NDARO KITUONI/MHAYA AMSHTAKI YOMBO MSUKUMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 290

  • @ndarotz742
    @ndarotz742  2 роки тому +128

    ASANTENI SANA NDUGU ZANGU KWA KUENDELEA KUNISUPPORT .....USISAHAU KUSUBSCRIBE, COMMENT NA SHARE

  • @festussostenes5460
    @festussostenes5460 2 роки тому +18

    Kijana mwenye njaa kama huyu siwezi kuharibu gypsum yangu... Ningemshoot 😄😄😄

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 2 роки тому +37

    🤣🤣🤣😂 huyu mama kanifurahisha anaongea kiswahili kama cha mama mkubwa

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 роки тому +6

    Ila huyu mama ni number one😀😀😀👏👏👏👏 ndaro team yako kiwango cake Kiko juu sana

  • @asalligoasal4294
    @asalligoasal4294 2 роки тому +24

    Kaz mzur sana, duuuuh risasi ya 5000 😂😂😂😂😂👌

  • @frolianrevelian9782
    @frolianrevelian9782 2 роки тому +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣#NDARO , , Ulitaka kuzinguaa kwa #Kicheko pale #Mwizi aliposema #Mlinzi analala huyoo, , , Semq umepotezea kiainaa..Ila kazi nzurii 👍👍👍

  • @wiltonexon6003
    @wiltonexon6003 2 роки тому +8

    🤣🤣🤣🤣🤣ati kwan na kabila nimeibiwa daah! Finest COMEDY

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 2 роки тому +29

    Ndaro; mama naona unataka kunipanda kichwan
    Mama; mmi naweza kupanda ata puani🤣🤣🤣💕

  • @dicksonbenedict9005
    @dicksonbenedict9005 2 роки тому +27

    Elfu 30! Hujala? Ntakupa laki!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alphoncempomah1601
    @alphoncempomah1601 2 роки тому +15

    Huyu mama hatal kaupga mwingii🔥🔥

  • @kingsheddy255
    @kingsheddy255 2 роки тому +8

    😂😂😂 mama amenivunja mbavu hahaha ndo comedy imenichekesha saaana 2022

  • @withowilliam9057
    @withowilliam9057 2 роки тому +10

    Respect kwako ndaro tangu cheka tu comedy search

  • @magangasaidi468
    @magangasaidi468 2 роки тому +8

    😂😂😂😂😂😂😂😂 atakupanda hadi puani sio kichwani tu duu mko vzr sana ndaro.

  • @yakutitv727
    @yakutitv727 2 роки тому +12

    Akiamungu ndaro kazi unayo leo afande 😂😂😂😂😂

  • @titobitamba3684
    @titobitamba3684 2 роки тому +17

    Kigoma home boy nakubali Kaz zako Kila sku lzm niangalie vichekesho vya ndaro keep it up broo🔥🔥🔥🔥🔥🤝🤝

  • @ibrahimmayige9748
    @ibrahimmayige9748 2 роки тому +8

    Dah nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mbebesisilayo2511
    @mbebesisilayo2511 2 роки тому +2

    Huyu mama ni bonge la comedi anajua sana kuvunja mbavu zilizo taitiy

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 2 роки тому +3

    Ndaro huyo mama ukikaa nae utauza saaaaaaan nimempendaaaaaaa

  • @poisondaga4984
    @poisondaga4984 2 роки тому +21

    😂😂😂 nakubali ndaro!!

  • @zuriathabdallah9492
    @zuriathabdallah9492 2 роки тому +16

    Naishi masaki ya nyuma😂😂😂😂😂😂😂

  • @anthonbudoda3420
    @anthonbudoda3420 2 роки тому +16

    Ndaro mbunifu sana 👏👏👏

  • @agostinolunenke8436
    @agostinolunenke8436 2 роки тому +9

    Kaka ndaro aiseeee umetisha kaka tuko pamoja

  • @allyabdi6165
    @allyabdi6165 2 роки тому +10

    Movie ya Ghajini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dahhhh kudadeki nimecheka sana

  • @Ludra_maja
    @Ludra_maja 2 роки тому +9

    Bona kama unacheka kweli sasa 😁😂

  • @hermandaudi9777
    @hermandaudi9777 2 роки тому +13

    Mama umetsha kabila lang linatshaaa🥰

  • @credo7837
    @credo7837 2 роки тому +20

    Mama kanifurahishaa🤣🤣🤣

  • @jeybullaz9323
    @jeybullaz9323 2 роки тому +24

    😂😂😂Mama mawigi noma sana sanaaa,,,🙏🙏god bless u mom

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 2 роки тому +1

      Ndio kumbe mama ma wigi nilimsaau apa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 2 роки тому +14

    Daa huyu mama safiiii so fàr I like this combination

  • @jedyflavour8173
    @jedyflavour8173 2 роки тому +23

    You guys made my day

  • @jedyflavour8173
    @jedyflavour8173 2 роки тому +10

    Ndaro yo the best brother

  • @juliethkissura7910
    @juliethkissura7910 2 роки тому +10

    🤣🤣🤣🤣mama mawigi daah

  • @jdizzy562
    @jdizzy562 2 роки тому +11

    Ndaro unatak kitonga 😆

  • @deviskalokola03
    @deviskalokola03 2 роки тому +2

    Mama uko vizuri sana isee unaupiga mwingi

  • @106skippersavage2
    @106skippersavage2 2 роки тому +4

    Sema mwanang uzalendo umekushinda ukacheka asee😅😅😅😅

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +7

    Shomile from for Bat no cozy 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @victorrespiciusmugizi9706
    @victorrespiciusmugizi9706 2 роки тому +2

    Kwani kabila limeibiwa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rudo128
    @rudo128 2 роки тому +10

    Hahahh😁😁ila Ndaro doul u're so fan

  • @Astoe0
    @Astoe0 2 роки тому +4

    Yombo sio mwizi hajaiba huyo, mama kamuekelea tu

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 2 роки тому +12

    😀😀😀😀Ndaro is a talent.

  • @mhaaboykigoma7211
    @mhaaboykigoma7211 2 роки тому +4

    Nakubal ndaro unajua sana

  • @aliimmbaga2157
    @aliimmbaga2157 2 роки тому +6

    Hahaha 😂😂😂😂 ndaro nakubal sana @alii ONLINE TV

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 2 роки тому +3

    Duh uyu mama mbali na maswali ya kabila lakini ana kipaji

  • @barbanzahs9444
    @barbanzahs9444 2 роки тому +12

    Ndaro umetisha sana from to Moçambique

  • @MondesWilson-jr7rr
    @MondesWilson-jr7rr Рік тому

    Weeeeeeeeeee mamawewe.unatisha😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KudraJailaan
    @KudraJailaan Рік тому

    😂😂😂😂😂😂 wahay bn kwa sifa hatujamb

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 2 роки тому

    😂 😂 😂 "Huwezi kupanda gari langu, na hayo magwendura"

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅ila huyu mama🙌🙌🙌🙌🙌sjui nisemeje, kaaiesiti kana pancha karudshwe atengeneze aondoke nako

  • @kalizasikumedia3526
    @kalizasikumedia3526 2 роки тому +5

    Hahahah askari anataka kuibaaa🤣🤣🤣

  • @mg_og4185
    @mg_og4185 2 роки тому +16

    Genius ndaro🔥

  • @robertgilbert9453
    @robertgilbert9453 2 роки тому +2

    Ndaro na ngosha na mama mawigi ✌️✌️❤️

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 2 роки тому +7

    Mama anatisha sana

  • @chrisgoe6091
    @chrisgoe6091 2 роки тому

    Ushauli kidogo tafadhari huyu mama anaweza xna au bas tu au acha😁😁😂

  • @abdallahmaguo4644
    @abdallahmaguo4644 2 роки тому +2

    😆😆😆brother ukifanya kazi na yombo
    Mtafika mbali

  • @merinaamosi1143
    @merinaamosi1143 2 роки тому +11

    Mama 🔥🔥🔥🔥

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 роки тому +2

    Ndaro kaambiwa hajaoga, akacheka 😃🤣🤣🤣

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 2 роки тому +4

    Kali sana 😂😂

  • @kulwamwakagali24
    @kulwamwakagali24 2 роки тому +7

    kabila na kuibiwa vinaendanaje??😂😂😂

  • @lucymazengo7729
    @lucymazengo7729 2 роки тому

    Askari twende kwenye point 😂😂😂😂😂

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 роки тому +2

    Kumbe mwenye njaa😂

  • @multazramazan9154
    @multazramazan9154 2 роки тому +6

    😂😂😂😂muhaya jmn

  • @renatusphilibert2699
    @renatusphilibert2699 2 роки тому

    Mumetisha mhaya sio pouw

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 роки тому +12

    Mama katisha

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂 mlizi wake analala huyo

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +3

    Shomile from for Bat no cozy kumbe Amefeli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hamisijulius7426
    @hamisijulius7426 2 роки тому

    Mwizi arudishwe atengenezewe tairi mama hataki dhambi 🤣🤣🤣

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +5

    Mama muhaya noma

  • @duniakashindi211
    @duniakashindi211 2 роки тому +7

    Ndaro😂😂😂

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 2 роки тому

    Iyo mama noma sana, katisha😅😅😅😅😅😆

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 роки тому

    Huyu mama ni noma🤣🤣🤣🤣

  • @philbertmorris6303
    @philbertmorris6303 2 роки тому +3

    Yaani Huyo mama mtani wangu ni kiboko 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @barakakamuga4474
    @barakakamuga4474 2 роки тому +2

    Ndaro amecheka🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lwitikoasa6899
    @lwitikoasa6899 2 роки тому

    Uyu mama hatali sana anajua Sana hahahaha hahahaha

  • @husseinissa1179
    @husseinissa1179 2 роки тому +6

    Mama kaupiga mwingi saaaaaaaaaaana

  • @dekanyaktown.255
    @dekanyaktown.255 2 роки тому +4

    Nimecheka kiboya sana

  • @Dastan36ix
    @Dastan36ix 2 роки тому +4

    Mom you have a big talented ila ndaro upo vizur kaka mkubwa

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +6

    Ndarooo nomaa

  • @DanifordRashid
    @DanifordRashid 4 місяці тому

    Big up stay forward

  • @johanesbenedicto3601
    @johanesbenedicto3601 2 роки тому

    Mmekutana na mama wa nyumban chonka bojooo iweeee,,,,z

  • @waziriibrahim5756
    @waziriibrahim5756 2 роки тому +4

    Nakubali ndaro

  • @angelkavishe5240
    @angelkavishe5240 2 роки тому

    Kagari ka mlinziiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bastianndomba6327
    @bastianndomba6327 2 роки тому

    Wabaya 😂😂😂shikamooooooooo

  • @ladymar_tz
    @ladymar_tz 2 роки тому +8

    🤣🤣🤣🤣et 30 hujalaa???..😆😆🙌

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 роки тому

    Yaani uyu Mama kauwa hatari 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 2 роки тому

    Askari mwenyew hana peni😂😂😂😂

  • @calvinmavunde239
    @calvinmavunde239 2 роки тому +4

    Nakubali

  • @nyalalibuswelu5512
    @nyalalibuswelu5512 2 роки тому

    Dahhh hatari sanaaa hawa wahaya wananichekeshaga sanaaa

  • @schigangermayala7706
    @schigangermayala7706 2 роки тому

    kanda yaziwa combination ...muha msukuma na muhaya

  • @aboubacarykhedra5836
    @aboubacarykhedra5836 2 роки тому

    Wahaya mmezidi,, mnapeleka sifa hadi kituoni

  • @maryboniface4308
    @maryboniface4308 2 роки тому

    Ndaro endeleza kuelimisha daima

  • @maulidimussa2148
    @maulidimussa2148 2 роки тому

    😅😅😅😇😇😇😇😇😇😇😇 noma sana

  • @azammaulid677
    @azammaulid677 2 роки тому

    mama kiwigi ..noma bukoba baraaa muhaya wa senene

  • @djnelly8963
    @djnelly8963 2 роки тому

    👍👍👍👍😁😁😁ndaro

  • @georgegivan7124
    @georgegivan7124 2 роки тому

    Uyo mama ametisha😂😂😂😂😂😂

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому

    Huyu mama nampenda hatareeee

  • @benbaraka527
    @benbaraka527 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂 daaah

  • @walterchilumba8302
    @walterchilumba8302 2 роки тому +2

    Mama anajua kiukweli

  • @FrankMbaga-h1w
    @FrankMbaga-h1w Рік тому

    Ndaro umetisha

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 2 роки тому

    Siti za nyuma zimechanika kava ety
    Aisee huyu mwizi ni noma Ila nimependa hii stairi ya ushirikiano wenu jamani miendelee kuwa wamoja asije mmoja akajiona staa kuliko mwenzie hapo ndio itakuwa mwisho wa talent yake.

  • @jeanneharley9661
    @jeanneharley9661 2 роки тому +8

    ndaro wewe nishida sana

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 роки тому

    Mama ameuvaa uhalisia yuko vzuri sana