa nasikiy sauti yake 2 leo namshuhudiya kwa sim yangu mashaaallah
Allah niongoze kwenye Ibada na toba za ukwel mpk mwsho wa uhai wangu..Ameen
Said Bakar ameen
Said Bakar Allahumma amini
Said Bakar Mashallah Mungu akuongoze vema
Amina
Shukrani sheikh
mashaalah jazakalahu kheir
mashaallah Allah atujaalie tuwe watu wa kuomba msamaha wa kweli na kujidumisha katika istighfari inshallah astaghfirullah astaghfirullah astghfirullah
ajali
mungu kuakujalie kicheko chaduniani na akhira kwa amal swalih unayo ifayo ifanya na atujaalie nasi tulio yasikia kwako tuwe niwenye kuyafanya innshaallah sote umati wa muhamad swala llah alehi wasalam tuwe ni wenye kufaulu fi dunia wal akhira ameen ya rabbi ameen
tuwasiliane KUPITIA WATSAP +96892924226
+Istiqama Swahili shukran
Swabra Ty
خديجهmungu kakubarikia mtoto mashallahعبدول
خديجهmungu kakubarikia mtoto mashallah عبدول o
mashallah mwenyenzi mungu akujali pepo
Mashaallah ,,Allah atuongoze kila tunapomkosea Allah tukimbilie kwake na tumuombe msamaha
Mashallah huyu shekhe nampenda.anatuelimisha
Allah atawalipa kutokana na kazi ngumu mnayoifanya
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹. Shukran jazila. Jazakallah kheir 🙏
Mashallah jazakahallh heri
mashaalaah Allaah nipe mwisho mwema nidum ktk ibada had mwisho wa uhai wang mm na waiclam wenzang tukubalie tauba zatu Amiyn Amiyn rabi raramiyn
Ameen yarabi
جزاك الله خيرا إلى الجنة فردوس
Manshalla
allah akujalie kusambaza dini ya allah islam ..............
Shukran sheikh Allah akulipe kher faida tupu tunazozipata Allah atusamehe dhamb zetu na atutakabalie dua zetu
Ameen yarabb
Yohan yyyyyyyf
..
Allah atuswameh ya rabb
Mashallah mashallah sheikh wetu jadhaka llah kheri
JAZAKA LLAHU KHEIRAN
JAZAK ALLAHU KHAIR.....
Jazaka llahul kheir 🤲
shukran Allah Ibarik fiki Akhuy Rashid
MaashaAllah laquwata ila bilah barka Allah fiik shukran sana sheikh Allah akulipe wema wako na fadhila kubwa yaarabby kwa kutufundisha elmu zenye manufaa makubwa duniani na akhera.
Mashaallah mungu akujaalie kher kwenye maisha yako in shaallah na a kupe afya njema in shaallah
mashallah....nampenda sana shekhe huyu,...ALLAH akuzidishie elimu
ameen
salim sultan Allahumma Amiin
Khadija Mohamed wow
salim sultan iko gud
Amina
jazaka nllaahu kher shekhe Rashid Allaah akuongoze vyem Amiin
Uhumuez ufanye
Yaah.. Allah tuongoze katika njia ilio nyooka tujalie mwisho mwema,
Yaah.. Allah nijalie mke mwema Aminn
Jazakalah shek yangu
Mashallah Allah akupe kheri za duniyan na akhera
mashaara shehewangu nakupenda kwajiriyaara jazakilalaher
Waleikusalam warahmatullah wabarakatu, mansha Allah,Allah kheiri dunia na akher,mola atujalie tuwe wenye kutubia
اللهم اغغر لنا أجمعين وتب علينا يا رب العالمين
MaashaAllah, shukran ...Allah atusamehe madhambi yetu ya siri na dhaahir. Ameen. MaashaAllah Jazakallahu kheir sheikh.
Jazaaka Allaahu khayraa, Sheikh umenisaidia saana kuzidi kuolewa hii Istgfari
Mashallah mashallah jazakallahul kheyr
MashaAllah Sheikh. Jazak Allah khyr
Astaghfiru LLAHU l'adhim min kulli dhambi wa atubu ilaika.
Allahuma innaka afuwu
tuhibula afwa fa a'fuanii
Asalam alaykum warhamatulahi wabarakahu Mashaal Allah akulipe kila laheri APA duniyani n'a kesho ahera
Manshallah
JAZAK ALLAHU KHAIR
Masha allha
Shukran shekh wetu nime ona maana yake mungu akupe jannatul firdausi inshallah nime fanikiwa
asalamu aleykum mashaallah shekh mungu akuzidishie
Warda Lward una kuywa. Unaosona mda. GaN
Maa sha Allah shukran jaziira
Mashaallah walah Mimi nimefarijeka sana namawaiza yako unatupa matumaini mema inshaa Allah Allah atuogoze tuwe niwenya kuokoka kwa kusikiliza haya
Masha Allah ❤
ما شاء الله ..جزاك الله الف خير ..
صف ، 💔
Ya Allah nijaalie nipate mume mwema na mm nstirike
Ameni
Fatma Yarabbi tunusuru Awadh, Yaah Allah tukubalie zetu na bi fatma
Ameen yarabi
Amiin yarrab
Fatma
Yarabi sheikh mola akupe barka na swiha njema akupe umri utuelimishe na mengineo ya zaidi inshaallah.
jazakAllah kheir BarakaAllah fik MashaAllah Astaghfirullah minkulli dhambin wa atubu ilaihi
Mashaallah
Mashaa Allah
MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran Sana
mashaAllah JAZAKA LLAHU KHEIR
Alihamdulila Allaah axdi kuwapa Afy njema nashukulu san kwa mawaidha yako shekhe Rashid Allaah akuongoze vyem Amiin
yaa Rabbi twakuomba ututakabarie daima lnshaallah
Asaalam aleykum sheh Allah akuongoze katika njia iliyo nyooka kwa kutupa elimu bora miongoni mwa elim bora
Allah akujalie natamani ningekuwa mkeo ningepata mafundisho ya dunia na akhera maana sikujaliwa kupata mafundisho ya dini yangu ata kuswali sijui shehe.
shemela ruhind subhanallah jitahidi mwenzangu
Jitahid kusoma SHEMELA hujachelewa ata kidogo,, kidogo kidogo mpaka utajua, usione kua ushakua mtumzima,, ALLAH ata kusaidia,,
Mashaallah mashaallah
Alllah akupe kila lenye kher duniani na akhera shekhe wetu
mashallah
Thank you jazakallah Sheikh
Allah akuzidishiye Elimu zaidi na sisi tupate kufaidika zaidi na zaidi Amin.
Mashallah tabarak rahman
Amen
Masha Allah, baraka Allah fiyk.
Shek God bless long life
💞Mashallah
Mashaa Allah shukran kwa kutuongoza M/Mungu atusameh tutapokosea na atuongoze kwenye kheri Aammin
Jazak Allah kheir sheikh
maasha Allah. Allah azid kukupa nguvu yakutuelimisha allah akulipe leo na kesho amiin kwa sote.
jazaakAllahu khair!!
SHEHE Rashid tufanyie audio Tupate Aina nyingi Zach stighfari
Shukran jazzakallahu khyr Allah Barik Allah akuzidishie utupe elmu Ameen thumma Ameen
Mashallah
Aameen thumma Aameen
Masha Allah, Allah tusamehe
Jazakumullahi khaira
Maashaalah maashaalah mngu atupe mwisho mwema🤝🤝👈
Alhamdulillah Amiiin.
Masallah
Amen yarab
Jadhakallahu kheri Allah atakulipa kwa hesani zako inshallah
Aamiin, aamiin, aamiin.
Aaaallllah huma amin
Mashallah shekhe mwenyezi mungu akuzidishie umri
Shuran Allah akujaze kheir
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Allah awalipekher hakika tunafaidika sana kutoka kwenu Allah awape umrimrefu
she wangu huyu nampenda mashallah
Jolie Sabimana mashekh wako ndani ya jihad wakisimamisha hukm ya Allah huku wakipambana na makafiri ulimwenguni
Amiina
Udiu llaha waantum muuqinuuna bil-ijaaba
Shukran shekh nime ona maana ya istikhfar shukran
Mashallah tabaraka Allah sheikh