MWANASHERIA YANGA ASEMA MZEE MAGOMA na WENZAKE WALIWEKA SAHIHI FEKI KWENYE KESI ya INJINIA...
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- MWANASHERIA YANGA ASEMA MZEE MAGOMA na WENZAKE WALIWEKA SAHIHI FEKI KWENYE KESI ya INJINIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mbona hamjiongezi hao nivibaraka wa watu humo wamewekwa kwaajili ya kuishusha yanga na kuiyumbisha😢 ili ikose muelekeo wanataka angungo la Timu litokee kama huko Sm
Uyo mwana sheli viongozi wa yanga mjiongeze kesi zote zinamshinda za kina morisoni alituahidi mazury tu co kabisa tafteni mwana sheli ambae Yuko serious kuipambania yanga yetu
And what if Mahakama, ikakataa Maombi ya wanasheria wa Yanga😢...
Kesi ya kugushi haitofautiani na kes ya uhujum uchum. Hao wameyakanyaga
Hawa wazee ndohaohao wako hata ndani ya ccm ndowanakwamishaga maendeleo nandowanataka yanga isiende mbele
Huyo mzee huu mwaka hataumaliza
Wanaona yanga Hina maendeleo mazuli sana
Hao wazee wamebisha hodi magereza,kwa kutengeza ushahidi wa uongo
Mpeeni mzee magoma awe Rais,halafu mupigwe 30 Kwa bila na mtani😂
Mwaipopo kama mwaipopo