Dah.! Warahi kifo hakina huluma dah.! Hii Ngoma nilikuwa naipenda ila video nilikuwa sijaiona na aloimba nilikuwa sijamjua ila baada ya kifo Cha Mzee ndo,nimeifatilia dah.! Warahi hii Ngoma nilikuwa naipenda mpaka basi hasa panaponivutia ni kile kigitaa Cha solo kilivyokwenda kumalizia mwisho dah.! Mpaka raha
Pumzika kwa Amani Maestro king Kiki Siwezi Amini macho yangu wala masikio yangu Wakati nasema Mzee turekodi Album mpya na uweke kitambaa cheupe na Raisi Jakaya Mungu kumbe alikuwa nayake ,nikasema Mzee toka leo wewe ni Maestro nikasema Maestro Mbaraka Mwinshehe .Maestro Ndala.Maestro Remmy ongala,Maestro Mzee Ngurumo na Wewe nikasema Maestro King kiki Mzee Pumzika Pumzika kwa Amani pumzika London tumepata shock kubwa sana Maestro Maestro Rest in power.
Hatuja pona uchungu kumpoteza Papa Noel Nono Nendule Antoine,leo tena habari za taanzia kumpoteza mzee King Kiki.....kweli dunia mapito,pumzika pema gwiji,mziki wako na mistari yako tabakia daima
Utotoni nilikuwa nikiusikiliza mziki huu nikiwa kambi ya wakimbizi sikujua Nani kaimba baada ya kuona post wasafi tv ikabidi nije kucheki kumbe ndo alikuwa huyu aisee,Hakika Sisi ni waja wa Allah Na Sisi wote tutarejea kwake😭
Haaah, i got arrested in TZ by Tanzania revenue authority officers, one police officer gave me a small radio to listen to, i remember a certain fm station in morogoro was playing this song, i could get up and dance forgetting all my predicaments, ohh life...
Pumzika Kwa amani Mzee King kikii poleni sana wanafamilia wotee
Dah.! Warahi kifo hakina huluma dah.! Hii Ngoma nilikuwa naipenda ila video nilikuwa sijaiona na aloimba nilikuwa sijamjua ila baada ya kifo Cha Mzee ndo,nimeifatilia dah.! Warahi hii Ngoma nilikuwa naipenda mpaka basi hasa panaponivutia ni kile kigitaa Cha solo kilivyokwenda kumalizia mwisho dah.! Mpaka raha
kwaheri baba
Pamoja
Apumzike Kwa Amani , nyimbo zake zimeacha alama
A true music legend😢😢❤❤
Apumzike kwa Amani jamani
Duuh 12yrs ago sio poa nipo la 6
Nyimbo safi sana.. R. I. P. Mzee.
Raha ya milele umpe ee bwana
Punzika Kwa lmani mzee wa burudani safi . Tutakukumbuka Kwa wimbo wako mzur
Pumzika kwa Amani Maestro king Kiki Siwezi Amini macho yangu wala masikio yangu Wakati nasema Mzee turekodi Album mpya na uweke kitambaa cheupe na Raisi Jakaya Mungu kumbe alikuwa nayake ,nikasema Mzee toka leo wewe ni Maestro nikasema Maestro Mbaraka Mwinshehe .Maestro Ndala.Maestro Remmy ongala,Maestro Mzee Ngurumo na Wewe nikasema Maestro King kiki Mzee Pumzika Pumzika kwa Amani pumzika London tumepata shock kubwa sana Maestro Maestro Rest in power.
Pumzika kwa amani kipenzi cheque. Tutakukumbuka daima
R I p
RIP
Duniani sote niwapitaji, hakika nyimbo zako zitakumbukwa
RIP MZEE
Mungu amuweke mahalipema peponi jamani, music wake hauchuji na haujawai chuja
Meonaeeeh, tupogo😂
Vizuri vinazidi kupotea jamani😢😢😢
Hatuja pona uchungu kumpoteza Papa Noel Nono Nendule Antoine,leo tena habari za taanzia kumpoteza mzee King Kiki.....kweli dunia mapito,pumzika pema gwiji,mziki wako na mistari yako tabakia daima
Pametokea pengo lisilozibika,huyu ni gwiji wa magwiji.....pumzika pema mzee wetu,Mola aipokee roho yako
RIP Maestro
Sad❤ RIP King Kiki
Waliokuja huku baada ya Kifo cha Mzee mko Wapi?
Nainua mkono mama kitambaa cheupe ishara ya upendo mama...pumzika kwa amani nguli
R.I.P BABU THANK YOU FOR THE GOOD SONGS YOU GIVEN US
Rest in peace we love you🍎♥️♥️
Rest easy mwamba😢
R.I.P😢
Pumzika Kwa amani Mzee wetu
Rip our legend
Utotoni nilikuwa nikiusikiliza mziki huu nikiwa kambi ya wakimbizi sikujua Nani kaimba baada ya kuona post wasafi tv ikabidi nije kucheki kumbe ndo alikuwa huyu aisee,Hakika Sisi ni waja wa Allah Na Sisi wote tutarejea kwake😭
Rest in peace mzee wetu kama na wewe umeguswa na kifo cha mzee wetu weka like hapa🙏
Pumzika kwa Amani Mzee king Kiki tuliokuja baada kusikia taharifa ya kifo chake gonga like tuomboleze pamoja dunia ni mapito🥲
Rip mwanaume,umetangulia lakini umeacha alama kubwa hapa duniani katika indastry ya mziki !!!!😢😢
Rest in peace, King Kiki😢
TULIORUDI 2024 BAADA YA KUSIKIA KAFARIKI DUNIA TUJUANE BASI...
R.I.P mzee wetu mtaalamu wa muziki
Mimi
Rest In Peace Baba Wa Kitambaa Cheupe 💐
RIP King Kiki
Pumzika kwa Amani Legendary. 2024
RIP baba yetu😢😢😢
😭😭😭😭 huu mzee amefariki dunia usiku wa kuamkia leo
MHSRIP
Km upo hapa october 2024 weka like tuburudike na mziki mzur
Tunao burudika September 2024 tujuane
Ss ni wapenzi wako wa mziki tunakupa kongole, lkn ipo nyimbo moja tittle yake bado kujua. Lkn ndani pale unamtaja John wa mahenge
Yaan wimbo huu? Mpk kumtima. Hv anandeleaje afya yake. Mwenye namb yake naomba.
❤❤❤
Haaah, i got arrested in TZ by Tanzania revenue authority officers, one police officer gave me a small radio to listen to, i remember a certain fm station in morogoro was playing this song, i could get up and dance forgetting all my predicaments, ohh life...
Guy your from?
Wimbo wangu pendwaa siku zote❤