QURAN YOOTE NI DUA | TUMEKUJA KUZURU KABURI LA SHEIKH RAMADHANI SUNGU | TUPATE KUNUFAIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • QURAN YOOTE NI DUA | TUMEKUJA KUZURU KABURI LA SHEIKH RAMADHANI SUNGU | TUPATE KUNUFAIKA
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv

КОМЕНТАРІ • 32

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah mungu ampe dalaja la juu uko alipo Mashaallah ❤

  • @bintisomo4789
    @bintisomo4789 3 роки тому +3

    ALLAH amrehemu nasi Mungu atujaaliye mwisho mwema 🤲🤲🤲

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭mwenye mungu muweke katika pepo ya haliyajuu kabisaa ya jannat firdaus.yarabby

  • @sadiqabdullah1294
    @sadiqabdullah1294 3 роки тому

    SubhanallAh munafiq wacha kumchezea mtume mushirk mkubwa moto wakusubiri kumsingizia urongo rasulullAh 😭😭😭😭😭

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 Місяць тому

      wewe mjinga unasema? au huo weupe wako huo hata kwenye kisigino upo unamkashifu shekhe wewe inakuhusu nn?

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +1

    Allah amraham sheikh wetu Nas sote twamuomba Allah atujaalie mwisho mwema Aamiin

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 8 місяців тому

    Allah amrehem shekhe wetu huko aliko 😢🤲🤲🙏

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 місяці тому

    Allah amrehemu sheikh wetu

  • @azeezaya8510
    @azeezaya8510 3 роки тому +1

    Allah amsamehe makosa na ampe pepo ya daraja yajuu hayat ramadhan sungu

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +1

    Allah ajalie nuru kaburi lake

  • @daatyabdul652
    @daatyabdul652 3 роки тому

    hiii ni shirkii kubwaa

  • @amourthomas7812
    @amourthomas7812 3 роки тому +1

    hiii ni katika shiriki kubwa allah atuepusha na hili waislam wezangu.
    si katika wema

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

    Jazakallah hailla jamiya. Allah amsamee mallham Ramazan ajaalie pepo lnshallah

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 3 роки тому

    Kama kwko haifai acha mungu akahukum siku hiyo sio ww uwambie eti mshikrik mwslm hatakiwi kuhuku jmb

  • @fatmahamisi7369
    @fatmahamisi7369 3 роки тому

    Inaalilla wainnailla rajiuun YARABBY TUJALIE MWISHO MWEMA

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому

    Allah amjaaliye jannaty frdaus iwe ndo makaz yake yy nawaumin wakiislam wote walofka mbele ya hak nss Allah atupe husnlhatimaa Amina

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 3 роки тому

    Hapo hakuna kusengenya wala nn kila mtu ananyeyekea ss ww unaye sema shiriki hy km ww ni mungu tutakutana siku ya hesabu kila moja akipoke alicho kichuma duniani

  • @swaumuabdallah8565
    @swaumuabdallah8565 3 роки тому

    Allah ajaalie nuru kabur la shekh wetu ramadhan sungu 😭😭

  • @binothman9284
    @binothman9284 3 роки тому

    Mm nauliza ilo kaburi ndilo lilojengewa hivyo je Mtume wetu alituambia nn kuhusu jambo hilo naomba jibu kwawale wenye kujua kwa kitabu na sunna

  • @alihaji4919
    @alihaji4919 3 роки тому

    Masufi sasa mumefika kubaya mcheni allaa jamaa

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 роки тому

    "KUZURU" ndio nini? Sija elewa jamani