NDOTO 3 HATARI UKIOTA INAKUONYESHA ADUI ANA PANGA AKUANGAMIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

КОМЕНТАРІ • 17

  • @kelvinvitalis2965
    @kelvinvitalis2965 3 місяці тому +1

    Mchungaji bwana yesu asifiwe mimi niliota naongea na kichaa

  • @maggieboneventura4244
    @maggieboneventura4244 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe, naomba nitafsirie ndoto, ukiota mtua anaandika yaan mtu alikuja ofisini ninapofanya kazi alafu anaandika kwenye makaratasi yaliyokuwepo mezani mbele yangu, ni kama ananiandikia

  • @MoureenPresiours
    @MoureenPresiours 8 місяців тому

    Amina nimepata kufunguliwa namshukuru Mungu kutoka Tanzania

  • @SelinaMdzomba
    @SelinaMdzomba Рік тому

    Be blessed

  • @GeorgeSogoja-yt9oj
    @GeorgeSogoja-yt9oj 7 місяців тому

    Safi kabisa

  • @catherinemalesa3304
    @catherinemalesa3304 Рік тому

    Nimeota mwa dada ana nijia ameshika kisu anasema anamdai mume wangu ,anataka kumchoma kisu hatimaye anataka Kunichoma Mimi Nika shika kisu kile

  • @musajoel5373
    @musajoel5373 2 роки тому +1

    Tuna kupa vizr huku zanzibar

  • @carolinamponji7830
    @carolinamponji7830 2 роки тому

    Me baba naota sana kujamiana na mwanamke mwezangu na me ndo nakua na hamu sana ya kufanya ivyo

  • @jenniferkinyanjui2303
    @jenniferkinyanjui2303 2 роки тому +1

    Mtumishi niliota nikinajisiwa narafiki yangu ambaye aliaga dunia kitambo.

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      Jennifer Kinyanjui kuna mungu anataka kuangamiza maisha yako omba sana

  • @mussampeyama6795
    @mussampeyama6795 3 місяці тому

    Nimeota nimekutana na watu wenye napanga na visu

  • @Ivannyshabani-ys4we
    @Ivannyshabani-ys4we Рік тому +1

    Mimi naota naona mtu Yuko uchi

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Рік тому

      ua-cam.com/video/L1ig2bioKFg/v-deo.html&si=8kmeQPBM_UiKxd51

  • @nancyapua820
    @nancyapua820 6 місяців тому

    Nmeota nikinunua.nyama alafu umbwa akachukua ..nikabaki nikikula macho ya mbunzi

  • @rehemamadeleke1211
    @rehemamadeleke1211 Рік тому +1

    Mi niliota nafanya mapenz na mutu nisiye mjuwa

  • @jenniferkinyanjui2303
    @jenniferkinyanjui2303 2 роки тому +1

    Kuna wakati nilijiona Kwa kioo nikiwa mwendazimu

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 роки тому

      Jennifer Kinyajui the image unaona kwa kioo ndiyo umefanywa hivo ,watu wanakuona kama wazimu ama wanasema hauko sawa kiakili. Omba sana