"TUKO DARASANI" YESU NA WAFUASI WAKE WAKIRI (PART 3)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 роки тому +6

    Maa asha Allah Allah awaamshe mana wamelala vibaya sheikh yussuf tulikumiss sana
    tumefurahi kukuona tunawapenda wote kwa ajili ya Allah

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 2 роки тому +6

    Mashallah mashekhi wetu muna pambana kweli pole pole mutafaulu inshAllah hapa na kesho akhera

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +5

    Tunashukur Kwa kutuwekea muendelezo part 3 mungu atazidi kukupa ujasiri na afya njema Isha

  • @babayazid2392
    @babayazid2392 2 роки тому +3

    Mungu akulipie sheikh Ramadan ,usitoke hapa mpaka waelewe uislamu

  • @abdulqadirmuhamed6491
    @abdulqadirmuhamed6491 2 роки тому +6

    Kutoka Pemba nakupata vixuri Sana sheikh Ramadhan kuria mashallah

  • @ericmutua7520
    @ericmutua7520 Рік тому

    Ramadhan unanipendeza na kazi Yako nzuri unafanya na mie hushindwa ntakupata aje

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Рік тому

    Ramadhan umekumbusha ksa cha nabii Nuhu A,S

  • @user-cv8kw8kd4k
    @user-cv8kw8kd4k Рік тому

    Kazi yako Shehe Ramadhan nzuri

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому +4

    dah ni msiba na vichekesho ishallah mungu atawaonyesha njia ya haki

  • @moanamessi1749
    @moanamessi1749 2 роки тому +5

    Mungu anaulizwa maswali,waisilamu takbiiiir.

  • @ggv866
    @ggv866 2 роки тому +3

    Baadi ya waluya anajifanisha na Nabii wa Allah..wamepotea

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 2 роки тому +3

    Mansha Allah May Allah bless you sheekh Ramathan.

  • @aminaoman2100
    @aminaoman2100 Рік тому +3

    Yarab tujaalie mwisho mwema 🤲🤲

  • @nafulapam7996
    @nafulapam7996 Рік тому

    Huyo yesu apate viboko mingi sana Kwa kuwapotesa watu wa mungu

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 2 роки тому +4

    Allah awajaze kheri mashekh wetu

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +1

    Juu ya ushirika wao wote lkn hawa watu wko na roho safi vile wanavoengea bila ubishi. InshaAllah pole pole watanyoka

  • @samxx411
    @samxx411 2 роки тому +6

    Kiukweli nawaonea huruma hadi machozi yanakaribia kunitoka...Mungu awangoze waijuwe haki, maisha ni mafupi sana na Mungu ameahidi kuadhibu waliomuasi adhabu ambayo haijapatapo kuadhibiwa ila sisi binadamu tunafanya mchezo sana hapa duniani..inshallah Mungu atukinge na adhabu zake..

    • @mercyakoth960
      @mercyakoth960 Рік тому

      This too harsh, the bible tells Us never to judge others and i believe ua quran must alai be hving such. Mambo ya dini tumuachie mwenyezi Mungu. Sisi hutokwa na machozi tukikumbuka those innocent souls we lost in west gate, Garissa university and so on in the name od jihad sijui holy war. Respect other pple's religion and God judge ALL AT the right time coz He alone ia the fair judge

  • @saidseiph8576
    @saidseiph8576 Рік тому

    Allah awalinde dhidi ya shari zote hii kazi ni kubwa kuliko fikra za kawaida
    Jazaaka Allah kheri Mashekhe zetu

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +2

    This black Jesus could have helped the African people who are struggling and have been suffering for thousands of years. Ni yesu feki ndiyo Unaona hana uwezo yoyote na hawa watu wanamamini mara kama Yesu na mara kama Mungu.

  • @hibrowfaki2920
    @hibrowfaki2920 2 роки тому +14

    KAKA yangu nakutakia mafanikio na kazi njema kwa REHMA zake RABBANA.

  • @ggv866
    @ggv866 2 роки тому +2

    Sheikh Ramadan Allah akupe jalie kila la kheri

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 роки тому +6

    Allah awaongoze hao wenzetu kw njia ya haki inshaallah 🙏🙏🙏

  • @sharifcali4203
    @sharifcali4203 2 роки тому +2

    Sheikh Allah akupe umri na akulinde. Jamani tujue kuna mabilioni kama hawa na hakuna mitume baada yake Muhamad( s.a.w.). Ndugu waislamu jukumu ni yetu zote kuwafikisha Dini ya haki uislamu.

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 2 роки тому

    Shekhe zangu Allah akuzidishie hekma na subra mmm kazi uko nao duh mtihan jaman

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому +3

    Mbarikiwe ishallah lakini kazi kubwa !!! mfanikiwe ishallah kwa Kun fayakun yake pekee ishallah

  • @mohamedthoya7436
    @mohamedthoya7436 10 місяців тому

    Nabii rachael.. Alishindwa kuandika jina kwa sababu ni refu

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 роки тому +3

    Namuomba ALLAH mmoja kati ya hawa asilim na kuwa shuhuda kwa wenzake.Hivi wenzangu mnamuelewa anachoonge huyu yesu.Hayo mashetan aliyokuwa nayo yamempanda mpaka kichwan.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +2

    Subhanaallah huko kenya jmn dah yesu karudi dah wapi ndacha aje amuone yesu jmn

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +4

    Anashika tama anaona unataka kumwaaribia wateja wake.

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Рік тому

    Yuda eskaryoti yuko huku Tanzania🇹🇿 kamtoloka anaitwa Joshua mwamengo Yesu nipe sumu atume nauri tumsafilishe mwanafunzi wake haraka

  • @lailasworld.1276
    @lailasworld.1276 2 роки тому +2

    Sauti hamna Ustadh.

  • @nyabutosamuelondieki2267
    @nyabutosamuelondieki2267 Рік тому

    Mimi ni mkristo ila nimefurahia kazi safi ya ndugu waislam. Imenifanya hadi nmetamani kusilimu.

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 Рік тому

    MNAKAZ KWELI MASHEKH

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 2 роки тому +3

    Aslkm huyo yesu ana bibi wangapi na watoto wangapi na hao wanawake ni kinani

    • @naimaabuualii578
      @naimaabuualii578 2 роки тому

      Bi ni Moja ila watoto hatujaelewa ss sijuwi 😂

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому

      Atawakula wanawake wote hao , kila mtu atataka afinywe na Yesu . Na hawa watakuwa wanamlisha Yesu wao wapike wamletee chakula asilale na njaa .

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 роки тому +1

    Hawa vile wameamini huyu yesu wao, akiitisha kitu heri wauze shamba wamletee anacho taka. May Allah guide them to Islam.

  • @siyatsheikhwarsame2673
    @siyatsheikhwarsame2673 2 роки тому +2

    Wonders shall never Seize, SubhanaAllah

  • @rageamadebuchir1135
    @rageamadebuchir1135 Рік тому

    Hawa wakristo wanachekesha sana.

  • @davidgershon1175
    @davidgershon1175 Рік тому

    Kwa kweli Mungu tuhurumie Dunia imefika mahali pabaya na sisi watu wako tunahangamia Kwa kukosa maarifa😔
    Tupe upeo tuufuate ukweli wako yt haya hayana budi kutokea maan Bwana wetu Yesu Kristo alisema watakuja wengi wakisema "mimi ndiye" ILA umetuasa tusisadiki🙏
    Mungu wafumbue Hawa watu macho wakurudie na watubu Kwa haya wanayoyafanya siyo za haki mbele zako😔
    Kinachonishangaza ni Hawa mashehe Cj wapo hapa kuwaomba Hawa watu wasilimu au wamekuja kubishana nao nawashangaa pia
    Maan unabishana na mtu ambaye unaona kabisa ameshapotea njia jaman 🤔
    Mungu tunaomba msaada wako🙏

  • @gaxman8575
    @gaxman8575 Рік тому

    Yesu wamchongo mungu anakupenda silimu kabla ujafa mungu atakusamehe achakuendelea kudanganya watu ambao wanajua unawadanganya nawepia unajua unawadanganya kuwa makini jahanam itakuhusu Sisi niwake na kwake tutarejea

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 2 роки тому +2

    Allah awaongoze

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 роки тому

    Kaka Rama wallah unakazi kubwa ,ila twende nao polepole maana gawajui watendalo lkn ipo siku mungu anawazindua ,watalia sana na wakiziona hizi interview

  • @jawahiryasin8294
    @jawahiryasin8294 Рік тому

    ALLAH Akbar sijui nacheka nini ati mungu alimwabia nini haha 😂😂😂😂😂 shezii sana

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому +2

    Allahu akbar wallahi lhamd

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +7

    Huyu jamaa amepumbaza hawa watu kwa ajili ya sadaka.hatari!

  • @wadadoharam6793
    @wadadoharam6793 2 роки тому +1

    Huyo mjama anapoteza point anajua mmemshika na uongo, amepoteza hao watu kabisa aki, Ya Rabbi

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 2 роки тому +2

    Wanakufuru hao Wala ukiristo haufundishi hivo hao wamepotoka

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      basi kawafundishe wajuwe ukweli kwa maana wao ndio wanaona ndio ukweli, umeona waislamu tunafundisha ukweli na nyie nendeni muwape maandiko ili waelewe sio kujifungia ukajiona wewe ndio kweli kumbe na wewe pumba tupu

    • @alphonceprot8264
      @alphonceprot8264 Рік тому

      Hongereni sana mashehe,mmefanya kazi kubwa na mko vizuri kimaandiko

  • @bro.malcolmali395
    @bro.malcolmali395 2 роки тому +1

    All praise is due to Allah the beneficent the merciful 🙏🏾

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 2 роки тому +1

    Ati sayari ya equity, kisha yesu mwenyewe hakumbuki neno hadi asome, ningependa kujua huyu yesu na hao malaika wake wana vitambulisho vya kenya.

  • @ggv866
    @ggv866 2 роки тому +1

    Allah awa samee awajui wafanyayo

  • @safiakara1868
    @safiakara1868 2 роки тому +2

    This is so sad.. May Almighty Allah guide them in straight path.

  • @aminaoman2100
    @aminaoman2100 Рік тому +1

    Uuwii 😥 unaweza sema umeona mengi kumbe bado 🤣🤣🤣

  • @siwajibufarida7288
    @siwajibufarida7288 Рік тому

    SubhanaaAllah

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 2 роки тому +1

    May Allah guide this Christian

  • @88command0
    @88command0 Рік тому

    🔥❤

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Рік тому

    👍👍🙏🙏🙏

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 роки тому +3

    Firaoun/Pharaoh wa enzi yetu. YAARABI mtihani mkubwa huu.

  • @blackkfeezy916
    @blackkfeezy916 Рік тому

    Yesu anaongea Kama braza kaka😂😂

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 2 роки тому +1

    Tunataka miracle ya yesu kma manabii wengine walivyopewa mitihan na maquraish

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 2 роки тому +4

    Mkiendelea kuwafundisha hawa masheikh wetu wataelewa tu

  • @rafiquesamuel1205
    @rafiquesamuel1205 2 роки тому +2

    Kwa maoni yangu juu ya mtu huyu nadhani ana shida ya akili. Endelea kuwatembelea, wanahitaji kazi nyingi. Tuko pamoja katika dua.

  • @lucykilambu8720
    @lucykilambu8720 2 роки тому +1

    Kuenda mbinguni sio dini ni matendo yako yanapendeza na pia kutokea zamani kulikuwa na msikiti na masinagogi ambayo ni hekalu kwa hivyo kulikuwa wakristo na waislamu msikufuru Mungu mtapata laana poleni sana kwa kutokuelewa

    • @rachealnazi9115
      @rachealnazi9115 Рік тому

      Angewafundisha tu huyo sheikh bt sio kuwambia waislim,,ju wanapotea kwa kumwabudu binadamu mwenzao

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 Рік тому

      @@rachealnazi9115 binadam gan tuna muabudu

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 2 роки тому

    Ndugu yangu Ramadhani, huyo yesu, unaionaje ajili yake naomba jibu

  • @jumapili100
    @jumapili100 Рік тому

    What kind of bangi these people be smoking. Wa Islam tuna kazi kubwa sana

  • @rageamadebuchir1135
    @rageamadebuchir1135 Рік тому

    Amebaki kujitokeza Maria

  • @mustafamsatimuhenga253
    @mustafamsatimuhenga253 2 роки тому +4

    Nashkuru kua muislam

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 2 роки тому

    INALILLAH WA INA ILLAH RAJIUN

  • @nahlarashid5852
    @nahlarashid5852 Рік тому +1

    hata maswali wanashindwa kujibu wanababaika subhanAllah coz hamna kitu hapo wanajifunga hapo hapo

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 Рік тому

    YESU MWANADAMU LOOOOOH JAPO NIKO MKIRISTO NAKATAA HIYO

    • @rachealnazi9115
      @rachealnazi9115 Рік тому

      Wana tuaibisha sisi wakristo tuonekane hatujui ukristo ni nin Yesu wa mbinguni atusamehe

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 Рік тому

      @@rachealnazi9115 kwa yesu hakuw binadam nyie naye nazan hamna tofaut na huyu mwenzen

  • @martinsimiyu2347
    @martinsimiyu2347 Рік тому

    Matthew 15:13-14
    He replied, “Every plant that my heavenly Father has not planted will be pulled up by the roots. Leave them; they are blind guides. If a blind man leads a blind man, both will fall into a pit.

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 Рік тому

    Anaishi wapi wapi hiyo yesu

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +3

    Kuna manabii assistant kama assistant ministers

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 2 роки тому +4

    May Allah guide them all Amiin

  • @yaqubabdi9532
    @yaqubabdi9532 2 роки тому +1

    Huyu Mzee ni mjanja.
    Ameandika madaftari mingi na anapotesha muda kuhojiwa.
    Let him not bring his own mjanja

  • @benin9773
    @benin9773 2 роки тому +2

    Hizo website za kuchekesha alizotoa

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому +1

    Mashaalah

  • @eleasemugo5371
    @eleasemugo5371 2 роки тому +2

    Bwana yesu......🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Рік тому

    Yuda yuda eskaryoti yuko huku kamtoroka

  • @suleimankira9195
    @suleimankira9195 2 роки тому +1

    Asalam aleykum ustazi naomba umulize hili angano jipya kalileta yeye?

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 2 роки тому

    Samahani nilikusudia akili yake, yesu huyo ikosawa. Allah awalipe kheri nyingi kazi ni kubwa muifanyayo

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 Рік тому

    Huyu yesu Anafaa kupimwa Akili yake!!

  • @johnokochwe3588
    @johnokochwe3588 Рік тому

    Nyinyi ma shaikh mngetembea na nyaunyo uyo jamaa mumfanyie factory settings

  • @Exposedvideokenya
    @Exposedvideokenya Рік тому

    😂😂😂😂😂Yesu huyu.yesu wa kiajabu,anasema ulimwengu ukitengenezwa na Mungu alikuepo,yeye na Mungu

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Bibi na uzeehuo unasema hita wezekana ok usije ukasema hukuonywa

  • @abdullyamiry160
    @abdullyamiry160 2 роки тому +1

    Kuna kitu hapo yesu ajajib,,

  • @samxx411
    @samxx411 2 роки тому +3

    Huyo yesu anatuzongazonga kama hawa wakristo wengine, wanapingana na yesu mnazeti wala hawampendi hata kidogo ila hujifanya kama wana mapenzi nae. hapa wanamuona huyu amepotea na wanamlaumu lakini wanajihisi wao wapo sawa na wao ukiwambia wanakuwa kama huyu yesu wa kenya, kazi yao kubwa ni kuupinga uislamu wakati uislamu ndio wenye uwezo wa kuzungumza na yeyote bila ya hofu kwasababu tunajiamini ni dini ya haki..asiye na haki yeye lazima ataogopa tu

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 роки тому +1

      Uislamu dini ya Muhammad

    • @samxx411
      @samxx411 2 роки тому

      @@fredrickgitonga1972 ukristo ni dini ya Paulo

    • @geffmutisya254
      @geffmutisya254 Рік тому +1

      Kama vile nyinyi waislamu mlipokua mlisomeshwa Quran na mukaiamini kuwa ndicho kitabu kitakatifu cha Mungu, hatuna pigamizi na hilo maana upande wetu tulizaliwa tukasomeshwa biblia hivyo nanyi mkiheshimu kitabu chetu maana Imani yetu yote tumeiweka hapo. Waarabu walichelewa kufikisha Quran huku kwetu hivyo basi wazungu wakatamgulia kutufikishia biblia. Upande wenu wazungu walichelewesha biblia hivyo basi waarabu wakatanguliza Quran kwenu, tuziweke imani zetu kwa kila kitabu kitakatifu tunachoamini pasipo kupigana

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому

      @@geffmutisya254 asante mawazo yako mazuri sana na sie waislam tunamuheshimu yesu 100% na hawezi kuwa mtu muislamu kama hamuamini yesu kama mtume wa Mungu ila na sisi tunaumia sana kutukanwa yesu na nyie kwasababu kuna mambo amesema hamfuati na kuna mambo hakusema mnamsingizia hapa ndio hatupatani ikisha suala la dini acha vitabu vijieleze wenyewe dini ni ipi sio kulazimisha kwa akili zetu.

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 Рік тому +1

      WANAMUOGOPA HAWA MBONA HAWAMFAT WAKAMWAMBIA WAENDA KINYUME NA DINI LKN WAISLAM HAWAOGOPI WAMEMFIKIA

  • @hastatz
    @hastatz Рік тому

    Hakika Dunia Ina mambo

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Рік тому

    Shekhe kumbuka unzungumza nawagojwa hapo siomalaika

  • @TruthInChristJesus
    @TruthInChristJesus 2 роки тому

    Ramadhan Hawa watu bado hawajaaamini huyo mzae si jesu

  • @AbelDelaGenese
    @AbelDelaGenese 2 роки тому +1

    Yote yameandikwa na ni lazima yatimie.
    •Mt 24:24 SUV
    « Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule ».

  • @zakariakiema621
    @zakariakiema621 Рік тому

    I like the movie its dramatic,,I just respect the word from bible and quran but huyu mzee na mbogi yake foril 😄 🤣 😂 its new 2023 on style

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 Рік тому

    Yesu hakuwa na mke wala mtoto mbona wewe ama ushashushwa ndo ukaowa

  • @patrickwakise2499
    @patrickwakise2499 Рік тому

    Wewe endelea kufanya yesu, ulaaniwe Mungu jidhihirishe mbele ya huyu mtu ajue wewe SI wakufanyiwa mchezo

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 Рік тому

    😂😂😂 we AKILI HUNA ET BABA AMESEMA UFUNGUE MLANGO KWELI ULIBAATKA MWENZE2😂😂😂😂

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 2 роки тому +1

    Mbona mnampa nafasi huyo kichaa ajitangaze?

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 роки тому

    Yesu kateremka Mombasa alafu mswahili duh

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +3

    Nabii anakaa kichwa wazi. Wallahi ajabu. Total confusion

  • @onlygodcansave7443
    @onlygodcansave7443 Рік тому

    Nyinyi na wanyonyi ni the same

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому

    😂😂😂hio ni introduction

  • @mohdidrisahaji4355
    @mohdidrisahaji4355 2 роки тому

    Dunia ina mambo hii

  • @jamesbabag
    @jamesbabag Рік тому

    😂😂😂😂😂 aty Yesu Ako na Bibi na atanitaufutia bwana mwema.Hiyo ni bangi mnatumia amaazingaumbwe😢.Mimi ni mkristu na muamini Mungu,Yesu na roho ambaye ni invisible sijawahi waona but naamini kwa maandiko.