MAUMIVU YA MGONGO, CHANZO ,DALILI NA TIBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @ShabaniMuhidin
    @ShabaniMuhidin Рік тому +1

    Naomba no zako docter

  • @mausseinsheith2235
    @mausseinsheith2235 Рік тому +1

    Ahsante sana Dr.Laurent Mchome kwa Elimu kubwa hii unayotupatia,ni Vizuri sana na tunawafuatilia kupitia MOI TV!

  • @matridahtongamwakipagala2078
    @matridahtongamwakipagala2078 4 місяці тому +4

    Naomba unisaidie ushauri kwa wale ambao maumivu yamgongo yameanzia na sindano ya usingizi yaani ya upasuji hosp.asante,anatbiwa vipi

    • @JoyceDanieli-y1s
      @JoyceDanieli-y1s 15 днів тому

      Nani naitamani kujua kma Ina tibika mimpia ni muganga

  • @mohameditwahili723
    @mohameditwahili723 Рік тому +2

    mnapatikana wap doctor mm nna tatizo la mishipa ya mgongo .

  • @Mwanaid-m7u
    @Mwanaid-m7u 3 місяці тому +2

    Habari naitwa mwana dokta naomba nisaidie nina teseka sana wakwangu ukotofauti naumwa katikati ya chembe yamoyo kwa mgongini.hadi nikanyagwe ndio na pata nafuu nishaulu dokta nifanyeje.

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 Рік тому

    Asante Sana doctor... Umetuelewesha vizuri Sana. Mungu akubariki Sana

  • @saidkundya9087
    @saidkundya9087 2 роки тому

    Ni elimu nzuri sana, tupatie mawasiliano dokta wa viungo

  • @RamadhaniMrisho-t3o
    @RamadhaniMrisho-t3o Рік тому

    Mimi nimeambiwa disc aitibiki lakini Asante doctor Kwa elimu uliotoa matibabu disc Kwa ujumla yote yanafanyika apakwetu moi.

  • @ConsolataKibiki
    @ConsolataKibiki 2 місяці тому

    Kwakweli hili tatizo la mgongo linanitesa sana karibu hata ya miaka kumi

    • @ConsolataKibiki
      @ConsolataKibiki 2 місяці тому

      Tafadhar naomba nisaidie namba yako ya simu

  • @melkiorimagesamh6449
    @melkiorimagesamh6449 7 місяців тому +2

    halooo, naitwa maria npo mwanza nina xhda ya uti wa mgongo, nina maswal mawil naomba kuuliza, kama uti wa mgongo umepinda ni zoezi gan la kufanya ili uti unyooke?, pili je mtu mwenye maumivu ya uti wa mgongo anaweza kubeba mimba?

  • @Didaommy-b3g
    @Didaommy-b3g Рік тому +1

    Docter Mimi naumwa kiuno sana kinakuja mpk mgongo

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 Рік тому

    Asant sana doctor MUNGU AKULINDE

  • @queenmwanzia3283
    @queenmwanzia3283 4 місяці тому

    Thank you doctor

  • @LuciaMasalu
    @LuciaMasalu Рік тому

    Hat mm napata maumiv sana

  • @HadijaMohamedi-v7v
    @HadijaMohamedi-v7v Місяць тому

    Naomba namna ya kupata matibabu baada ya kubaini Nina the ya mifupa

  • @GhipCkc
    @GhipCkc 3 місяці тому

    Naomba no yako daktari

  • @ireneMhindo
    @ireneMhindo 2 місяці тому

    Doctor mimwenyewe nasumbuliwa na mgongo naomba ushauri

  • @HadijaMohamedi-v7v
    @HadijaMohamedi-v7v Місяць тому

    Fundisha tiba na chakunya mifupa inapouma jina laki namba Yako badilisha masomo

  • @AbdyKitadu
    @AbdyKitadu 4 місяці тому

    Docter kwema naomba ushauri mtoto wangu anajipida na kulia Kwa nyumba ya mgongo naomba msaada wako

  • @patrickMwanzia-q7d
    @patrickMwanzia-q7d 3 дні тому

    Ct

  • @RukayyaNassor-i9o
    @RukayyaNassor-i9o 2 місяці тому +1

    Tufahamishe zoezi lakufanya ikiwa unaumwa kiuno nnadicki nishaambiwa xry nimefanya dcki za chini za kiuno zimeshuka

  • @zaharamsuya3749
    @zaharamsuya3749 Рік тому

    Dokta naomba no Nina mgonjwa wangu anaumwaa

  • @MdoeHerbert
    @MdoeHerbert 5 місяців тому

    Dr mke wangu anasumbuli sana na maumivu ya mgongo atumie Dawa gani?

  • @JumaSalum-d8h
    @JumaSalum-d8h Місяць тому

    Vipimo shingapi

  • @nahnaally6932
    @nahnaally6932 Рік тому

    Mm nmefika hyo hatua ya ganzi kwenye miguu doctor

  • @aishajumbe7964
    @aishajumbe7964 2 роки тому

    naomba namba ya simu

  • @TatuBakari-ng3hg
    @TatuBakari-ng3hg 5 місяців тому

    Doctor me mama yangu anasumbuliw na mgogo amefanya exley ameambiwa pingili simesagana naomba unipe ushaul gan au daw gan atumie

  • @allytalhata7250
    @allytalhata7250 4 місяці тому

    Jamani watu wengi tunashida ya mgongo hinabidi tupate mjadala mrefu

  • @MatridaNindi
    @MatridaNindi Рік тому

    Naomba namba zako

  • @hildarajab2891
    @hildarajab2891 2 роки тому

    Mimi naumwa sana mgogo naomb tu nisaidie dkt,

    • @BarakaKimambo-m2j
      @BarakaKimambo-m2j Рік тому

      Vipi ulipata tiba ya mgongo

    • @sebastianjameskapala3243
      @sebastianjameskapala3243 Рік тому

      Doctor me nasumbiliwa na mgongo nimepimwa nimeambiwa mgongo umenyooka hivyo nimepewa dawa natumia lakini bado unasumbua ? Nomba maraschino doctor nipate kuwasiliana

  • @winifridamashaga3174
    @winifridamashaga3174 3 місяці тому

    Dr naomba namba yako naumwa mgogo

  • @SikukuaIbrahim
    @SikukuaIbrahim Рік тому

    Daah namimi naumwa nimepiga x ray naambiwa mifupa imekakamaa nifanye mazoez hivi nitakua sawaa

  • @aishajumbe7964
    @aishajumbe7964 2 роки тому

    doctor unaptikana wapi

  • @SophiaAlly-f6m
    @SophiaAlly-f6m 4 місяці тому

    Doctor nomba no yako

  • @hildarajab2891
    @hildarajab2891 2 роки тому +2

    Napia nikibeba tu mimba mgongo unauma mpka inatoka

    • @consolatashayo616
      @consolatashayo616 2 роки тому

      Habari Hilda, pole kwa tatizo hili... Ninakushauri ungetembelea Hospitali ya MOI, Clinic., ili vipimo kadhaa vya mgongo vifanyike kuona shida haswa iko wapi uweze kupata matibabu stahiki kwa shida hii...
      Kama unalipia cash,clinic ni Jumatano mchana au Ijumaa asubuhi... Kama unabima ya afya, Clinic zipo kila siku.

    • @hildarajab2891
      @hildarajab2891 2 роки тому

      @@consolatashayo616 asante sana kwasasa yenyewe naumwa sana laba ukikaa sawa nifanye kuja huko Dr au Arusha mna kituo chochote, na je sidano za mgongo huwa nisababu ya haya maumivu.

    • @godfreylukas6305
      @godfreylukas6305 2 роки тому

      Ninaumwa mgongo tokea2018 nilifanyiwa cityscan wakaniambia pingili imebend mwishoe walinipa dawa ya maumivu mpaka Leo bado maumivu yanazidi

    • @EsterKiyabo
      @EsterKiyabo Рік тому

      Poleni sana ndugu zangu kwa changamoto mnazopitia

    • @EsterKiyabo
      @EsterKiyabo Рік тому

      Nawashauri mzingatie hii elimu inayotolewa na wataalam wetu

  • @ireneMhindo
    @ireneMhindo 2 місяці тому

    Naomba namba yako doctor

  • @riyamahassan821
    @riyamahassan821 Рік тому

    Dokta nomba namba zako

  • @PaulJuma-rj7ux
    @PaulJuma-rj7ux Рік тому

    Doctor mamba zako

  • @jackobjoel103
    @jackobjoel103 2 роки тому +1

    Nasumbuliwa na tatizo a kiuno lumber four na five nimehudhuria vipimo vya MRI na ninapewa dawa ya ligaba Mara nyingi tu na dawa za maumivu maumivu makali yamepungua nahudhuria mazoezi mwaka sasa bado sijapona naomba ushauri hakuna pingili iliyosagika kama kuna dawa itakayonisaidia naomba msaada kazi zangu ni mwl

  • @marthakimari9560
    @marthakimari9560 7 місяців тому

    Pls doc your numbers

    • @AishaaAlii
      @AishaaAlii 4 місяці тому

      Namba

    • @GhipCkc
      @GhipCkc 3 місяці тому

      Naomba no yako daktari