Masoud Kipanya ana ndoto za kuanzisha mji (city) wake, hivi ndivyo atakavyofanya - Part 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Masoud Kipanya ana ndoto za kuanzisha mji wake.. Ikoje hii? Msikilize akielezea kwenye #ChillnaSky

КОМЕНТАРІ • 31

  • @francismwacha253
    @francismwacha253 2 роки тому +5

    Trust me.. huyu mwamba anakuja kua the next billionaire na haitachukua mda sana tukumbuke mafuta yamepanda na kdg umeme ni rahic so ni bonge la fursa

  • @shazilimatola229
    @shazilimatola229 2 роки тому

    Never give up

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому +2

    Thanks Sns mrudishe tena ktk kipindi hatujatosheka tafadhali humble, Smart guy (masoud , masoud)❤🇨🇭🇹🇿

  • @ramasonkalujefa4620
    @ramasonkalujefa4620 2 роки тому +3

    Watanziani ni watu waajabu sana vitu kama hivi divyo vya kuvipa masikio na kujifunza kitu kwa maisha but wao wako tu na kiki za hamo na kajala,naumbea sijui nani kawaroga wa tz nashagaa

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo 2 роки тому +2

    This plan is amazing. Ni kuwa na watu ambao wanandoto kwa ajili ya wengine. Shida viongozi wetu ni watu wa maofisini tu.

  • @gsmartcreation5655
    @gsmartcreation5655 2 роки тому +5

    Masoud Ana uwezo wa Ajabu• watu Kama hawa wanakufa na utajiri mkubwa zaidi ya vitu wanavyo viacha duniani.

  • @boas_bj
    @boas_bj 2 роки тому +3

    Sikuwahi fikiria hata siku moja kama huyu jamaa ana akili ya ajabu kias hiki💥💥💥💥

  • @dismasruga1568
    @dismasruga1568 2 роки тому +1

    Big Up KP Clouds huyu jamaa mpeni hata Ukurugenzi hamtajutia ubunifu wake

  • @daudintoke3733
    @daudintoke3733 2 роки тому +4

    Intelligence mindset

  • @boazmasha5251
    @boazmasha5251 2 роки тому +1

    Brother KP bhana kwanza hongera kwa mwanzo mzuri wa kutufanya Tanzania kuwa na kiwanda Cha gari. Hata hivyo natamani serikali yetu wangeliona hili na kukuwezesha kuwa na production kubwa itakayotoa ajira nyingi na ujuzi mkubwa kwa vizazi vijavyo....

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 Рік тому

    Akili kubwa sema wachawi walikuwa wengi waziba ridhik naamanisha

  • @MARAMBOTv
    @MARAMBOTv 2 місяці тому

    Nakukubali sana masudi biology nakufatilia

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 2 роки тому +1

    Akili kubwa sana uyu jamaa aise yaan nimeinjoy sana kumsikiliza wooow 💪

  • @twentyacresfarms3464
    @twentyacresfarms3464 2 роки тому +3

    Multitalenented

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 2 роки тому +1

    Brother Masoud wazo lako ni zuri Sana tatizo letu tuna tamaa Sana na hatutaki tujishughulisha, pia umesahau maisha wazazi wetu waliyotupitishia na many wrong people waliotuunganisha nawo

  • @napster2558
    @napster2558 2 роки тому +2

    Great mind

  • @allyammar5409
    @allyammar5409 2 роки тому +3

    genius

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 роки тому +2

    Mashaallah 👍

  • @napster2558
    @napster2558 2 роки тому +2

    Great minds

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 2 роки тому +2

    Genesis

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 роки тому +1

    Unaakili sana

  • @danielmalle9395
    @danielmalle9395 Рік тому

    masoud you are a genius

  • @ladysasty
    @ladysasty 2 роки тому

    Kujua kama ulie Nae anakupenda kweli
    ua-cam.com/video/NgLIUH1CDE4/v-deo.html

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +1

    Tumepata madini si haba 💕🙏

  • @samylvnabil1557
    @samylvnabil1557 2 роки тому

    F

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 2 роки тому

    pt 4 tafadhali... Ouuuuuufffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff

  • @nekashash2190
    @nekashash2190 2 роки тому

    Nchi hii ngumu sana Kipanya

  •  2 роки тому

    Son unos X18TINDER.Uno de Losj mejores ❤ Mañas no se la. .