Wimbo huu ukipigwa au nikiuimba ninajisikia siko katika Dunia hii nabarikiwa na naona upako wa pekee. Inanijia picha ya utakatifu wa pekee. Mara nyingi nimeuimba ktk ibada za faraja na waombolezaji wanaomba niurudie.
@@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 I also want to be there in the Kingdom of Christ with you and be forever with God, our Creator who created us in His image.
1.Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vinanda vizuri viko, Na majumba tele yako, Mbinguni kwa Bwana. 2.Siku zote ni mchana, Ni nchi ya raha; Wala machozi hapana, Ni nchi ya raha; Walioko wanuona Uso wa Mwokozi, tena Jua jingine hapana, Ni nchi ya raha. 3.Nyama na vitu viovu Havimo kabisa; Kifo nacho, na ubovu, Havimo kabisa. Ni watakatifu wote, Wameoshwa dhambi zote; Wasiosafiwa wote Hawamo kabisa. 4.Tuna dhambi, pia sote, Mwokozi akafa; Kwake tutaoshwa zote, Mwokozi akafa; Kwake twapata wokovu, Tutawona utukufu; Mbinguni tutamsifu; Mwokozi akafa. 5.Baba, mama, ndugu zetu, Twendeni kwa Bwana; Huku chini sio kwetu, Twendeni kwa Bwana; Tusishikwe na dunia, Na dhambi kutulemea; Tutupe vya chini pia, Twendeni kwa Bwana.
God bless 🙌 unajua kuimba but chanel yako unaacha muda mwing bila kutuwekea nyimbo mpya .Jitaid uwe serous na chanel kiukwel napenda kuingia kweny chanel naipenda nyimbo twasoma ni njema sanaa inanibarik snaa endelea kutuletea zingine tubalikiwe na ss
Baba Wilson,mama Tusekelege, dada yng Eva na Ndimyake!! Kea jinsi mlivyoishi kwa kumtegemea mungu ktkt uhai wenu,ninaamini mko kwenye mji wa raha sasa. Mungu awapumzishe kwa Amani
Naupenda Sana huu wimbo
Halléluia 🙌
Wimbo huu ukipigwa au nikiuimba ninajisikia siko katika Dunia hii nabarikiwa na naona upako wa pekee. Inanijia picha ya utakatifu wa pekee. Mara nyingi nimeuimba ktk ibada za faraja na waombolezaji wanaomba niurudie.
Naomba unipe beti zote wimbo mzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Nan kaimba jamanii
Tunaomba full version ya huu wimbo au jina la waliouimba
Ni Sifa kwa Baba yetu wa Mbinguni makao yake yalivo mazuri si kwa ajili ya Marehemu Jina la Bwana liinuliwe juu sana sana
REST IN PEACE MAGUFULI,MOSES KULOKA UMETANGULIA KWA BABA
Jaman hiiiiiii tenzi nzuri sana yaani nikisikiliza naburudika sana
This song be always in ma heart coz wimbo uliimbwa kwenye mazishi ya babangu I will never forget that song
I also want to be there on this New Earth with God.
Oooooooooooh I pray for you my brother let us be there with our father cerebrating in the beautiful kingdom
@@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 I also want to be there in the Kingdom of Christ with you and be forever with God, our Creator who created us in His image.
Iyindirimbo iyondayumvirije icinkumbuzabmwijuru
Amina Mungu nitie nguvu niingie mahari pa raha
A qq
AMINA
Tenziii hii inanifariji sana ni jinsi navyoutafakari ukuu wa mwokozi
Mungu wangu naomba ukumbuke mwisho wangu
More songs pls
hallelujah
Omukwanogwekiro
Naomba hio biti na mimi nijaribu kuimba
1.Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vinanda vizuri viko, Na majumba tele yako, Mbinguni kwa Bwana. 2.Siku zote ni mchana, Ni nchi ya raha; Wala machozi hapana, Ni nchi ya raha; Walioko wanuona Uso wa Mwokozi, tena Jua jingine hapana, Ni nchi ya raha. 3.Nyama na vitu viovu Havimo kabisa; Kifo nacho, na ubovu, Havimo kabisa. Ni watakatifu wote, Wameoshwa dhambi zote; Wasiosafiwa wote Hawamo kabisa. 4.Tuna dhambi, pia sote, Mwokozi akafa; Kwake tutaoshwa zote, Mwokozi akafa; Kwake twapata wokovu, Tutawona utukufu; Mbinguni tutamsifu; Mwokozi akafa. 5.Baba, mama, ndugu zetu, Twendeni kwa Bwana; Huku chini sio kwetu, Twendeni kwa Bwana; Tusishikwe na dunia, Na dhambi kutulemea; Tutupe vya chini pia, Twendeni kwa Bwana.
amen
God bless 🙌 unajua kuimba but chanel yako unaacha muda mwing bila kutuwekea nyimbo mpya .Jitaid uwe serous na chanel kiukwel napenda kuingia kweny chanel naipenda nyimbo twasoma ni njema sanaa inanibarik snaa endelea kutuletea zingine tubalikiwe na ss
R.I.P MAGHUFULI AKA DR JOHN...WALIOKUUA WATAHUKUMIWA SIKUMOJA
Amen 🙏
Hakika MUNGU akuongoze mama angu.
Amina sana
🙏🙏🙏🙏 kazi ni njema doctor 👏👏👏👏👏
Asante sana Doctor
Mungu atupe mwisho ulio mwema❤️🙌🏻🙏 Jesus is our King 👑
Amina sifa ni za BWANA
Mungu awarehemu marehemu wote , hakika siku moja tutakuwa pamoja 🙏
Naitaji wimbo wote uliokamilika nitaupataje?
Tengeneze video 📸📸📸 Mimi nita lipiya
Mbarikiwe Sana kwa wimbo mzuri
Amen
Amen,nabarikiwa sana na huu wimbo,nikiwa safari huwa nausikiliza sana
Amina san
Niweze she ee mungu niende yaliyo mema niweze kuona Mji wa raha
Kuna watu wanaoenda Jehanamu naona wao ni Thumbs down tuu Inasikitisha😥😥😥
Fantastic song
Only god 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Yaani dah! Unanibariki sana huu wimbo kwa kweli,Mtunzi na uliyeuimba Mungu akubariki sana
Watu weusi hawatakiwi mbinguni!
Iwe kwako kama ulivyosema
Amina,,Yesu Kristo ,,,ahimidiwe milele na milele🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wimbo nzuri sipati picha siku ikifika niwezeshe Mungu wangu kutenda yaliyo mema
Baba Wilson,mama Tusekelege, dada yng Eva na Ndimyake!! Kea jinsi mlivyoishi kwa kumtegemea mungu ktkt uhai wenu,ninaamini mko kwenye mji wa raha sasa. Mungu awapumzishe kwa Amani
MUNGU ni mwema katika maisha
Ukipigwa huu wimbo namkumbuka sana marehemu babu yangu kipenzi lala mahali pema uliko
Hii video nilitengeneza mimi
Kazi yako ni njema sana
Naomba full version ya huu wimbo au waliouimba
Mungu nipe mwisho mwema niuone mji wa raha, be blessed singers
Utapata mwisho mwema na utaona Mji wa raha.