Home boys! Nimependa mwenyekiti alivyowasilisha ujumbe kwa kuwa mpwapwa ni nyumbani naomba anitafute nifanye namna yyte hata kumnunulia vifaa vya usafi wa ofisi
Kwahiyo unataka kutuambia unakubaluana na kupigana mabuti wakati wa uchaguzi? Sasa kama ndio hivyo, wewe unatofauti gani na chama kile cha wapiga mabuti? Kwa uelewa wangu, wewe ni timu Mbowe.
HAYO uloyaona tafsiri yake ni kwamba yalitengenezwa, wenye akili walishayaona na waliwaonya kabla hapo nyuma,sasa Kwa MANENO yako ya BUSARA huu ndo wakati wa kufanya mabadiliko ndani ya chama
Nilichogundua kwenye huu uchaguzi umeambatana na maumivu na uchungu mioyoni mwa watu ndio maana unaona haya makundi yameibuka, inaonekana humo ndani ya chama mnaishi kwa kuumizana sema mlikosa platform ya kueleza maumivu yenu, chama chenye Democrasia mwenyekiti aliyekaa miaka 21 bado anapambania uwenyekiti kwa jasho na damu, Hapana ni bora niwe mwanachama wa ccm nitulie kimya na familia yangu. Bora hata ccm wamepeana miaka kumi kumi. Siioni Democrasia ndani ya Chadema kama kweli mnademocrasia kwanini nyie wagombea mnachukiana? Mtu kugombea nafasi ya uenyekiti anaonekana mbaya na msaliti, kama kuna Democrasia si kila mtu awe na amani na mwenzake mkatoane kwenye sanduku la kula?
Hicho chama kina viongozi wa kutaka kuonewa huruma hivi wale walio tafta uhuru wangekuwa kama nyie nchi hiiii ingetawalika ? Shida yenu nyie Chadema ipo ni kwenye jicho la Ruzuku ndo maana mnapigana na kutukanana nyie Kwa nyie
Chama Chenye Democrasia mnakuwaje na mtu mmoja anaongoza mpaka miaka 20? Mbona hii ni kama udicteta regime, mbona waasisi wa chama waliongoza miaka mitano wakawaachia wengine waongoze na wakawaamini, kwanini Uongozi wa sasa usiawaamini watu wengine na wao waongoze kama wao walivyoaminiwa? Mboni hii ni dalili mbaya ndani ya chama? Mnapata wa wapi ujasiri wa kuisema Ccm ambayo mwenyekiti wake hazidi miaka kumi katika kuwa mwenyekiti? Mbona mi naona Ccm ndio wastaarabu. Hivi tukiwakabizi Nchi mtu atatamani kuwa Raisi miaka 30?
Kwa kweli Level yako ya Siasa ni ya Marekani. Hongera Sana Mwenyekiti
Hongera sana mheshiwa chisinjira tupo pamja maelekezo mazuri sana wape ujumbe mungu akutangulie
Hongera sana kwa maelekezo mazuri.
Kama ni kweli tumakipenda chama hiki klpindi cha uchaguzi tunapaswa kumuomba sna mungu atuonyeshe kiongozi na sio hivi maneno ni mengi sana tuwe makn
Timu mboe huyo anasema hata lisu akiibiwa atulieee hehehhehe duh
🦷lisu ni jino kwa jino,bampa 2 bampa,atawanyooosha ccm
Home boys! Nimependa mwenyekiti alivyowasilisha ujumbe kwa kuwa mpwapwa ni nyumbani naomba anitafute nifanye namna yyte hata kumnunulia vifaa vya usafi wa ofisi
Kwa sababu Uenyekit una hati miliki ya Mbowe. Unayaona haya kwa sababu ya uenyekit nafas nyingine unasikia haya makelele
Chukua maua yako kiongozi ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Haya makambi kambi Yanaua Chama
Uko vizuri sana
Well said
Upo vzr sanaaaaa
Mi nimekusilikizaaaaa hata sijakuelewa yaani 😊😊
mbowe kwendraaaa,
Mbowe kwenda
Lini Lisu alisema anagombea kwa sababu alipigwa risasi au unaagenda gani ?
Kwahiyo unataka kutuambia unakubaluana na kupigana mabuti wakati wa uchaguzi? Sasa kama ndio hivyo, wewe unatofauti gani na chama kile cha wapiga mabuti? Kwa uelewa wangu, wewe ni timu Mbowe.
Toooo much manenonoooooooo
Ssa Kwa taarifa Yako na uchawa wako tunaenda na lisu,mbowe out
kupigwa lisasi ni kazi hiyo ongea upumbavu huu hayajakukuta,mengine unaongea vizur ila hayo ulioongezea nakupinga,hakuna mtu anataka kufa
Mbowe apumzike
Leteni lisu, mkizingua tunahama mtakuwa hamna maono
Uko Sawa kbs.
Nyiye mlioko huko vijijini ndiyo wajibu wenu kupambambana na serikali huko siyo Mbowe
Huko vizur
Huyu hana hoja ni mtu asiye jiamini.!inaonesha freeman amewaumiza sana wenzie huyu jamaa anakauli za mashaka sana
Umeongea kikubwa na kikomavu na mngepatikana wakomavu wengine angalau watatu basi
Hao waropokaji na wakutoa mambo ya ndani ya chama wangetulia
Hata wasio na uelewa wanazeeka. Siyo kila mtu mzima ana kitu kichwani !! Kumbe hadi utembelewe..
!!
Kaka kuna vitu vinavumilika ila si "RUSHWA" , Chadema ilikuwa chama safi ila sas imaanz kuingia uccm
Lissu hajawahi kusema anagombea kwa Sababu alipigwa Risasi.Wacha Porojo.Huo unacho hubiri hapo ni Unafiki tu.
Hakuna uchaguzi kama hakuna kundi. Uwe mkweli
Bora hata wewe umeongea kwa hekima sio wale ropo ropo
Natamani chadema yenye umoja. Umeongea vyema
sahihi wapinzani wanaitajiana zaidi mshikamano upo sawa❤😂😮😮😮
Mbona maneno mengi sana
Wacha upopo funguka unaogopa nn??? Au ......
Ukiona hivi ujue ni unafki upo hapa anaogopa kufunguka
ajitia yupo huku na kule
Usiri upo kwa viongoz ila kweny "RUSHWA" hakuna siri
CDM iko juu ya wagombea!
G 😊.
Wee Timu lissu acha porojo nyingi..Nidhamu ya woga hiyo😂😂😂😂 Chadema banna😅😅
Mbowe Apumzike
mbowe alifwatwa na viongozi wa chini
Huyu anaongea nini sasa… wananchi hawataki porojo kaka Porojo kama hii ni ya Freeman Mbowe ambayo jamii haitaki kusikia kabisa
Huyu anastahili kuwa mwenyekiti
Kwaiyo ukitowa rushwa aijalshi siyo mradiushnde syokweli
😢 v. 😊.
Wewe semea mpwapwa
Chagueni lissu
Sasa unge yaona hayo wkt kulikua hali ya kupitabowe bila demokrasia
Mjinga ndio anasema habari za u team. Kura ni siri ya mtu akisha ridhika na sera za kila mgombea. Hii ya u team ndio itakiua chama
We ni mchumia tumbo
maneno meeeeengi wapimwe kwa hoja 😂
Mpwapwa.bado.wote
Wanasema
Hakuna
Maendeleo
Yoyote
Madili
Tu
Baba umesema vyema hata wapiga kura wanamaumivu ya chama cha Chadema.
HAYO uloyaona tafsiri yake ni kwamba yalitengenezwa, wenye akili walishayaona na waliwaonya kabla hapo nyuma,sasa Kwa MANENO yako ya BUSARA huu ndo wakati wa kufanya mabadiliko ndani ya chama
hakuna cha kujifunza ni mdumo tu wananchi msiposimama viongozi awawezi kuasidia
Tupinga rushwaaaa
Wewe una kinyongo cha DAVID DJUMBE if I can read from your face
mbona maneno mengi sema nyie mpwapwa ni timu gani maana timu ziko 2tu timu mbowe au lisu full stop ai kigaila ameshafanya yake😮
Sisi tuliosoma quba tumekumanya😅
Nilichogundua kwenye huu uchaguzi umeambatana na maumivu na uchungu mioyoni mwa watu ndio maana unaona haya makundi yameibuka, inaonekana humo ndani ya chama mnaishi kwa kuumizana sema mlikosa platform ya kueleza maumivu yenu, chama chenye Democrasia mwenyekiti aliyekaa miaka 21 bado anapambania uwenyekiti kwa jasho na damu, Hapana ni bora niwe mwanachama wa ccm nitulie kimya na familia yangu. Bora hata ccm wamepeana miaka kumi kumi. Siioni Democrasia ndani ya Chadema kama kweli mnademocrasia kwanini nyie wagombea mnachukiana? Mtu kugombea nafasi ya uenyekiti anaonekana mbaya na msaliti, kama kuna Democrasia si kila mtu awe na amani na mwenzake mkatoane kwenye sanduku la kula?
Funguka uko upande fulani uchaguzi makundi yapo
Hicho chama kina viongozi wa kutaka kuonewa huruma hivi wale walio tafta uhuru wangekuwa kama nyie nchi hiiii ingetawalika ? Shida yenu nyie Chadema ipo ni kwenye jicho la Ruzuku ndo maana mnapigana na kutukanana nyie Kwa nyie
hapo umesema vema
pambaneni huko
Mtapigwa mpaka mjue mpwapwa
Hujuwi siasa za Demokrasia wewe
Popo
Na wewe umeona umekaa miaka 15
Chama Chenye Democrasia mnakuwaje na mtu mmoja anaongoza mpaka miaka 20? Mbona hii ni kama udicteta regime, mbona waasisi wa chama waliongoza miaka mitano wakawaachia wengine waongoze na wakawaamini, kwanini Uongozi wa sasa usiawaamini watu wengine na wao waongoze kama wao walivyoaminiwa? Mboni hii ni dalili mbaya ndani ya chama? Mnapata wa wapi ujasiri wa kuisema Ccm ambayo mwenyekiti wake hazidi miaka kumi katika kuwa mwenyekiti? Mbona mi naona Ccm ndio wastaarabu. Hivi tukiwakabizi Nchi mtu atatamani kuwa Raisi miaka 30?
sasa hii ni shida ya mfumo
Matako wewe