TUNDU LISSU KWA MARA YA KWANZA AWASILI KITUO CHA DEMOKRASIA TCD/AAHIDI MAKUBWA KUPAMBANIA HAKI.
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Safi sana hawa ndio watu wa kuwasikiliza sio wakina wasila.
Mungu akupe moyo wa upendo kwa ajili ya taifa lako unalo lipigania
Uko vzr mkuu
🎉🎉🎉❤❤
Mungu akure hekima ya kuingia na kutoka kama Sulemani
Hongera Lissu
Upele umepata mkunaji...Hapa Lisu,,Dorothy,,Heche,,Lema,,Othumani,,Jusa,,Mnyika Amani + Mwabukusi,,Nshala,,+ Trumpo,,,Kikoba cha kijani mwaka huu,,,hawatoboi..
Yaani Lissu ndio mwenyekiti mpya wa hii taasisi au...jibu wadau...
Uwambie wawe na nia nzuri
Duuuuu kakabidhiwa na tcd.....😢😢😢
Twende mbele turudi nyuma,Kwa hapa ccm kidogo Kwa hapa ccm Wana kazi ya kufanya sio kama mwanzo😅😅😅
Uko saw kazi watakuw nay ndg
Sasa kama ni mwanafuzi,ni Kwa nini umepewa kuwa mwenyekiti?
😂
Hii kazi nyingine