Kazi ilikuwa kuninyonya kila mahali ||Ex-Wangu ||

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Next Superstar is Kenya's first acting reality show aimed at building a platform for youths with acting skills
    Top known actors in Kenya, Raymond, Neomi and Peter, serve as judges.
    The show airs every Monday at 7:20pm on Channels: StarTimes DTT - 113 (Nyota Bouquet) & StarTimes DTH - 484 (Nova Bouquet)

КОМЕНТАРІ •

  • @denniskimani6600
    @denniskimani6600 3 роки тому +7

    Uyo dame anakaa tu actor wa real househelps of kawangware😂😂

  • @neveragainneveragain1880
    @neveragainneveragain1880 5 років тому +7

    Ka Demu kana keleleeeee🤧🤧
    Chali hana shida yeyote👍👍

    • @traveltv254
      @traveltv254 5 років тому +1

      Hata mimi naona hivo.
      Kierere ndio sana

  • @nancythuku3985
    @nancythuku3985 4 роки тому +36

    Waaaah Rhoda😂😂😂 aujai change mdomo joh😂😂😂 enyewe ...she used to be my school mate ..l thought ukitoka utawacha mdomo

  • @josephwafula7558
    @josephwafula7558 4 роки тому +54

    Dem anaringa amevalia overall ya mifuko ya cushion za viti

  • @arthealing
    @arthealing 3 роки тому

    The lady....is fayaaaa...huyu bro ni makasiriko

  • @katenjeri9858
    @katenjeri9858 4 роки тому +1

    waaah...kamenuka..dame ni more fireee

  • @lameckoklahomacity8105
    @lameckoklahomacity8105 4 роки тому +1

    Huyu msichana ni kichwa mbaya actually a madwoman

  • @kelvinnganga8197
    @kelvinnganga8197 4 роки тому

    Waaahh uyo manzi bna analambisha jo

  • @janty3491
    @janty3491 3 роки тому +4

    Huyu dem anafaa kuenda acting😂😂😂

  • @dianaeunice3151
    @dianaeunice3151 4 роки тому +17

    😂😂😂uyu mdem ako na kiherehere joh😅

  • @beverlynekavaya5085
    @beverlynekavaya5085 4 роки тому +7

    Huyu Dem anaongea Kama awiti wa TRK

  • @tehamarobema9403
    @tehamarobema9403 4 роки тому

    Wanawake wa kesha nawapenda sana

  • @paulinengugi1193
    @paulinengugi1193 2 роки тому

    Good Rodgers

  • @chepkiruidaisy8582
    @chepkiruidaisy8582 3 роки тому

    Kaa mpole sistee

  • @dandola9323
    @dandola9323 3 роки тому

    HI STIRY HAIBAMBI HATA KIDOGO OFUWENEKE PLEASE BRING US GOOD CONTENTS

  • @marriemutish5723
    @marriemutish5723 4 роки тому +3

    Uu dem amejaribu kuweka uu chali down...but ni yy ako down...kwanza hio kabulk ya mia gikoba lol....

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 4 роки тому +1

    Kademu kanadharau kweli..., kanapenda saana kupendeza wakati ni kaparasite.

  • @samuelmatheri4394
    @samuelmatheri4394 4 роки тому +5

    Uyu dem ni wivu ,kijana ako fiti sana

  • @eliaslyakurwa6539
    @eliaslyakurwa6539 3 роки тому

    Nataman sana na mm ningejiunga na niye

  • @francismwangi7994
    @francismwangi7994 3 роки тому

    Hee wow

  • @fastandfurious3751
    @fastandfurious3751 4 роки тому +4

    Ume munyonya kila mahali mpaka mfuko ikabidi kijana atoweke.🏃‍♂️

  • @patrickmugo2794
    @patrickmugo2794 4 роки тому +2

    Uyo dem ni mziii😂😂😂😂wale wabaya😂😂😂

  • @tabbymichaels4653
    @tabbymichaels4653 4 роки тому +2

    Nani anaskia huyu dem anaongea kaa Awiti wa real househelps of kawangware

  • @alexandermutune6131
    @alexandermutune6131 3 роки тому

    'Kunguni'...wow!

  • @michaelmaingo2699
    @michaelmaingo2699 5 років тому +16

    We si ulishindwa kuniskuma.... Acha niskumwe😂.... Alafu kelele prrrrrrrrrrr🙄🙄🙄🙄

    • @xjxjxnxn2673
      @xjxjxnxn2673 3 роки тому

      Ghai huyu ata anashinda welding machine kwa kelele

  • @lavendermercyline4937
    @lavendermercyline4937 3 роки тому +6

    How did these become couple ?😂😂 one got the luo attitude and the other I a rapper😂😂😂

  • @godwinegacharo9001
    @godwinegacharo9001 4 роки тому +6

    Haijanoga , au maskio yangu!

  • @daniellawhitney7576
    @daniellawhitney7576 4 роки тому +14

    The guy is very ok but huyu dem nikama amemeza memory card wah!

  • @joylynewanga2934
    @joylynewanga2934 3 роки тому

    Hapo Kuna maneno

  • @Roundersgang_official
    @Roundersgang_official 3 роки тому

    I like this guy😂😂😂👊

  • @alladvetures2415
    @alladvetures2415 4 роки тому +3

    Stunning

  • @florenceky9889
    @florenceky9889 4 роки тому +9

    Guys it's acting relax it's called entertainment industry

  • @kendikisaka2395
    @kendikisaka2395 3 роки тому

    Huyu den poooh!

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 роки тому +48

    🤣🤣🤣🤣anaongea kama cherehani na amevaa "apielnade"

  • @meg-iv1sw
    @meg-iv1sw 4 роки тому

    This chick is funny...lol..i.like her!

  • @pauletyang8523
    @pauletyang8523 5 років тому +50

    Mnyonyane na mpendane😂😂 courtesy of lonyangapuo

  • @taylorsteven3895
    @taylorsteven3895 3 роки тому

    Mdem qmekuja show na velvet ya kiti

  • @titusmwangi4405
    @titusmwangi4405 4 роки тому +1

    What was the reason for the meeting????

  • @agiewambui9446
    @agiewambui9446 3 роки тому

    Madam na bona nyonyo ziko kwa tumbo?

  • @carenonyango8586
    @carenonyango8586 4 роки тому +39

    Hawa wawili wote wajinga kwanza uyo dem eish yawa amevaa jamsuit ya 200 alafu anaambia mwenzake ameparara nkt they need to mature up.

  • @mwajumachao9151
    @mwajumachao9151 5 років тому +26

    Demu kelele qwl hiyo nyumba itakuaje na hiyo kuongea yote hivyo 😳

  • @jackywanza8105
    @jackywanza8105 3 роки тому +2

    Uyu dem I think n mkamba🤣🤣🤣🤣

  • @irenemwihaki5569
    @irenemwihaki5569 4 роки тому +1

    Nyakaga wa bioyo.... mehemeheeeee mingi

  • @benardjaloo5263
    @benardjaloo5263 3 роки тому

    Life goes on & still good, what about you

  • @silversilver3383
    @silversilver3383 5 років тому

    Sheeeeenzi sana

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому +5

    msee, kama hii umetoa ndani tembeza mdomo ipeleke kwingine

  • @janegachiegachie6912
    @janegachiegachie6912 4 роки тому

    Quarantine imenileta hapa

  • @carolinemaina5832
    @carolinemaina5832 3 роки тому

    Wanaume mnatoanga wapi nguvu yaku deal na wasichana githeba this? Kuongea tu..... Waaa

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 4 роки тому

    Dem Fara kweli😃😀

  • @denniszablon5710
    @denniszablon5710 4 роки тому +1

    mkamba wa kathonzweni 😂😂, huyu dem si anaroroa sana

    • @annewanjiku52
      @annewanjiku52 4 роки тому +1

      Wakamba wanapenda kunyonya sio uongo from my own experience

    • @denniszablon5710
      @denniszablon5710 4 роки тому +1

      @@annewanjiku52 😂😂😂 walikunyonya ?

    • @annewanjiku52
      @annewanjiku52 4 роки тому

      @@denniszablon5710 they eat slowly like a vouchers those eat maize when it on the store

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 4 роки тому

    asante sana

  • @fadiasly5001
    @fadiasly5001 5 років тому +1

    Mwanamke anaongea sana
    Jamani eti ww ulikuwa kama kunguni gai nimecheka eti😂😂😂😂😂

    • @florencezawadi3784
      @florencezawadi3784 3 роки тому

      Hana hata nyodo jmn anaongea 2 xana mpaka anajishusha hadhi yake

  • @bonifasjohn6167
    @bonifasjohn6167 3 роки тому

    Chuga au kenya hiz manzi zawap jaman

  • @mugobarny5992
    @mugobarny5992 4 роки тому +2

    Uyu Dem anaongea ivi na amevaa velvet ya sofa .. weeeh kachokoraa tu

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 3 роки тому

    😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌Gosh nyii wawili mnanimaliza 🤣🤣🤣

  • @josphinegakii4608
    @josphinegakii4608 4 роки тому +1

    Huyu mrembo ana kiherehere siona akipata bwana

  • @humphrey4058
    @humphrey4058 5 років тому +147

    Kelele na overall ya material ya cushions za viti🤣🤣🤣🤣🤣

  • @izorajula7969
    @izorajula7969 4 роки тому

    Dem Kiherere sana.

  • @josephmigwi5762
    @josephmigwi5762 4 роки тому +3

    Any ideas of the background music kindly share since watu wa Rembo hata hawananga ideas za kueka link ya music used.

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому

    Huyu kahaba sana

  • @TonyTony-zj4cn
    @TonyTony-zj4cn 3 роки тому

    Anaenda choo aje kwanza, tuanzie hapo

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 5 років тому +1

    Hahaha Hawa wawili wananimaliza

  • @Terramoss
    @Terramoss 3 роки тому

    Siamini title ilinileta hapa then baadae na re-alise kumbe ni kunguni inaongelelewa! SMH SO Disappointed!

  • @yvonnegeorgina6451
    @yvonnegeorgina6451 3 роки тому

    I have changed by far🤣🤣🤣

  • @TonyTony-zj4cn
    @TonyTony-zj4cn 3 роки тому

    Imagine Hawa wawili wapate mtoto, woi wamhurumie tu wampeleke shule😂😂😂

  • @jenynaafya
    @jenynaafya 4 роки тому

    FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME
    0655523211
    1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku
    2.mkojo kutoka kisiri siri
    3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali.
    4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume.
    5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa.
    Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama
    🔸 Upungufu wa nguvu za kiume
    🔸 Saratani ya tezi dume
    🔸Figo kufeli
    🔸Mawe kwenye figo
    🔸Kifo
    Kwa ushauri na tiba 0655523211.

  • @alpnehir2971
    @alpnehir2971 4 роки тому

    They r funny

  • @droidnick254
    @droidnick254 3 роки тому

    Lakini nyinyi wote si ni watu....biladi..fwaaaaa.....kupiga tu kelele

  • @eunnyq3126
    @eunnyq3126 5 років тому +18

    Huyo boy yupo pwh ww umeona ameparara wapi hebu toa kelele hapa ww mwanamke

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 роки тому +3

    Mwanmke wa kupayukwa payukwa ndio huyu sasa kunguni binadamu

  • @georgymahi149
    @georgymahi149 4 роки тому +8

    Hao madem hununua wapi sauti MBAYA! MBAYA!! kama hizo,...

  • @omarisadikimayudascaliotiw9547
    @omarisadikimayudascaliotiw9547 4 роки тому +1

    Mambo ukopoa

  • @Hakimo771
    @Hakimo771 3 роки тому

    Are these clips real thing or just drama?

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 5 років тому +2

    Uyo dem siko na mdomo😏😏

  • @janerandu4747
    @janerandu4747 5 років тому +1

    Mwanamke huwezi shindana na mwanaume na hufai kudharau au kuwa na kiburi hata kama n EX.

  • @belarlishimw4911
    @belarlishimw4911 3 роки тому

    This girl though

  • @valentinenasike6048
    @valentinenasike6048 5 років тому +11

    Meet your standards before kupiga kelele

  • @jeffrey1261
    @jeffrey1261 4 роки тому

    ati dem anakaa cushion ya kiti
    😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @mapaxijunior5525
    @mapaxijunior5525 3 роки тому

    Ik this Chile😂😂😂😂... wueh

  • @kwamax09
    @kwamax09 5 років тому +7

    That's Zinc lounge signature mall.

    • @Trapkeed
      @Trapkeed 4 роки тому

      New video out!🎬
      Check it out and remember to subscribe 🔔...
      ua-cam.com/video/6dM-3aPQYfs/v-deo.html

    • @Trapkeed
      @Trapkeed 4 роки тому

      New video out!🎬
      Check it out and remember to subscribe 🔔...
      ua-cam.com/video/6dM-3aPQYfs/v-deo.html

  • @jaytravels4113
    @jaytravels4113 4 роки тому

    I wish to meet mine..si mcee anishow way thru

  • @papawafulah7044
    @papawafulah7044 5 років тому +1

    Huyu demu ziii

  • @AbuubakarMbola
    @AbuubakarMbola Рік тому

    Den no kasuku

  • @chikamaiwalter749
    @chikamaiwalter749 4 роки тому

    Seleeee

  • @ms.binabibie6473
    @ms.binabibie6473 4 роки тому

    Alikuwa kichaa?

  • @universeentnamibia2255
    @universeentnamibia2255 3 роки тому

    English please

  • @Mohagnito94
    @Mohagnito94 4 роки тому

    dem ana payuka mob na kamevaa overall ina match kichwa chake kubwa

  • @dansamo6957
    @dansamo6957 4 роки тому

    Ni nini sababu ya kuchanana kihivyo?! Kwanin wanakutana na kuzungumzia vilivyopita?! Huu ni upuuzi, me cwez fanya hvyo😀

  • @franciswarutumo1627
    @franciswarutumo1627 4 роки тому +18

    Don't go too hard on judging...this is scripted..this people have very different characters in person

  • @bernardkimanthi9161
    @bernardkimanthi9161 5 років тому +2

    Best Actors of our time hahahaha

  • @hezrongaston4963
    @hezrongaston4963 4 роки тому

    Wahuni siyo watu wazuri

  • @christinenyaboke4655
    @christinenyaboke4655 5 років тому +17

    This heads are not meeting 🤣🤣🤣🤣

  • @Me_Losah
    @Me_Losah 4 роки тому

    Ooi, hamfaaani hata..

  • @mohammadsalim7879
    @mohammadsalim7879 5 років тому

    Huyo dem ashajiangalia kwa kioo

  • @kenyanbae9971
    @kenyanbae9971 5 років тому +17

    Wewe mwenyewe unaringa na umevaa velvet ya viti...I hate madem wako na kiherehere sana

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 4 роки тому +2

    Huyu dem hata ukimwangalia hadi kuongea siyo wa kuoa

  • @franciswarutumo1627
    @franciswarutumo1627 4 роки тому +1

    Na kwani hio bar haina stock juu chupa ziko spaces ivo..lol

  • @monicahmbete5035
    @monicahmbete5035 3 роки тому +2

    I just love the lady 🤣

  • @kelvinalwala5822
    @kelvinalwala5822 3 роки тому

    Rodgers

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому

    Hahahahah hii ikopoa😁😁