STEP FATHER | 01 | Love Story ❤️

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 381

  • @SyproseOkumu
    @SyproseOkumu 3 місяці тому +34

    Eti mtoto kafanana na hii nyumba huyu jamani 🤣🤣🤣🤣 Kevin una mambo ❤❤❤

    • @TwisibileMwangairo
      @TwisibileMwangairo 3 місяці тому

      Yani amenifanya nicheke😂

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @PHYLICEANDEGA
      @PHYLICEANDEGA 3 місяці тому +1

      😂

    • @florencekanze
      @florencekanze 3 місяці тому

      Yani nmeangalia vizuri mtoto nahio nyumba ataskupatajibu 😂😂😂

    • @AgnesPeter-j8m
      @AgnesPeter-j8m 24 дні тому

      AK mnaniua mm, mtafanya nifukuzwe kazi akh, Kelvin eti mtoto kafanana Na nini? AK wewe utakuja nivuja bafu banaaa

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 3 місяці тому +32

    Kev wewe ni mbunifu mkubwa na Mungu akuongezee kipaji chako kiwe kikibwa zaid

  • @NdayikezaGodelive
    @NdayikezaGodelive 7 днів тому +2

    Hatal moto anafanana nahii nyumba jaman 😊

  • @apaililiaakyoo9795
    @apaililiaakyoo9795 3 місяці тому +22

    Muv ikiwa naKelvin , kunambi na loveness inapendeza san

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 3 місяці тому +1

      Kabxaa Masha'Allah Ila mie nampenda huyu doctor 😂😂😂😂😂😂😂 yupo seriously Kam uhalisia vile

  • @EverlineRamadhani
    @EverlineRamadhani Місяць тому +2

    Pia na waombea sana kwa mungu hawape maisha marefu napenda sana muvi zenu

  • @mercychepkirui5791
    @mercychepkirui5791 3 місяці тому +12

    JAMAni mtumie majina tumesoea sasa surely benja 😂duuuh kama umeudhiwa kama mimi nipee kidole

  • @سيييققق
    @سيييققق 3 місяці тому +8

    Badala muendeleze mtoto wa boss kwanza mnaanza movie ingine 😮😮

  • @ChanceRugohera-gz3lm
    @ChanceRugohera-gz3lm 3 місяці тому +7

    Ila huyu docta Ninoma kbs mpaka kaamua kupenda pesa 💸👈💰 ivi🎉😂😂😢😮ni me tokea kuwa love🇨🇩🇨🇩👈💔👏

  • @abdallahismael701
    @abdallahismael701 3 місяці тому +7

    Kelvin Leo Benja hongera bro kazi zako ziko vizuri kiongozi mungu akufikishe mbali mshua.

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 3 місяці тому +13

    Cjachelewa kumbe 😂😂😂😂 nawapenda nyote ❤❤❤

  • @Muntaha-dx2dj
    @Muntaha-dx2dj 8 днів тому

    Wow movie zenyu Zinapendeza Sana nawapenda sana kelvin na loveness mnajua kuact sana

  • @EvalineMollel-py7fc
    @EvalineMollel-py7fc 3 місяці тому +24

    😂😂😂leo kelvin anaitwa benja😂😂

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 місяці тому +15

    Kwani mmeirudia 😢😢😢juu nliwatch jana hii movie jmn😢en way love from 🇰🇪🇸🇦🥰

    • @SilviaDirecto.
      @SilviaDirecto. 3 місяці тому +2

      ndo pia mm nashangaa jana nilwatch na sahi wameandika 5hrs adi sielewi

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 3 місяці тому

      @monaciarkennymo6ix9ine62 eeeh itakua ivyo

    • @gracekayumba-z9l
      @gracekayumba-z9l 3 місяці тому

      Wamebadili jina afadhar mana me jana niliwatch kidogo nikaacha now wamebadili jina nimerud​@monaciarkennymo6ix9ine62

  • @محمدالرويلي-ي1ز9ب
    @محمدالرويلي-ي1ز9ب 3 місяці тому +1

    Kazi njema mnayoifanya Mungu wa mbinguni awabariki nyote🎉🎉🎉🎉

  • @NabilomarAkbar-n1j
    @NabilomarAkbar-n1j 3 місяці тому +4

    Kama unampenda kelvin eka likes APA

  • @PriscaKagendo-w7q
    @PriscaKagendo-w7q 3 місяці тому +11

    Wa nne Leo🎉🎉 kwenu

  • @benjaminwawire2973
    @benjaminwawire2973 3 місяці тому +21

    Nimewai wa kwanza jameni❤🇰🇪

  • @sayunimhungulu6918
    @sayunimhungulu6918 3 місяці тому +12

    ❤❤❤❤❤nawapenda sana

  • @Annajumwa
    @Annajumwa 3 місяці тому +5

    Kazi nziri tamu sana❤❤❤❤hongeren

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 3 місяці тому +29

    Duuuh leo nimewahi kwakweli 🎉🎉🎉❤🇰🇪 like zenu wadau mtoto wko kaka hyo 😂😂😂😂

  • @EsterMwalongo-ox2sk
    @EsterMwalongo-ox2sk 3 місяці тому +5

    Huwa napenda Sana ukiitwa kelvni na mke wako akiwa loveness

  • @Mercy-pq4ye
    @Mercy-pq4ye 3 місяці тому +3

    Mzee wa maokoto kila mahali😂😂😂😂 dctr

  • @RehemaIddy-o2g
    @RehemaIddy-o2g 25 днів тому

    Kevi unatupa mafunzo sana na jinsi ya kuishi na walimwengu mungu akupe maisha marefu kaka tunakupenda sana

  • @ShiviaSoyian-h2l
    @ShiviaSoyian-h2l 3 місяці тому +3

    Kelvin thanks for your work mungu akusaidie

  • @NaomiGatugi
    @NaomiGatugi 2 місяці тому +1

    Yeah tunafaa kuwasaindia watoto hawana hatia hata kidogo hio ni baraka Kwa mungu.

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 3 місяці тому +5

    Haaaa kelvine leo una mtoto 😂😂😂nice to be A good father

  • @PetroJikoo-h9z
    @PetroJikoo-h9z 24 дні тому

    Dah kevii unazingua ,,,usibadilii jina kabisaaa wewe ni kevii ,,, unaweza mwananguu

  • @MagdalenaSwai-z6u
    @MagdalenaSwai-z6u 3 місяці тому +5

    iiiiii jaman kumbe mnabaki mkitafuta moves za kevi ilaleo kaitwa benja nimzuri ila hawana shoombovu❤❤❤❤🎉🎉

    • @ElizaDidace
      @ElizaDidace 3 місяці тому

      😂 😂 😂 😂 kuna wengine mpk tumuone kev ndo tunaangalia movie 😂 😂 saaa leo benja kumekucha

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 3 місяці тому +23

    Mko vizuri lakini nimemiss sana Nelly ❤❤❤❤ from 🇰🇪

  • @SesiliaPita
    @SesiliaPita 3 місяці тому +1

    Kevin mungu akubaliki kwa mover nzuri na ravenes

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh 3 місяці тому +15

    Kazi nzuli ❤❤❤

  • @manirakiza-y7v
    @manirakiza-y7v 14 днів тому

    Nawapenda sana vipenz vyang allah awanilindie🙏🙏🙏

  • @FawzaRobert
    @FawzaRobert 3 місяці тому

    Hongera Kevin na kikundi chako❤ ila victory Jaman yuko wap

  • @JosephKazungu-z3n
    @JosephKazungu-z3n 3 місяці тому +5

    Hii kelvn sasa imefkia kwa Benja suwainiiii🎉

  • @MiryamKiza
    @MiryamKiza 3 місяці тому +1

    Mimi nakupenda sana jisi ulivo saidiya mtoto ule mungu akupe nguvu umutunze mototo

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 3 місяці тому +4

    Naunajua Ni mtotowako Hata humshiki amakweli 😮😮😮😮

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw 3 місяці тому +17

    Tumemmiss Victoria na Nelly Jamani wako wapi????

  • @maryamrashid-s6
    @maryamrashid-s6 3 місяці тому +1

    Huyo mtoto ana enjoy apo kw benja coz n wa kubebwa tu Kila mara mtoto wa bure uyo lea kaka❤❤❤❤❤

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 Місяць тому

    Kevi anamambo 🎉😂😂❤ngoeti uyo mutoto abafanana nainyumba 😂❤🎉

  • @tabithawanjiku704
    @tabithawanjiku704 5 днів тому

    Pia benta ana roho safi luv you all guys,mko sawa

  • @dr.dishon2960
    @dr.dishon2960 3 місяці тому +3

    Mhhh mmebaili jina tu ila hii mmeionesha jana. Waloona like hapa😂😂😂

  • @PaulChacha-n8t
    @PaulChacha-n8t 3 місяці тому +5

    Heeeee nimeipenda fanyeni haraka ep2

  • @AbdremaneIzaqueSefo
    @AbdremaneIzaqueSefo 3 місяці тому +130

    Atakae soma comment hi mungu ampe maisha marefu zaidi❤❤

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 3 місяці тому +6

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MbeleLukingama-eo2dl
    @MbeleLukingama-eo2dl 3 місяці тому +2

    kwajuwa nini mnapenda kutunga story moja😁😁😁😝😝😝

  • @Estherjacob-ph9jg
    @Estherjacob-ph9jg 3 місяці тому

    Huyo Janeth mm sjui namuonaje mweee na hayo macho anavokaza 😮😮😮😮

  • @kilwamedia
    @kilwamedia 3 місяці тому +3

    So great, big up story writer and script writer, Director ongeza umakini and your team

  • @KasokiMireillelusenge-ps4gc
    @KasokiMireillelusenge-ps4gc 3 місяці тому +1

    bien sana minawapendaga sana ❤️❤️❤️

  • @chidzodunda
    @chidzodunda 3 місяці тому

    Haki nyinyi mnajua kutufurahisha 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @FatmaNassor-b4d
    @FatmaNassor-b4d 3 місяці тому +4

    Hongera donta tv hmn mbya kaka umetisha

  • @DONALDATHUMANI
    @DONALDATHUMANI 3 місяці тому

    Nimwedo wahuinjoi tu,👑👑👑

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 3 місяці тому +2

    Good work 👏👍👏

  • @AbedMmm-o4p
    @AbedMmm-o4p 3 місяці тому +5

    Best movie 🎉🎉🎉🎉🎉 funzo hilo

  • @wangoroalice
    @wangoroalice 3 місяці тому +4

    😅😅leo mmezidisha😅😅 Yaani Kissinger acting as a doctor 😅😅😅😅

    • @olicej7837
      @olicej7837 3 місяці тому

      Wasingemuweka 😂😂😂😂

  • @MagdalenaSwai-z6u
    @MagdalenaSwai-z6u 3 місяці тому +2

    Keviii unajuakulea kweli❤❤❤🎉🎉

  • @VaneKwamboka-c7c
    @VaneKwamboka-c7c Місяць тому

    Kelvin ana roho nzuri sana,naomba uzidi kunawiri

  • @agneskarembo7805
    @agneskarembo7805 3 місяці тому +2

    From Kelvin to Benja🤣❤❤❤

  • @سيييققق
    @سيييققق 3 місяці тому +8

    Amina ni janet😅😅 Kelvin ni benja lakini uyu mzee anaejifanya ni doctor hata haijampendeza iyo kazi heri angekua vicktoria 😅😅

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 3 місяці тому

      huyu mzee anauwez tuu utapel nd ungemkaa kam kweny movie nyingn

  • @SivasimaNelson
    @SivasimaNelson 3 місяці тому

    Kweli kabisa kelvin na laveness wanavutiya sana

  • @PriscaKagendo-w7q
    @PriscaKagendo-w7q 3 місяці тому +7

    Ongereni sana mna mafunzo kweli, brown kaa ujitafakali kakaangu

  • @MahmoudAbdi-d1e
    @MahmoudAbdi-d1e 3 місяці тому

    Good work guyz,big up 💪🥰👌

  • @happynessPaul-v2y
    @happynessPaul-v2y 2 місяці тому +1

    Nece❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @EverlineRamadhani
    @EverlineRamadhani Місяць тому

    Duuuuu kelivn na kupa sana ongeraa na wafatilia sana unatup mafunxo na uxuli wako pia unavutia xana kijana

  • @ShabanAmiri-w1d
    @ShabanAmiri-w1d 3 місяці тому

    Ukiwa na lovenesssss kelve mnapendezana

  • @boazkasyoki3172
    @boazkasyoki3172 3 місяці тому +5

    Daktari mwenyewe anachukua pesa haraka aje😂😂😂😂

  • @ElizabethNiima
    @ElizabethNiima 3 місяці тому +2

    Rispa mungu akusamehe kwa kumtupa mtoto

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 місяці тому +16

    Mnaokubali hii drama like zenu hapa tuwatambue

    • @anisertnjuka
      @anisertnjuka 3 місяці тому

      Nimefurahi jamanii kelvin kulitumia jina LA mdogo wangu Benjamin's

  • @Julimwaigaga
    @Julimwaigaga 3 місяці тому +1

    Hongeren Donta Kwa kuendlea kuelimisha jamii maan haya yapo na tunaishi nayo

  • @NeemaJoseph-g6d
    @NeemaJoseph-g6d 12 днів тому

    Wanaojua kuwa kelvn ana roho nzurii ya upendo tujuane jmniii

  • @JanethMwacha
    @JanethMwacha 3 місяці тому +2

    😂jmn nilikuwa wap kuangalia hii movie tangu mda amina anaitwa jina lng😂😂😂🙌

  • @janethjoshua6782
    @janethjoshua6782 3 місяці тому

    Heee! Jamani Janeth,, mbona hatuko hivyo kina Janeth 😂😂😂

  • @AshaKibuzi
    @AshaKibuzi 3 місяці тому +7

    Lovenes ❤❤❤

  • @CharlesKaboya
    @CharlesKaboya 2 місяці тому

    Nakukubali sana kelvin unatisha sana kwa sas endelea hvyo brow

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 dota tivi munawwza jamman ninawakubali sana me mkenya nnikiangalia nikiwa saudia riath

  • @MarcusKahindoshabani
    @MarcusKahindoshabani Місяць тому

    Nawapenda sana kwa maigizo yenu kweli

  • @StevenAmoni
    @StevenAmoni Місяць тому

    Yaaani wewe ni noma hao ndo wanawake hawana uvumilivuuuu

  • @SharifaShery
    @SharifaShery 3 місяці тому +2

    jaman samahan naomba kuuliza mbona macho ya kunambi yanacheza ivyo au ndio alivyo??

  • @Hamisijavu
    @Hamisijavu Місяць тому

    Mpo vzr kelvin wajina wa mwanangu

  • @LucyChengo
    @LucyChengo 3 місяці тому

    Wewe kunambi Kwa nn unakataa mke na mtoto wako na wewe kunambi wewe mweupe na bibi mweupe mtazaa ngochiro😂😂😂

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 Місяць тому

    Beja 😂❤🎉🎉Najaneti awo ❤😂😂

  • @KhadijaHamisi-m7k
    @KhadijaHamisi-m7k 3 місяці тому +2

    Kelvin unapendeza sana ukiwa na mtoto🎉

  • @fashyahmed4135
    @fashyahmed4135 3 місяці тому +1

    movie zeni zinatia uviv mn hammaliz...Ile mtt wa tajir ndo mmsaiacha njian...Bora donta tv wanamaliza movie

  • @deograciaFidorini
    @deograciaFidorini 3 місяці тому

    Dh kelvin napenda muvi zako sana ❤❤❤

  • @NeemaJoseph-g6d
    @NeemaJoseph-g6d 12 днів тому

    Mst d anapenda rushwa jmni

  • @AnneMarieNdaribwirinda
    @AnneMarieNdaribwirinda 3 місяці тому +2

    ❤❤❤ na penda Sana munatuburudisha

  • @HadijaHadia-p5s
    @HadijaHadia-p5s 3 місяці тому +1

    Mm nimempenda sana kaziako Kelvin namani nijiunge

  • @tabithawanjiku704
    @tabithawanjiku704 5 днів тому

    Nampenda sana lisa

  • @raulianopaulmaxmilianrauliano
    @raulianopaulmaxmilianrauliano 3 місяці тому +2

    HOngereni sana❤❤❤ Nazi nzur

  • @FarahanaShafii-i3i
    @FarahanaShafii-i3i 3 місяці тому

    Safi sna😅😅😅

  • @MirriamBanda-f2i
    @MirriamBanda-f2i 3 місяці тому +1

    Nakupenda sana Kelvin❤❤🎉❤❤❤❤❤

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 3 місяці тому +3

    Nzuri sana ❤❤❤🎉

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 3 місяці тому +8

    Janet una roho mbaya mama mtoto mbalaka ❤❤

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 3 місяці тому +2

    Nzuri sana daa❤

  • @YasiniJuma-o3z
    @YasiniJuma-o3z 3 місяці тому

    Lazi nzuri

  • @MalingaMaboko
    @MalingaMaboko 3 місяці тому +1

    Pole sn loveness lakini uchungu wamwana wajuwaye mzazi

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 3 місяці тому +3

    mw n muandish wa kujitolea coz napenda ila sjafany kama ajira hiv naelewa jamaa kwann anapendwa

  • @ErickLeonard-i9e
    @ErickLeonard-i9e 2 місяці тому

    Yaan kelven jmn anavituko ety mtoto kafanana na nyumba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 3 місяці тому +2

    Mambo ni moto kiukweli EP muendelezo

  • @AshuzaArsene
    @AshuzaArsene 3 місяці тому

    Nikweli kabisa ndugu zangu 😂😂😂😂

  • @AmosJustine
    @AmosJustine 3 місяці тому

    Amakweli mungu ubaliki kazi yamikono yetu