Cheka kabisa ndugu uongeze furaha maishani maana si kwa comedy hizi yesu tuponaye mtaani Karne hii nadhani tumpeleke ziwa chala au ziwa babati huku Tanzania tumrushe nje ya boat na atembe juu ya maji
Sasa tunauliza bona hakunyeshi juu ya wakora Kaa Hawa kujifanya yesu kristo mungu twakuoba msamaha maliza wakora wengine walio na tambia Kaa hii wajivunze na wao
Natubu kwa hili eeeh Mungu nisamehe hiii imezidi sana ghathabu ya Mungu itakuja kutuangamisha nani ataweza kusimama eeeh Mungu nisamehe 😭😭hii mchezo itaisha lini?????
Dunia imeisha Kenya Kuna Enock na Tanzania Kuna Zumaridi Dah!!! aisee ndio mana magonjwa yamekuwa mengi mno asaiv ni laan hii Tunamuuz sana Mwenyez Mungu😢
Wamechanganyikiwa Hawa jamaa asee duh mungu wetu awasameshe Kwa yote kumbuka imeandikwa ndimi bwana mungu wako usikitaje Bure jina la mungu wako :kutoka 20 1-12 tafakari hapo Kwa makini
Nimecheka mpaka bavu karibu itoke, ati Yesu alikuwa na Bibi siku gani. Niwaulize Ni bibilia gani mnasoma kuliko hii kwa sababu nakuanga msomi wa bibilia na sijawai kutana na haya Mambo. Matapeli nyinyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😗😜😜😜😜😜😜😜.
enyewe hizi ni mikundu kabisa kwani zinadhani mungu nikiumbe cha kuchezea alafu tena mungu hajaumbwa vipi wewe waumbwa kwa iyo wewe ni sawa na shetani aliyemukashfu mungu kipindi alipewa mamulaka kidogo sio
These guys are beyond repair 🙆
Exactly
Hawa wahunitu kama wahuni wengine
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Saitani live
Interviewer good job, nimeipenda vile unawahoji Hawa wakora
Wewe unapingana na yesu bana
Yesu ya wapi ??? People perish because of lack of knowledge
Hawa wanaaribia wakristo hatuwatambui sisi tunajua yesu Yuko mbinguni na Mungu hao wa tongareni apana 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 if you are bored in Kenya, then you are alone.🤣🤣🤣🤣🙏
😂😂😂😂😂
i like this interview it was interviewed wisely
Thanks so much interviewer for the good job😂
Wasee wasee.. this coming easter itakuwa practical. Yesu ndiye huyu apa tunamsulubisha. So wale wasaliti ebu mjitokeze
Apingiliwe
Yesu ameamua kuona dorcas surely. Me Kenya sitaki Sasa mtu wa mwisho kutoka afunge mlango na azime lights can somebody kiss my comment
Imependeneza tusiwaache wasambaze uongo mashekh mpo vizuri
Alhambdullilah sisi kama Waislam uaga hatuna watu wa ki ajab ajab kama Hawa na wakitokea bakora kwa wingi.....
This interviewer needs a medal.
The interviewer deserves an Oscar award! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
ya this guy deserves an award
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yesuuuuuu
U guys will kill me with laughter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Cheka kabisa ndugu uongeze furaha maishani maana si kwa comedy hizi yesu tuponaye mtaani Karne hii nadhani tumpeleke ziwa chala au ziwa babati huku Tanzania tumrushe nje ya boat na atembe juu ya maji
🤣🤣🤣🤣
Ati ukiona mwana umeona mungu
@@bellaliga907 nadhani lile wazo langu la kupewa ruhusa niweze kuwatandika viboko ningepewa tu
Mimi ni mkristo lakini kwaili sikubali 2023 shetani yuko nguvu Sana tutaulizwa siku za mwisho
this is so amazing...ati yesu!!!
Nakuambia
Walai kenya sihami🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tunauliza bona hakunyeshi juu ya wakora Kaa Hawa kujifanya yesu kristo mungu twakuoba msamaha maliza wakora wengine walio na tambia Kaa hii wajivunze na wao
GOD FORGIVE THEM FOR THEY KNOW NOT WHAT THEY ARE DOING 😭
Yes
Aki mtangazaji eti bwana yako ni mungu Huyu bwana amina...ile bangi Hawa watu wamefuta eti amina amina
Interviewers you did an amazing work
Huyu mtu ni njaa ako nayo🤣🤣🤣
Mungu analalaa...jibu imefanya nichekee akiii
Acha kunimaliza
@@janejane8923 lkn si ni ivoo aliulizwa akajibu
Interviewer congrats good job. You have exposed hao mafala wa tongareni
Haki kwa nini wakristo mmeanza kunitia aibu 😢😭😭😭😭💔💔💔💔
MUNGU unawaona hawa wakora kweli?????😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔
Mwenye Ali create hii God bless you soo much
Natubu kwa hili eeeh Mungu nisamehe hiii imezidi sana ghathabu ya Mungu itakuja kutuangamisha nani ataweza kusimama eeeh Mungu nisamehe 😭😭hii mchezo itaisha lini?????
Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 hongera sana shekhe atakama mm ni mkiristo kazingua huyo
Waah!huyu mtangazaji yuko juu💯
Kabisa
Nimekubaliana na yeye
WEWE NI MKORA NA TENA NYINYI NI WEZI MAJAMBAZI M WAPI POLISI HAPA SHIKENI HAWA WATU HERI WAKUUZA MAJI NA MBEGU.
Kama nigekuwa mm nahoji makofi yagekuhusu mke na mme pumbavu wakola nyinyi nimewapenda sana mashehe
Wapumbavu sana Umeambiwa ni Mtu asiyeonekana alafu unasema nyooooo hapo
Ele ujinga iko kenya 🇰🇪 n mwingi sna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🙄🙄😲🙉🙉🙊🙊🙀🙀🙀🤔🤔🤔🤔
Hio jina unajjita ni kubwa sana ungejiita shetani siongea, kujiita yesu umekosea sana mungu akusamehe sana
Dunia imeisha Kenya Kuna Enock na Tanzania Kuna Zumaridi Dah!!! aisee ndio mana magonjwa yamekuwa mengi mno asaiv ni laan hii Tunamuuz sana Mwenyez Mungu😢
I want continuation please😂😂,'yesu' ni kama ako kusulubishwa sasa
Shekhar it's kill me 😂😂😂😂😂 interviewer Jesus tongaren
Wakristo Mna KAZI Jmn sisi waislamu hatutakagi ujinga ata Kdg Wallah Nyie hampo serious
Napenda huyu mtangazaji😂😂
Hapa walipatikana😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 Yusuf anaongea na Yesu direct. Am death 😅😅
I'm dead too.
😄😄 mm nawashaur mcwe mnawahoj wakiwa wamevuta bange mnke wanachksh sana
weeeeeuh......Huyu mzee atapigwa kiboko ashangae😅😅😅😅😅
huyu tumuite Nani?
@@wbtv6719 saitani
😂😂😂😂 dunia kwisha hati amina
Yaani mshaafika hapo kujifananisha na Mungu washindwe sana
Hapa na mm ni malaika wa waimbaj mbinguni 🎉
Yaani huyu anasungumza na Mungu direct 😁😁😁😁😁😁
Weh! Lord have mercy on us.
Mbona huyo yesu Ako tongareni pekeake? Na biblia inasema akija kila jicho litamuonà? Haya huyu mluhya ametoka wapi? Mungu awasamehe Hawa wawili
Biblia yase, mimi ndimi mungu wako usimùabudu mungu mwingine, kwa nini mnawaaibisha wakristo?mungu awasaidie sana
Ningelikuwa karibu ningewapa bakora hawo washenzi sana eti niwamungu wangine wamalaika shehe nimekupenda kwakuwauliza maswali wanakwepa sana
Hii ss ndo zinabamba maswali ady wanachanganyikiwa kujibu yesu bonoko 😅😅😅😅 Big up
Enyi takataka acheni upumbavu na ujinga tumetenda dhambi nyingi nawaombeni kwapamoja tuungame dhambi zetu msirudie tena hayo maneno yenu.
Nabii Benjamini Leo ni malkia Dorcasi😂😂
Serikali iwashughulikie hawa maana watakuja wauwe watu watakuja wachomwe moto maana nimeona wengine wamefungwa hawa inatakiwa waingie jera
In Kenya there is freedom of worship as long as they don't go against the law
Yaani ningekuwa na uwezo, hawa watu acha tu
What are they saying..what is he saying..
ATWOLI after seeing this
😂😂😂😂😂😂😂watu wa bungoma mko na shida kweli
Acheni biashara kwa Jina la mungu mnanikera njia ya kweri ni wisillam tu tuwe makini na lazima niufikie
Wamechanganyikiwa Hawa jamaa asee duh mungu wetu awasameshe Kwa yote kumbuka imeandikwa ndimi bwana mungu wako usikitaje Bure jina la mungu wako :kutoka 20 1-12 tafakari hapo Kwa makini
😂😂😂😂waaa mimi nimehama luhyaland
Great comedians
I love the questions
Bibi ya yesu ameshindwa kujibu
Acheni kuuhujumu ukristo washenzi nyinyi
Nabii Enoka ashamaliza Kila kitu😂😂
Wanajita Mungu na Malaika watapigwa Radi kama vile brazil.... Ndio mana Kenya Maisha Sai hayaeleweki....
Hii dunia haikosi vituko waluhya bonoko aty yeah🤣🤣🤣
Waongo watupu nyie mungu awapinge ping kubwa san
😂😂😂 nime cheka sana Aisee!
Yesu tunajua ni mmoja aliye zaliwa na mariamu hawa wanaigizatu
Nauliza tu watu wa Bungoma Yesu amekubali kusulubiwa ama
Question???????
Mwambie niko tayari kumsaliti😂😂😂😂😂
Nimecheka mpaka bavu karibu itoke, ati Yesu alikuwa na Bibi siku gani. Niwaulize Ni bibilia gani mnasoma kuliko hii kwa sababu nakuanga msomi wa bibilia na sijawai kutana na haya Mambo. Matapeli nyinyi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😗😜😜😜😜😜😜😜.
Eti hawa ndio mungu bure kabisa 😢 repent your sins mnajipitosha ghasia nyinyi eti yesu we only have one King of kings Yesu wa Nazareth
Yesu ni mluhya🤣🤣😂 asande 😆 anajikoroga😅😂
Hakuna kitu hatuna Kenya 😂😂
Mungu tusame hizi ndo siku za mwisho
MUNGU Awarehemu
Intervewer :naongea na yesu direct?
Yesu:😂😂😂mimi ni mwana wa mungu
😂😂😂😂
Madness is real.bei ya unga imetufikisha hapa Kweli?
Hawa wote wamefana, yesu awasahindiye sana
😂😂😂😂🤣🤣aiseee
Woooi mungu hurumia watu wako kweli dunia imeisha
😂 😂 i dont know why am laughing ati malaika
😂😂ati malaika 😂😂😂yesu amelala.kwani malaika ni binadamu.
Yaani Benjamin na Enock ni wanawake aki Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣aki imagine anakufanana
@@yvonnejoyce 🤣🤣🤣🤣 we ivy
@@nancysimiyu640 🤣🤣🤣yeee
Et huyu n yesu
Kenya ni yetu na waluyha ni wetu
Huyo mama ety dorkasi inastahili aingie jela tu.hajielewi
Hawa watu tangu waanze kuojiwa na waislamu hawana majibu ya kueleweka, Wakiulizwa swali wanajibu vingine.
Hawa wakora ama
7:43 wakakuamsha.. I have laughed guys.😂😂😂😂
Uyu mzee aki
Hawa watu wanastahili viboko kutoka kwa maskio😅😅😅😅😅 eti mm ni Malaika
Hawa watu wa bungoma ni wendazimu😂😂
Kazi ya mungu haichunguzwi chunguzwi....
Utanivuja mbavu nakicheko
😂😂😂😂😂😂😂😂
I can't wait to my heavenly father ihave to be patient
🤣🤣🤣🤣
what????!
ati siku Moja nikiwa katika chombo na mitume nilipumzika kidogo. dorubs ikatingizika
Comedy taken on the next level🤣
Kufuru,!!! Kufuru,!! Msituharibie,,, imani,,,, jamani,,, SIO WAKRISTO HAO,,, NI WAFUASI WA SHETANI HAOOO ,,,, SASA TUNAHITAJI ASULUBIWE HUYOOOO TUKO KWENYE MFUNGO SASAIVI IJUMAA KUU ATUNDIKWE HUYOOO
Uwiiiiiiiii wamezeeka na kuchanganyikiwa
May Toroitich Arap Moi rest in peace
Moi amekujia wapi😂
@@patrickwaithaka9004 amekujia juu ya mabati🤣🤣
This are good story tellers
Huyu yesu,anafaa asulibiwe wakati wa pasaka😂😂🤣
Atakimbia hamtakamata
enyewe hizi ni mikundu kabisa kwani zinadhani mungu nikiumbe cha kuchezea alafu tena mungu hajaumbwa vipi wewe waumbwa kwa iyo wewe ni sawa na shetani aliyemukashfu mungu kipindi alipewa mamulaka kidogo sio
Mins 5:02 yesu pia unaweza fungua🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 kweli ni nyakati za mwisho
🤣🤣🤣🤣🙆🏼♀️woooiye mungu tuhurumie
Aki Kenya atuhami
Nyie ndugu zangu wa kinyenya leo mmeniongezea sana siku za kuishi, nimecheka nusu nivunje mbavu
Yesu amejaribiwa sana aja akasirike atujukue mbinguni