Ngamia ndio mnyama pekee mwenye faida nyingi kati ya wanyama wanaofugwa nyumbani maziwa yake, mkojo wake, nyama yake vyote ni dawa vinapoza maradhi mwilini kama pressure, sukari na maradhi mengine shida ni kuwamiliki na mazingira wanayoishi na bei yao iko juu ndio maana watu wengi wanashindwa kuwamiliki

Hongera garissa
We are proud to be the leading camel pastoralist in Kenya .😊
Nyama tamu nimemiss mbona😊😊
Tree planting should be a huge priority in NFD to ward off drought. Trees are essential and necessary components of rain formation.m
Very good information
Wakafiri ni maadui wa ngamia za kiislamu
Allahumaziid 🕌
Shule zikifunguliwa Ng'ombe, mbuzi, kondoo, Ngamia woote mbei urundi shini juu kila mtu anataka kulipa karo ya shule
That great
Why only Somalis are in the comment section 😅.
Bado watu wengine wengi Wanaona gamia haina market hawazoea bdo but with time it's going to be known all over Kenya.
Unawezaje kumuwa ngamia ambhye ametajwa kwa mmoja ya hadith inayosema mahala ngamia atakapotuwa ndipo mskiti utajenghwa?
Ngombe skuizi inahit ngamia bei baba
Nahitaji kufika hapo naomba direction please.
Nahita namba ya huyo muuza ngamia inshaallah.
Enda kwa hiyo soko 😂
Huyu Mzee ni mgwana sana ana onekana kuwa mtu anaelewa mambo.
Hhh haba ni garisa
Hiyi ni soko yetu Garissa kila kitu iko!!! yooote mbei moja bahali yake.