Cherie Mals is too smart!Charlz umemkata kwa kelele kwenye points nyingi sana please uwe unaruhusu mtu ku air out mawazo yake and you have to respect that.
Oyaa matukio vibe lako ni nomaa 🔥🔥 hawa wanataka show inune tuje kwenye show tumenuna oyaa.. keep it up mtu wangu ✊tunaangalia show mwanzo mwisho kwasababu tunaenjoy mzee wangu 😎😂
huu ni ushauri wangu wa bure kwa huyu matukio its just out of love podcast iko poa sana , sema jamaa ana interrupt sana ,unajaribu kuchekesha wakati watu wako serious just try to give space to the speakers and eventually you will gain more credits ..... much love.
George with the awwwww moment .. that’s so romantic .. you won’t survive without her … Lilly … you’re special to this man . Chaz your next ..: my bro one love ❤️
I gained n' learning a lot as always🙌🙏.. brother Matukio u r so energetic bro😂🤝.. yani vibe lako na kupinga kwako wageni ndo huaga vinafanya na-enjoy th show😂😂.. mega S/O to u n' the whole JUNCTION crew.. n' also 3hrs could b more better plzz🙏
Nafatilia sana hichi kipindi nakubali creativity iliopo ndan ya hiki kipindi watu mashuhuri ambao wapo ila nitafurahi sana siku mkamualika Dr. Galvin Kweka
Please presenter, punguza maneno mengi you’re annoying us, this comes from a good place of my heart
Cherie Mals is too smart!Charlz umemkata kwa kelele kwenye points nyingi sana please uwe unaruhusu mtu ku air out mawazo yake and you have to respect that.
Kabisa mpaka mtu unayetazama unakuwa annoyed too much kelele your show is good but punguza kelele na kuwakatisha maongez wageni wako
Ambangile made me watch this show hongereni team for the great work 🔥😊
welcome 🔥🔥
sema charlz punguzaga kelele ni sawa kucheka lkn kuna muda inapitiliza mno inakua fujo flani hv
Thank you for your feedback
@@iRocNetworks don't stop that sh!t bro.. yani ndo inachangamsha show kinoma na najua huwezi iacha coz it's your nature😂 AROOOOOO😂😂🙌
Endelea bro, be yourself, that's your identity.
Oyaa matukio vibe lako ni nomaa 🔥🔥 hawa wanataka show inune tuje kwenye show tumenuna oyaa.. keep it up mtu wangu ✊tunaangalia show mwanzo mwisho kwasababu tunaenjoy mzee wangu 😎😂
Binafsi napenda sababu inachangamsha kipindi @@iRocNetworks
huu ni ushauri wangu wa bure kwa huyu matukio its just out of love podcast iko poa sana , sema jamaa ana interrupt sana ,unajaribu kuchekesha wakati watu wako serious just try to give space to the speakers and eventually you will gain more credits ..... much love.
Dah hii setup ya shoo, light,image are realy good 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Kazi nzr Matukio....well done
Ongea kiswahili …🇬🇧✌️
Huyo demu ana tuchanganya anaongea English na kiswahili pamoja
Ila matukio mkewako atapata kazi zaidi ya kazi
😂😂😂
George with the awwwww moment .. that’s so romantic .. you won’t survive without her … Lilly … you’re special to this man . Chaz your next ..: my bro one love ❤️
Kapanick this sis ..: Chaz big up pushing people from their comfort zone… I love the show man 🇬🇧🇬🇧🇬🇧😂
Matukio @galvin kweka awe the next one
Kochaaa George Ambangile🙌🏿
💯💯
I gained n' learning a lot as always🙌🙏.. brother Matukio u r so energetic bro😂🤝.. yani vibe lako na kupinga kwako wageni ndo huaga vinafanya na-enjoy th show😂😂.. mega S/O to u n' the whole JUNCTION crew.. n' also 3hrs could b more better plzz🙏
Glad you enjoyed it🔥💯
@@iRocNetworks 🙏🙏
Host please next time punguza kelele mkuu, mbwembwe unazidisha , acha mtu aongee amalize
Host punguza maneno, unaharibu kama wanawake wa-uswahilini bhana😢😮
nimechelewa ila nimepata alot big up guys
Hii haipo live, unaweza kuianzia mwanzo kabisa
Kaka interview zako nzuri sana lakini punguza kucheka cheka mpk sehemu za serious.
Unawa interupt wazungumzaji
Habari muwe mnakata kwa vipande vitatu au viwili isiwe ndefu moja kwa moja
Nafatilia sana hichi kipindi nakubali creativity iliopo ndan ya hiki kipindi watu mashuhuri ambao wapo ila nitafurahi sana siku mkamualika Dr. Galvin Kweka
Ila charles unakosha sana aiseee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥
great asset😊😊😊😊
💯💯
hii interview ilikua inamuhitaji ambangile tu,
Kabisa
Brother sijui kama nitakua nime stretch sana ila kama ukiwa una fanya na Mens talk pita na ile idea ya (boys boys) 😎 ..ni wazo tu ila big up sana
Presenter again please jamani acha maneno na makelele mengi, kipindi chako ni kizuri lakini unaharibi
Ila Charles mbona umekuwa unamkandia huyu Mdada? Afu Joji huyu angekuww hajaoa tungeanza muonea huruma
😀😀
Comments zangu huwa zinayeyuka tu.... 2nd time hii
Zinayeyukaje?😂
@@iRocNetworks nakuta nimecomment lakini sizioni
Good show to watch
George ambangile ndani
💯🔥
Wakwanza mm 😅
🔥🔥🔥
Tuning in
💯🫡🫡
aweeeeeeee
💯💯
Yn mm natamn iwe sension ya 3hr
😂😂 wait for the next show
My bes cost
Background music ingekuepo alternatively show ingekua kali… conversation inakua flat sana bila back beats