Diamond Platnumz akiri imemchukua muda mrefu kumsahau Wema Sepetu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Nenda hadi dakika ya 18:50 ndipo anaanza kumzungumzia Wema Sepetu. Lakini katika sehemu hii ya kipindi cha Chill na Sky, Diamond anatukumbusha jinsi alivyoteseka kufika hapo alipo. Mwaka 2010, anaelezea mkasa ambao hatokuja kuusahau pindi alipoenda kwa mara ya kwanza kwenye tuzo za MTV MAMA, Lagos Nigeria na kufedheheka vibaya kutokana na unyonge aliokuwa nao ikiwa pamoja na kutokujua Kiingereza. Anasimulia pia mkasa wa kuachwa na mpenzi wake Sara ambaye alimfanya aandikie wimbo Kamwambie.

КОМЕНТАРІ • 92

  • @shukuruissa9335
    @shukuruissa9335 7 років тому +34

    wema na mond oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 роки тому +21

    Wema is a new hamida😂 anyone 2020

  • @justinejulius3544
    @justinejulius3544 7 років тому +21

    Honestly i enjoyed this interview...Diamond was so open..Nice one

  • @tausak4568
    @tausak4568 7 років тому +15

    Hahahaha eti ameenda bila confident hata moja 😂😂😂😂jamani mbavu sina kweli yaani nime enjoy kweli 😂😂😂😂👌👌👌🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @josephkateti7030
    @josephkateti7030 3 роки тому +4

    Njoo on 2020-2021 ndo utaamin DREAM CAME TRUE

  • @sweetsau124
    @sweetsau124 7 років тому +14

    lakin yupo sahihi they shared alot ni kweli kabisa

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 років тому +29

    Lengo lakuletwa duniani ni kuja kumuabudu mwenyezi mungu...tusijisahau

  • @pendomasawe163
    @pendomasawe163 7 років тому +4

    Duh all the best WCB platinum your good kiongozi

  • @maynaal-abuswafih8262
    @maynaal-abuswafih8262 7 років тому +10

    Pole snaah mond ila hongera sanaah wema 😎

  • @mwaijaabdulmalik8
    @mwaijaabdulmalik8 4 роки тому +5

    Daaah nimecheka sana!
    Diamond aise kula bata tu wakuacheeee kabisa yani hahaaaaa!

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 4 роки тому +3

    Hii ni 2020 ila bado jengo hatujaliona, i hope mmalize tulione!

  • @mwaijaabdulmalik8
    @mwaijaabdulmalik8 4 роки тому +7

    Kila kitu kinawezakana!
    Nimenote hiyo Diamond Platnumz

  • @tabumussa9406
    @tabumussa9406 4 роки тому +11

    wema ndiyo chaguo la kweli kwa mond.

  • @fatimaussene1010
    @fatimaussene1010 5 місяців тому +3

    Gonga like kama uko unaangalia 2024

  • @maskgirls1048
    @maskgirls1048 7 років тому +7

    Mama tee hongera aisee,,kumtoa wema napo kazi

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +2

    off all girls naomba diamond uwe unamshukuru sana SARAH kwa kuwa ndiye alikufanya uwe na hasiraaa sanaaaaa na leo umetoboa na sijui yuko wapi? Sara jamani.

  • @faridahangedo5554
    @faridahangedo5554 6 років тому +6

    Kumsahau sepenga co rahisi Ana mwili wa.mapenzi

  • @stevechillo2754
    @stevechillo2754 7 років тому +3

    namkubali sana diamond

  • @tiarahrose7074
    @tiarahrose7074 7 років тому +5

    Ahahah u made my day 😂

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 роки тому +3

    Kuenjoy Dunian, ila Akhera Kuna acha 2,tumejisahau kusudi LA kuumbwa, jaman jaman

  • @omegajustin9926
    @omegajustin9926 7 років тому +4

    nimeipenda hiyo miwan baba T, naoombaaaa

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 років тому +6

    Hii interview imefanyika January 10 th,2017,sio mwaka huu,check out next one

  • @dan-konjembe5913
    @dan-konjembe5913 7 років тому +5

    WcB big up my brothers

  • @umclthom1237
    @umclthom1237 7 років тому +10

    bora ulivyosema kutoka kumoyooo. maubunifu n maujuzi ukiyakumbuka yanakukwaza. hta km hakuna jinc kumbukumbu hubakia.

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 5 місяців тому

    Anyone 2024 after Sarah likes please

  • @didikiki5225
    @didikiki5225 7 років тому +8

    yaani he is so fucking proud kuwa na maex wengi

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 років тому +5

    UNAKILI NZURI BROO.

  • @johnsonayo
    @johnsonayo 7 років тому +3

    I admire you bro sky

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +5

    Kila kitu kina cku ya kwanza na sasa wanakuheshimu baba LAOooooooo wakizishika hizo interview usijali.

  • @tausak4568
    @tausak4568 7 років тому +25

    Hahahaha kumbe wema nomaa kabisa ukiingia kutoka shiiiiiiidaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @LifeofSalmah
      @LifeofSalmah 7 років тому +1

      Tausi Ak 😂😂😂

    • @noelashaona2025
      @noelashaona2025 7 років тому

      Tausi Ak kweli

    • @tausak4568
      @tausak4568 7 років тому

      Noela Shaona natamani kuwa kama wema Hama kweliii 😂😂😂😂😂

    • @tausak4568
      @tausak4568 7 років тому

      Salma Cozorlover
      Kweli kabisaa😂😂

  • @andreajames6748
    @andreajames6748 6 років тому +2

    Umetisha

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 7 років тому +16

    bado hujamsahau maana kila unapoa oongea wema

  • @zulhaifasaid6413
    @zulhaifasaid6413 7 років тому +2

    Safi sana simba

  • @saidikhatib5813
    @saidikhatib5813 7 років тому +4

    Noma sana mzee baba simba bendera

  • @bahatichikokorashid5270
    @bahatichikokorashid5270 7 років тому +25

    Mondy kasema kisha msahau Wema nyie mnalazimisha bado sasa kt yenu na Mondy nani mkweli? acha ibaki story

  • @benjaminmike9778
    @benjaminmike9778 5 років тому +2

    Ukiskiliza interview ya Diamond lazma utamalza una furaha, thanks God kutupea huyu mtu

  • @mariagerome5133
    @mariagerome5133 6 років тому +1

    Nice video

  • @dan-konjembe5913
    @dan-konjembe5913 7 років тому +3

    Lions from Tz

  • @frankgalus2000
    @frankgalus2000 7 років тому +7

    gud

  • @aishasuleimansuleyman4814
    @aishasuleimansuleyman4814 7 років тому +4

    Mmmmmm kumbe mdada nimkunwaaa Salalaaaa ongeraaa wemaaaaaaa

  • @jacklineurasa426
    @jacklineurasa426 4 роки тому +3

    Wema tupe siri mamy

  • @fatihiaanwar8879
    @fatihiaanwar8879 7 років тому +3

    mtoto hazaliwi akanza kutembea mwanzo hukaa akatambaa ndipo akasimama

  • @josephtula5525
    @josephtula5525 7 років тому +5

    Uwe unaweka part 1,2,3, na kuendelea unapokuwa na kipindi kirefu ili tunaofatilia tujue tunaanza na ipi.

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 років тому +4

    wema kah

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 2 роки тому

    According to this interview,nmeproove wema ndo alimpenda Sana diamond kuliko diamond alivompenda wema

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 7 років тому +6

    Kamsahau wapi😂😂😂

  • @saraphinamsemwa6648
    @saraphinamsemwa6648 6 років тому +2

    Kweli maisha yanaanza mbali,,,,,,

  • @iddimsoshi9786
    @iddimsoshi9786 7 років тому +9

    SIMBA is numba 1th from Afica simbaaaaaaaaaaaaaa

    • @bettywest7315
      @bettywest7315 7 років тому +1

      hiyo "numba" umeandika na kiswazungu hahaha

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 7 років тому +4

    KWAIYO WEWE NI UMEJIKUBALISHA KUWA WEWE STEMPU YA USANII YA FREE MASON ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH AKUTIE MOTONI NA RAFIKIYAKO FREE MASON NDIO YUO WORLD OF DEVIL FOR FREE MASON PALYING WITH YOU SO WHEN YOU DAED YOU THIKN YOU GOIN TO BE IN SAFE PLACE INAMAANA HUJUI NINI MANA YA MZIKI KAPEWA NANI NA MWENYEZIMUNGU MOTO UNAUJUA QURANI UMEUELEZEA UKOJE UKALI WAKE NA NGUVUZAKE USHAURIWANGU WACHA MZIKI REJEA KWA ALLAH KUMUABUDU IN SHAA ALLAH KABLA HUJAZIKWA CHINI HUKO UNAPAKANYAGA PANA RAHAZEKE NA UCHUNGUWAKD APO 👹👹👹👹👹👹👹👹👺👺👺👺👺👺👺💒💒💒💒💒💒💒🐖🐖🐖🐖🐖🐖🔥🔥🔥🔥🔥🔥 WACHA HAYA IN SHAA ALLAH CHAKULA CHA SHETANI FREE MASON

  • @fanakamasashua69
    @fanakamasashua69 7 років тому +1

    Nina ndugu yangu no upcoming artist can u help her

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 років тому +3

    maisha safari ndefu sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 7 років тому +3

    Kweli kabisa unachoongea

  • @frankgalus2000
    @frankgalus2000 7 років тому +6

    Gus intaviuw

  • @dorismbise2927
    @dorismbise2927 4 роки тому +3

    Kwel umetoka mbali mond

  • @emmanuelfeli7392
    @emmanuelfeli7392 6 років тому +2

    duuu😂😂😁😁😁

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 років тому +5

    Kweli ww ni sukari ya warembo

  • @jenifarmwanitega9694
    @jenifarmwanitega9694 7 років тому +7

    we mondi hujamsahau wema kwani akikupa show huwezi kupiga?

  • @salumabdalla8304
    @salumabdalla8304 7 років тому +6

    hahahahahahaha huwez msahau

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 3 роки тому

    Hawezi kumsahau wema ile sukari

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 років тому +1

    Bora mond ulivyojisemea ukweli kwa ugumu wa kung'atuka kwa wema... Naona naye aliligundua hilo kama hakuna wa kumpindua Tz ila hakujua kama utafanya maamuzi popote pale na utapata wa kuziba pengo Lake ila yote kwa yote mungu ndiye muweza wa kila jambo

  • @gka9147
    @gka9147 7 років тому +3

    hahaaaaa duuh

  • @sabbathpeace4872
    @sabbathpeace4872 7 років тому +2

    ukweli ni kwamba mtu akiwa na bifu na mond nilazima wasanii Wa wcb wakaembali mfano rayvann alivoshidwa kuielezea seduce me ya ali kibali

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 4 роки тому +2

    Kweli zari anapendwa

  • @scolaibuva6349
    @scolaibuva6349 7 років тому +2

    oky

  • @gichaboy9892
    @gichaboy9892 7 років тому +2

    simbaa wa tandale

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 7 років тому +2

    WALA SIO SIFA NAFSIYAKO TU UNAIENDEKEZA KUMPA SHETANI WA FREE MASON 👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒💒🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖🐖 MUISLAMU WEYE ALMASI

  • @maulidkhamis405
    @maulidkhamis405 7 років тому +3

    duuuu hahaha

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 7 років тому +5

    bado hawujamusahawu

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 років тому +1

    watu hawaongelei kaz mapenz tu

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 3 роки тому

    😂😂😂😂😂

  • @OfficielSamJr
    @OfficielSamJr 7 років тому +3

    anaanza kuelezea xhda zakee

  • @mujumama6776
    @mujumama6776 3 роки тому

    Mhmmm

  • @Purplecheque
    @Purplecheque 7 років тому +3

    *ARTKINGDOM RECORDS*
    ~ Tumetoa punguzo la bei kwa wasanii wenye vipaji kurekodi kwa *99,000/- tu*. Pia watapata interview katika *artkingdom show* inayoruka *clouds Tv* kila alhamisi na jumapili saa mbili kamili usiku. The Best kabisa katika hao watakaorekodi atapata *Full Management contract*.
    *Offer ni ya siku 30 tu; Sambaza kwa msanii mkali unayemjua*
    📞call: 0713674655

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 років тому +1

    Haaahaaaa

  • @willymarcelhigiro5756
    @willymarcelhigiro5756 6 років тому +2

    Hivi diamond alisha pima ukimwi??? haha

  • @maulidkhamis405
    @maulidkhamis405 7 років тому +1

    duuuu hahaha