Maestro King Kikii - Coco (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • This song was composed by King Kikii for his wife

КОМЕНТАРІ • 35

  • @owinoopondo4624
    @owinoopondo4624 4 роки тому +7

    King Kiki is the king; ngoma ya bakulutu Tanzania. Huu wimbo mzuri mno.

  • @geophreylusekelo
    @geophreylusekelo 2 роки тому +2

    Daaaa ........wimbo mzur sana ..... Maalum kwa Mrs King kikii .....

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 4 роки тому +5

    Mungu akuponye mzee wetu

  • @msongoleherbert983
    @msongoleherbert983 4 роки тому +5

    Nalikwenda njia ya iringa makambako igurusi uyole ...kikiii bwana mkubwa

  • @mawazochanya2081
    @mawazochanya2081 2 місяці тому +3

    Pumzika kwa amani mzee Kikii. Umetuachia nyimbo nzuri sana.Huu huwa naucheza sana kama burudani na zoezi kidogo kuchangamsha akili na mwili.Ulipigwa live jijini London.Gitaa la Mzee Kasheba(RIP) na wengine vyombo vinasikika vyema sana.

  • @revocatusawadhi6550
    @revocatusawadhi6550 2 місяці тому +2

    Aiseee huyu mzeee😭😭😪😪🙌🏻🙌🏻

  • @marthasigera6142
    @marthasigera6142 4 роки тому +4

    Mungu akuponye urudi Kwenye steji

  • @luganomwaisumo1938
    @luganomwaisumo1938 4 роки тому +5

    mwenyezi mungu akuponye maradhi yanayokusumbua maestro king kiki

  • @valearinvalearin941
    @valearinvalearin941 4 роки тому +4

    Kabambe sana hii ngoma

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 2 роки тому +4

    Who is listening this in 2022???? I love music, I love dancing 💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿

  • @albertbernard5408
    @albertbernard5408 28 днів тому +1

    Thank you for good music, Maestro King kikii

  • @sophiamgoto7310
    @sophiamgoto7310 Рік тому +2

    Mungu akufanyie wepesi katika maradhi yako...asante kwa muziki mzuri.

  • @christopherjohn1992
    @christopherjohn1992 2 роки тому +1

    King Kiki Maestro... Mwenyeezi MUNGU akujaalie afya njema

  • @kemblemyra4183
    @kemblemyra4183 4 роки тому +7

    Tanzanian time, whenever i hear this song its like am travelling across the country. Love Tanzania

  • @LyimoComfort
    @LyimoComfort 9 місяців тому +2

    Mzee wa watuuuu sana jamani

  • @nelsonkigola398
    @nelsonkigola398 2 місяці тому +2

    PUMZK MZEE WETU 🕯️🕊️

  • @fanuelrastamantv7453
    @fanuelrastamantv7453 4 роки тому +3

    Safi mzee

  • @salumkyelula443
    @salumkyelula443 Рік тому +1

    ❤safi sana mungu mpe nguvu king kiki

  • @prospermongi9710
    @prospermongi9710 3 роки тому +4

    Old is gold. God bless you KK BWANA MKUBWA

  • @yassinmwambeta9218
    @yassinmwambeta9218 Місяць тому +1

    Inanikumbusha nyumbani Igurusi na Tunduma. When life was life.

  • @warehemakibaha9325
    @warehemakibaha9325 3 роки тому +3

    Daaah kawimbo katamu sana haka nilikua nakaskiliza kwenye gar naendesha kutoka tanga naenda kuchumbia Moro

  • @yahayachuhila3978
    @yahayachuhila3978 4 роки тому +3

    Big up king

  • @michaelkuyi6742
    @michaelkuyi6742 Рік тому +1

    Nice music congratulations to. All wazee sugu

  • @godfreyhaule4670
    @godfreyhaule4670 2 роки тому +1

    Mwanamuziki Mkubwa sana huyu Afrika.

  • @magohestephens9933
    @magohestephens9933 5 років тому +3

    Nice jam...amazing

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 2 роки тому +1

    Get well soon King Kiki

  • @ellymzera2457
    @ellymzera2457 Рік тому +2

  • @kimlorahkimlorah
    @kimlorahkimlorah 5 років тому +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @chilledpalangale3701
    @chilledpalangale3701 5 років тому +6

    Nic song

    • @titohaule4418
      @titohaule4418 4 роки тому +1

      Wimbo mzuri sana sehemu zote alizo zitaja nazifahamu ana nikumbusha mbali sana !!!

  • @herimasinga751
    @herimasinga751 2 місяці тому +1

    RIP Mzee wetu King Kikii

  • @bahatiabbas356
    @bahatiabbas356 4 роки тому +2

    😀💪🏽👌👏🏽👏🏽👏🏽🤜🤛✅

  • @dbrothers4551
    @dbrothers4551 5 років тому +1

    2019 👍

  • @samtandarus7458
    @samtandarus7458 2 місяці тому

    REST EASY KING KIKII