POVUU!! MZIMU WA HARMONIZE UNAWASUMBUA MAJAJI WA BSS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 5 років тому +2

    HAKUNA kitu kizuri harmonize kafanya kma kurusha ka clip wapi ametoka hakika NEVER GIVE UP

  • @aishaally4831
    @aishaally4831 2 роки тому +1

    Mshukuru mungu kwa kila jambo like nzurii au baya ndo kitu nilichojifunza, halafu mawazo ya mungu sio sawa na ya binadamu

  • @januarykabanya8033
    @januarykabanya8033 5 років тому +4

    Kauli za mtu Mwenye busara na hekima hung'ara Sana ila Kwan mwonekano wa hao majaji wa BSS hawana kauli za busara kwa waimbaji. Kwani kusaka au kutafuta vipaji sio nguvu wa majivuna na kuleta nyoda na malingo kazini jitambueni majaji Ok. "No one knows tomorrow "

  • @johnsonJuly
    @johnsonJuly 5 років тому +4

    hivi wale washindi wa bongo star search wako wapi siku hizi

  • @sharonke7442
    @sharonke7442 4 роки тому +1

    Nyie ovyo kwanza mnawajibu vibaya eti ooh sauti yako mbovu. kwani sh ngapi kumuambia mtu nenda fanya mazoezi inawezekana. wengine mpaka mnawacheka bure

  • @kondeboykhaji1046
    @kondeboykhaji1046 4 роки тому +1

    Mungu siyo hasumani

  • @abdulrazak4151
    @abdulrazak4151 5 років тому +2

    Voco ile ile2 ila ilikua sio baat yake

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 5 років тому +1

    WAKATI MWENGINE UNAPOLITAKA BAYA SHETANI WANAKUPA SASAIVI KAPENDWA NA SHETANI KAPEWA SIYO ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH SHETANI KAKUONA UNATAKA KAKUPA 🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 5 років тому +3

    We master j nyimbo yako iliyotikisa Ni ipi eti ameharibu nyimbo vp saiv unaswager kwa hamonize??? 🤣🤣🤣Anakuzid mpaka hela wacha maras tusuke

  • @hamisimapalala7709
    @hamisimapalala7709 5 років тому +1

    Kaimba vzr bss sio sehemu ya kugundua vipaji,

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 5 років тому +1

    Well said Madam Ritha, you are so intelligent.

  • @innocentkalolo3568
    @innocentkalolo3568 3 роки тому

    Kazi imewashinda

  • @sepetukamaisala2040
    @sepetukamaisala2040 5 років тому +5

    Kwanza mnakauli mbovu za kukatisha tamaa..Washindi wenu wote wamefulia kitaaa

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 3 роки тому

    Mlikuwa mnawaponda kweli.mungu kageuza faraja kwao.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +1

    Mmepata aibu ! msijitetee,,,,,kama alikuja mbvu hapo bss nini maana ya search??? Kwa tunaojua ni pamoja na kugundua,sasa nyinyi mlishindwa hata kugundua kipaji chake na mbaya zaidi mlitoa maoni kama watu ambao hamjui muziki, msijitetee!! Mlifeli!

  • @yassersalleh8409
    @yassersalleh8409 5 років тому +4

    Ata harmonize ange fuzu hapo najua laundi nyinge mnge mtoa na muonekano unamsaidia mtu hapo bss na sio kingne

  • @boazmganga8137
    @boazmganga8137 5 років тому +2

    Hauna kitu wewe kazi kuwavunja moyo vijana

  • @eliasmuchui-oh4mi
    @eliasmuchui-oh4mi Рік тому

    Umbwa nyie bbs mtombwe na shetani

  • @winqueen8462
    @winqueen8462 3 роки тому

    Mimi ndo Mana naangaliaga American got tallent

  • @sharifumustafa1920
    @sharifumustafa1920 5 років тому +2

    Awana lolote ao wao wako hapo kuwashika mikono watu na kuwatoa nnje we acha mtu aeimbe angaru nusu ndipo ujaji

  • @lukadelik3652
    @lukadelik3652 5 років тому

    Mimi. Kwa mtazamo. Wangu. Jitaidini. Kigundua vipaji kuanzia miaka 5./ tizameni. Vipaji. Watoto Bass ya nje

  • @katotalifestylemedia1789
    @katotalifestylemedia1789 4 роки тому

    Wapo wapi hawa namimi niende niibue kipaji changu

  • @jemmoutuber4165
    @jemmoutuber4165 3 роки тому

    Huyu J aweza kukuonyesha madharau xn

  • @babanjuru8738
    @babanjuru8738 5 років тому +1

    Mbona mlimwambia awa jui amna lolote BBS

  • @josengonyani4151
    @josengonyani4151 5 років тому

    Mnawapanga wasgind nyinyi Hamna kitu bss madudu tu

  • @prettyveronica5951
    @prettyveronica5951 5 років тому +1

    Halikua havumiliki ila xx ni moto

  • @sharifumustafa1920
    @sharifumustafa1920 5 років тому +1

    Awana lolote bss wao si ndio majaji jaji gani ambae ajui kipaji

  • @yusuphnzawila6833
    @yusuphnzawila6833 2 роки тому

    huna lolote na wenzako linawakuta sasa

  • @jacksonadriano8738
    @jacksonadriano8738 5 років тому

    Hatutaki polojo zetu waliofanikiwa kutoka bss wako wap

    • @jacksonadriano8738
      @jacksonadriano8738 5 років тому

      Polojo hatutaki jamani bss hakuna lolote hakuna ata mmoja aliyefanikiwa kimziki kutoka kwenu

  • @piusmnanka2755
    @piusmnanka2755 5 років тому +3

    Nendeni huko hamna lolote,sasa mlivyomwambia hajui kuimba kama angewasikiliza nyie angefanikiwa vipi...!

  • @yassersalleh8409
    @yassersalleh8409 5 років тому +2

    Wakowapi walioshinda bss miaka ilio pita acha kujitetea mie nasema nyinyi watu wa nne hamku mkubali sasa watu zaidi ya billions 3 tuna mkubali nyie niwa piga hela mikoani na sio kingne