MOYO WA CHUMA PART { 6 }
Вставка
- Опубліковано 29 тра 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Leo wakwanza gozi, khanifa, chado, Amiri, na wengine niliyowasahau like zenu nazihitaji zote
Aya
Kazi nzuri kaka yangu🤝
Ww Hanifa ww unataka tena eti😂😂😂
Gozi una smile flani ivi❤# kazi iko vizuri na inaeleweka 🎉🎉🎉
Nikiiyona nyumba ya gozi naikumbuka PROBLEM by chado master respect
Wewe noma sana gozi.❤
kazi hiko sawa sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Good job from 🇧🇮🙏🔥 tunakupenda san
Kazi yenu ni nzuri Mungu awainue zaidi
Kazi poa sana kaka edelea kutupa kazi nzuri
Nilikua naisubir Kwa hamu jmn movie tam saaana hongera team goZi
Unajuwa kaka hongera sana na mungu abariki kazi zako uzidi kusonga mbele
Mwanangu gozi unajua ww namba moja kixha wanafata kina clam vevo
Munacerewa Sana 😊😊 Ira Nawapenda Sana ❤️❤️❤️❤️
Jameni naomba likes kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kazi nzur sn kkngu Gozi ila naomba utuongezee hat Dakika 5 jmn
From🇧🇮🇧🇮 napenda gisi hanifa n gozi wanachezaga💞💞✌️
Mna2chelesha sana jamani🇲🇿🇲🇿
Kazi nzuri sana my brother ❤❤
Kazi nzuli
Gozi mie Nakupenda sana ❤❤
Gozi ndio wangu kbsaa
Jamani sema munachelewa kutoa tunajua mnafanya kazi nyingi ila mujitahidi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kazii kubwa kabsa mzeee unajua sana🎉🎉🎉
Nzuri sana 🔥🔥🔥
duuh mamb yamekua Moto kipande kinachofat kisichelew
goziii unachelewsha sana kazi
Wow finally
kaka nakukubali sana ila muwe mnawahi wahi kutoa angalau
Gonzi,na,hanifa,kweli,munajuwa,kabisa,mukowalimukabisa,,munanifundishamengi,lakinicado,asiendeleye,kuhalibiya,mapenzi
Kazi nzuri sana ila mnachelewesha
Mashallaah movie zunu nzuri sana mbarikiwe❤❤❤
Kivumbi episode 7
Moto mambo moto hanifa kaganda kupewa habar ya mauwaji
Wow kazi nzuri sana guys much love from kenya congrats❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaaaaaaa bro goziii movies kaliii sanaaa congratulations ❤❤❤❤❤
Wa kwanza leo kutoka Zanzibar naomba like zangu
Hello mi nipo zanzibar tujuane
@Ephrmi aziaThomass mi NKO ,marumbi uroa sijajuwà ww
@@user-br7rz9qm6u nipo kizimkazi
Nipo kizimkazi shamba huku
Hii movie tamu sana hongera sana gozi na hanifa❤❤❤
Big up bro
Wala sio zana
Chado kimeumana
So much love ❤️ from 🇸🇦🇰🇪
Dah noma sana
Kazi nzuri sana Gozi, mungu akupe nguvu na abariki kazi ya mikono yako
Chado wakikutan na gozi wanakuwa htr sana awajawai kualibu shikamaneni hivyo hvyo kak zangu
Hanifa kayabananga yani kimemraba vimbaya.. good job director gozi love you from 🇰🇪 kenya
Kivumbi leo
Kazi nzur more love from kenya 🇰🇪 😍
Nimewahii leo pia mm❤❤❤❤
We unazingua kazi imekushinda
Bado nipo ❤
Duhuu 😢😢 pole sana hanifa
Nawaonaa😮
Love gozi anda hanifa
Kivumbi sasa😅😅😅😅 Anyway tupen episode 7 much love from 🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Nzuri sana ❤🇹🇿
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pamoj sana brother
Kazi safi
Kazi tamu
Kazi nzuri lakin mmetuchelewesha kutuletea muendelezo
Ilikulwaaaaah😂😂😂😂😂😂😂😂
Weee Atari sana ila mnachelewesha shweli sijui mbona
Safiii jaman!
Pamoj wadahu
😂😂😂😂anifa anaitamani hiyo pombe basi tu ww hujui😂😂😂
Kimeumana❤
Kwa mtego huo, lazima Chado ale kitumbua😅
Kazi nzuri sana Gozi ft Chado, ngoma imesimama
Huyu kaka naye mjinga kweli sasa anapedwa pasipo pendwa haujapedqa nni sasa jamani kwani mapenzi nishari jamani mtihani kqeli hhhhhh
❤❤❤❤❤❤❤
love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗 z
Gozzi i like your story bro
Nice brother 💯
Sema gozi ww wjua Big up xana ❤
All the best 👍
Mbona unachelewesha sana
Rudisha akina Rey ,shadow na sonnia
❤❤❤❤❤from kenya
Tunataka mwendelezo
Khanifa mama changuo lako
Hiyo nyumba ya GOZI ,CHADO naye anachezea hemo problem
Mbona 6 imechelewa sana bro
Goz unaongea kwa utulivu sana yaan unaeleweka
Gozi
Chado unazingua
Kaka GOZI 2nataka chuma ch 7 maana ishkuwa inaelekea MWEZ kaka
Mnajua mpk mnajua ten
Hahah tingsingsagwaiman sio poaa
Hanifa acha kujichubua mikono yote ina weusi kama jini
Kwn ww ndiwe unaemnunulia
Mmm long time indeed my bro gozi kazi nzuri sana love u ❤❤❤❤❤❤from burundi🇧🇮
Ila broo unachelewesha movie jamn😢😢😢😢
Kimeumana😢
Jamani hii series tamu ila wachelewa mno
Zuri sn
Kama tangu ianze tuko pamoja gonga like hta kama 10 tu love from 🇰🇪🇲🇴
❤❤❤❤🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
❤❤❤❤❤