Kwa iyo kaka mimi nimeachana na mume wangu na kina langu ni b na mume wangu alikuwa kasimu je sitaolewa tena na mwanaume maana tumeachana 2018 lakini mpaka leo sijaelewa yeye kaoa ana mke na mtoto mimi nilimpata bwana tu akanipa mimba na kunikataa mpaka leo sina mume wala bwana nimekataa tamaa nile zaa nane pia anaishi na mwanamme mwingine ambaye nimezaa Mae mtoto anaitwa Kuma na baba mtu anaitwa selemani nifanyeje ili na mimi niwe na mwanaume nimechoka kuwa single
Swali liko hapa je mie nimeowa mwanamke akiwa na jina la kikristo Kwa mfano anaitwa Cristina au caroline nikamslimsha akaitwa zainabu au leila je itafaa?
Lakini mbona waezapata udongo na mtoto au upepo na maji wameowana na wameishi miaka mingi tu hadi uzeeni na wasichane Ila ugonvi upo Sasa hiyo uwa ni kwa nn maana umesema kua udongo na moto haziendani. Unacho Sema ni kweli Ila sababu ni nn inayo sababisha wakadumu ki ndoa
Acha utapeli wewe,muogope mungu,kwanini usifanye kazi kwa nguvu zako kuliko kutafuta kwa kuwazulumu watu kwa maneno,mushirikina mkubwa sana wewe,yaani mimi ningeupata uraisi watu kama nyinyi ningewafunga maisha jela,ila subilini tu.
Safi Sana kiongozi
Safi sana
Nakubal fundi elimu iendeleeew
Vigoma vinakera
Mimi na nkewangu sani moja F. V.ntufanhenini sisi baba ,,,🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mimi nauliza ivi mimi ni b je inafa kumuoa v
J na t itakuaje
Swali langu naomb uje utupe darasa la herufi kwa heruf ambzo znafanana sayari mfno F NA R
Mnaweza kuoana wote mkiwa mnatoka sayari moja
G na j hawezi kuoana
Asantekwaelimunzuri
Asante
Samahani mwalimu Kam ikitokea umemuoa mwanamke ambaye mnatoka kweny nyota moja je ni tatizo????
Kwa iyo kaka mimi nimeachana na mume wangu na kina langu ni b na mume wangu alikuwa kasimu je sitaolewa tena na mwanaume maana tumeachana 2018 lakini mpaka leo sijaelewa yeye kaoa ana mke na mtoto mimi nilimpata bwana tu akanipa mimba na kunikataa mpaka leo sina mume wala bwana nimekataa tamaa nile zaa nane pia anaishi na mwanamme mwingine ambaye nimezaa Mae mtoto anaitwa Kuma na baba mtu anaitwa selemani nifanyeje ili na mimi niwe na mwanaume nimechoka kuwa single
Bro mm nlikua naomb uje utupe darasa la herufi znazo fanana wakioana je kitu kizuri
Je Jna L wakiona inakuaje
Kuna madhara gani mwanaume mweny Jina la R akioa mwanamke A, M nisaidie kaka 🙏
Je unaweza kuowana kama sayar moja yaan kama h na h inaweza owana?
Na je kama wote nisayari Moja munaweza kuendana Kam ni sayari yaudongo wote
N na z hawaendani
Wanaendana
Swali liko hapa je mie nimeowa mwanamke akiwa na jina la kikristo Kwa mfano anaitwa Cristina au caroline nikamslimsha akaitwa zainabu au leila je itafaa?
Umeambiwa jina la uchangani ndoo linahusika
@@asiakheir8684 no am asking
J na B zinaendana ?🙏
Kaka naom ba Mimi unisaidie mm ni z na mume wangu ni f naomba ni saidie
Nimekupata-vzur-sana-je-kwa-mfano-p-kwnda-kwa-herufi-a-je-watakaa?
Nauliza je JK zina endana?
Mm nilijipa jina R na yangu ya kuzaliwa L
Mimi mama aliniambia wakati nikiwa mdogo niliumwa kidogo kufaaa😢😢 jamani helufi yangu B mpenzi wangu. Ni Z
Umeambiwa kuwa na watu wa maji
Mm j nionawan na herufi gn
Je mwenye herufi F wanaweza kuoana na mwenye herufi R maana nyota moja au sayari moja
Kumbe jina ulilotamkiwa utotoni
✌✌😢❤
Lakini la ukubwani limenivaa Hadi tabia
Lakini mbona waezapata udongo na mtoto au upepo na maji wameowana na wameishi miaka mingi tu hadi uzeeni na wasichane Ila ugonvi upo Sasa hiyo uwa ni kwa nn maana umesema kua udongo na moto haziendani. Unacho Sema ni kweli Ila sababu ni nn inayo sababisha wakadumu ki ndoa
Vp mukiwa wote sayali ya maji inakuwaje apo mfano h na p
Futilia
Herufi F inamana hawezi kumuoa mwanamke wa herufi N
Acha utapeli wewe,muogope mungu,kwanini usifanye kazi kwa nguvu zako kuliko kutafuta kwa kuwazulumu watu kwa maneno,mushirikina mkubwa sana wewe,yaani mimi ningeupata uraisi watu kama nyinyi ningewafunga maisha jela,ila subilini tu.
Acha unafiki kwani umeambiwa usikirize
Wacha ujinga ww kwani wambiwa ww
Wewe unae sema huyu tapeli kama huyajui haya mambo kaa kimya
Watu wa F N R waumezao wanakufa mapema hawafik uzeeni hili nimelithibitisha kwa macho yangu asante sana Mwalimu
R
Me helufi yangu Ni V Ila mme wangu Ni B nisahihi au
Umeambiwa wa maji
Kumbe mm hana naweza kuolewa jina linaloanzia D
Sawa
Mimi ni D naweza kuolewa na elufi F