Upandaji wa miti katika maeneo yote barabara inapita mradi ungeenda na mambo ya mazingira, Uwanja wa ndege pia upandaji wa miti ungeamza muda unafanyika uzinduzi na agenda ya mazingira imakia imekaa vizur
Mbona passenger terminal kama ndogo ama ni mm tu na macho yangu . Dodoma kama makao makuu ilitakiwa kuwa na jengo kubwa kuliko mengine yote Tanzania na hapo ndo tutachochea ukubwa wetu
Hii ndio International Airport sasa Hivi ni lini Mwanza itajengwa passenger terminal ya kueleweka. Bajeti inayowekwa Mwanza International Airport inasikitisha sana. Lakini pia mnafifisha mapato ktk Serikali. Wekeni 80B mjenge passenger terminal nzuri Mwanza
Mjenge uwanja uwemkubwa na mzuri kuliko wa Kenya na Ethiopia
siyo lazima kushindaba na wao kwa kila kitu.. "jiikune unapojipata"
Miti miti miti !! Itapendeza Dodoma ikiwa a green capital , tunanze kupanda mapema
Jaman tueshmisheni
Upandaji wa miti katika maeneo yote barabara inapita mradi ungeenda na mambo ya mazingira, Uwanja wa ndege pia upandaji wa miti ungeamza muda unafanyika uzinduzi na agenda ya mazingira imakia imekaa vizur
Nchii hii bhana hainaga hata vipao mbele! Kujenga Dodoma sio shida ila Mwanza ni muhimu sana pia!
huna akili
Kabisa@@killy_hoffman2698
Upo sawa
Dodoma ni makao makuu next ni Kilimanjaro kufanyiwa innovation
Na mwanza ni jiji la pili. In terms of infrastructure development population and annually income. It's the must to international airport
Mbona passenger terminal kama ndogo ama ni mm tu na macho yangu .
Dodoma kama makao makuu ilitakiwa kuwa na jengo kubwa kuliko mengine yote Tanzania na hapo ndo tutachochea ukubwa wetu
Hivi ADB wanafadhili ama ni mkopo, ama ni mimi ndio sielewi maana ya ufadhili