- 823
- 662 045
VOP TV TZ
Приєднався 2 лип 2022
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow VOP Tv
Facebook | Voptvtz
INSTAGRAM |Voptvtz
Contact us via number
+255 620 535 768 Au +255 710 138 927

WANANCHI WA TUMBATU WATOA KERO ZAO KWA DR.MWINYI

Переглядів: 1 388
Відео
"SINA DHAMIRA YA KULETA UTALII TUMBATU YAPUUZENI HAYO"(DR.MWINYI)
Переглядів 5187 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
"UKISIKIA MFUKO UNAFANYA VIZURI UNATAKIWA UWE NA TAKWIMU KAMA HIZI"(DR.MWINYI)
Переглядів 2419 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
ACHENI UNAFIK NA UZANDIK MNAYOYASEMA NI UONGO MTUPU
Переглядів 1,1 тис.9 годин тому
ACHENI UNAFIK NA UZANDIK MNAYOYASEMA NI UONGO MTUPU
WANANCHI WA KIBOJE WAMPA MITANO DR. MWINYI/MASAMAKI YETU YALIKUWA YANAOZA NJIANI.
Переглядів 4329 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
YUSRA WA MASHAIRI AMUINUA MAMA MARYAM MWINYI
Переглядів 6 тис.12 годин тому
YUSRA WA MASHAIRI AMUINUA MAMA MARYAM MWINYI
"VIONGOZI WA CCM NI MAFUNDI WA KUDANGANYA"(MHE. OTHMAN MASOUD)
Переглядів 7 тис.12 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
MWENYEKITI WA ACT OTHMAN MASOUD OTHMAN AMVAA DR.MWINYI.
Переглядів 1,8 тис.14 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
NEEMA YA SAMAKI YASHUKA ZANZIBAR.
Переглядів 78214 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
ILE AHADI ILIYOAHIDIWA SASA IMETIMIA KWA VIJANA WA MAKACHU
Переглядів 73614 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
"TUYALINDE MAADILI KATIKA JAMII ZETU"(DR.MWINYI)
Переглядів 8316 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
WATOTO WANAOZALIWA NA KASORO YA KIMAUMBILE WAENGEZEKA ZANZIBAR.
Переглядів 19216 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA
Переглядів 1,5 тис.19 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
HAKIKISHENI WAGENI HAWAINGII KIHOLELA"(DR TULIA)
Переглядів 24119 годин тому
KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI VOP TV ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri Subscribe sasa ili uwe wa mwanzo kupata Taarifa na mambo mengi mazuri. Follow VOP Tv Facebook | Voptvtz INSTAGRAM |Voptvtz Contact us via number 255 620 535 768 Au 255 710 138 927
"UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII"(DR.MWINYI)
Переглядів 141День тому
"UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII"(DR.MWINYI)
BIASHARA ZILIYUMBA/HIZO NI CHNGAMOTO ZA WAFANYA BIASHARA WA FORODHANI BAADA YA KUFUNGIWA KWA MAKACHU
Переглядів 2,8 тис.День тому
BIASHARA ZILIYUMBA/HIZO NI CHNGAMOTO ZA WAFANYA BIASHARA WA FORODHANI BAADA YA KUFUNGIWA KWA MAKACHU
MAKACHU RASMI KURUHUSIWA NA MAMLAKA YA MJI MKONGWE.
Переглядів 3 тис.День тому
MAKACHU RASMI KURUHUSIWA NA MAMLAKA YA MJI MKONGWE.
"ACT ACHENI PUPA NA PAPARA MUSIINGILIE KAZI YA JESHI LA POLISI"(MBETO)
Переглядів 2,5 тис.День тому
"ACT ACHENI PUPA NA PAPARA MUSIINGILIE KAZI YA JESHI LA POLISI"(MBETO)
"NISINGESEMA HIVI NINGEKUFA KINYWA WAZI"(MHE IDRISSA KITWANA)
Переглядів 435День тому
"NISINGESEMA HIVI NINGEKUFA KINYWA WAZI"(MHE IDRISSA KITWANA)
WAUMINI WA KIKRISTO WAWASHUKURU MAMA SAMIA NA DR MWINYI KWA KUWAPA MILIONI35 ZA SKUKUU YAO.
Переглядів 317День тому
WAUMINI WA KIKRISTO WAWASHUKURU MAMA SAMIA NA DR MWINYI KWA KUWAPA MILIONI35 ZA SKUKUU YAO.
"NAKUSHUKURUNI KWA SUBIRA ZENU"(DR.MWINYI)
Переглядів 1,3 тис.День тому
"NAKUSHUKURUNI KWA SUBIRA ZENU"(DR.MWINYI)
NILITAMANI NIJE NA JEMBE HAPA"(CDE KAWAIDA)
Переглядів 25314 днів тому
NILITAMANI NIJE NA JEMBE HAPA"(CDE KAWAIDA)
SERIKALI ITAENDELEA KULETA MAGEUZI KWENYE MAENDELEO.
Переглядів 39514 днів тому
SERIKALI ITAENDELEA KULETA MAGEUZI KWENYE MAENDELEO.
MKUU WA WILAYA AWAPA SIKU 3 WATU WA MAKACHU KUPIGA TENA.
Переглядів 5 тис.14 днів тому
MKUU WA WILAYA AWAPA SIKU 3 WATU WA MAKACHU KUPIGA TENA.
WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU AJUMUIKA NA VIJANA WA CCM KULA BIRIANI.
Переглядів 12614 днів тому
WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU AJUMUIKA NA VIJANA WA CCM KULA BIRIANI.
DR.MWINYI AWATOA USHAMBA KWA SWIMMING POOL LA KIMATAIFA
Переглядів 95214 днів тому
DR.MWINYI AWATOA USHAMBA KWA SWIMMING POOL LA KIMATAIFA
WAKIRI MAKOSA YAO/WAUMINI WA DINI MTUSAMEHE/TUSAMEHENI TUMEKOSA.
Переглядів 15 тис.14 днів тому
WAKIRI MAKOSA YAO/WAUMINI WA DINI MTUSAMEHE/TUSAMEHENI TUMEKOSA.
BREAKING NEWS:WAPIGA MAKACHU FORODHANI WAZUA BALAA.
Переглядів 3,2 тис.14 днів тому
BREAKING NEWS:WAPIGA MAKACHU FORODHANI WAZUA BALAA.
T7😊😊
Muunge mkono ww na mkeo cc hatuna haja nae huyo mtalii
faida uliyoipata amani kweli ww
Mungu mkubwa tutafika tuuuu
Kweli kabisa
Miaka 60 mumeutenga kuibeza na kuizarau leo mnajifia skul ati miaka 60 bada uhiru tunazungumza huduma za lazima kwa kujivuna .
Kwani hizo fedha za Mwinyi.? Wee jenga hadi ikulu hupati kitu Tumbatu
Watumbatu ni sawa na Wapemba hao. Haambulii kitu.Tumbatu mwinyi
Tunaiombea ccm Michele uzidi kushuka bey
Wewe. Pungiii. Haunakitu. Kichwani
❤❤❤
Wazee wanazeeka kwa kutangulia wanakuja Vijana
Aibu khasaa kusema skuli ya ghorofa mmekua km washamba wa zanzibari wakati ni wastaarabu 😅 semeni kumejengwa skuli nzur yenye heshma. Naskitika kwann kumechelewa kujenwga skuli miaka 60 naa bado tunazungumzia skuli na bararara
Naila mohd kwaio unataka vp wewe km wewe
Kabla ya uongozi wa Rais Hussein Mwinyi hebu niambie kulikua na Skuli Bora za ghorofa ngapi au mahospital bora mangapi hasa kwetu Tumbatu na mkokotoni? Acheni ushabiki mbovu jifundisheni kushukuru kama wasiseme skuli za ghorofa wafundishe waseme nini?
@Shamshuu-z6l jamani sms yangu ukisoma inajitosheleza kwa kila kitu bila ya mtu kujibiwa ila hamutaki tuu kuifahamu km ulivosema miaka yote hakuna skuli yaa maana ilojengwa nakunga mkono ndio nikasema naskitika kuchelewa kujenwga kwa skuli nzuri yenye heshma kwa muda mrefu miaka 60 naa bado tuko kwenye skuli wakati sasa hivi tuzungumzie maendeleo mengine makubwa zaidi.
@ oooo Okay hapo nimekuelewa waajiriwe waalimu wazuri na Madaktar kuendeleza maendeleo ya nchi
Haaa milimbukeni wa majengo wanataabu
Hamna kitu vichwani😅😅
Km hupend ccm hama nchi
Waruguru wenziwe hao hatutashangaa.
Khamis seif inaonekana ww nimgeni hapa visiwan zanzibar ,soma hist utajua jibu lahilo suala lako
Sema sera ukipata utaifanya nini Zanzibar.ila kumbuka Zanzibar watu wemeengezeka kutoka pemba na bara njaa kali hakuna viwanda.au wewe muungano Tu ndio utatushibisha
Basi kufanyike mdahalo wagombea uraisi mkutane wewe na othman masoud kujadiliwe kidg Kama wewe msema kweli
CCM TUMECHOKA NA MAISHA MAGUMU
Kama tunaweza kukusanya bilioni mia 6 kwa miezi mi2 kwanini tuna kopa?
Maendeleo ya Zanzibar ndio muhimu tuache mambo ya vyama visivokua na faida yeyote ile turudi kama enzi za Mwalimu JKN kura ya ndio au sio tusitukanane wala tusilumbane tuondoleeni hii njaa kwa masikini tu akiwa Khamis au Juma kwa masikini ni yale yale maendeleo ndio tunayo taka sisa za ugomvi hazina tija
Sijida kubwa tu ila
Dah mtihani Wallah
Maalim seif moja y makubaliyano yenu kujengwa soko la kimataifa na mlikubaliana ikwe kwerekwe wajenzi walikuwa moja ya kampuni y kichina mlikubali ramani y mwanzo ilikuwa kweli iwe soko la kimataifa ila mkakatisha mkawaeka vikosi vyenu lengo mzile wenyewe pesa hizo z mradi mkubwa matokeo yke mmejenga vile simple tu halina hazi l kimataifa
Duuu Kwan ushuuz huu ulioandika 😂😂😂 Bora ukatwe kichwa uwekewe boga tujue .... Akili za bogas tu
Mi nlijua deni limeisha
😂😂
Mi nlijua deni lishaisha
Mtangazaji mzuri ila tambo zake zinapitiliza. Anatakiwa atuletee wenyewe badala ya kuwatayarisha mpk wanasema yasiyo halisi. Kwa mfano huyo anayesema "mm nitampigia kura khamsini, anazipata wapi wakati utaratibu ni mtu mmoja kura moja? Au ndio inathibitishwa kuwa mgombea wa CCM hupigiwa kura miamia? Aloona muandishi guru SALIM SAID SALIM huku Zanzibar kura huzaa.
Mtangazaji wacha ujinga
Murongooo mbna tuna njaa??
Ww ni munafiki sana lkn Allah yupo atakutosha
Je uliyafanya yale muliyokubaliana na maalim seif je nani katk yao ni mnafiki ww ndio mzandiki mkubwa hatukutaki unalazimisha tu
Kipigo kweli iyo hajakosea kipo.
Moja kati ya alama za mnafiki ni kufanya ghiyana unapoaminiwa na wew uliaminiwa na ACT(waZANZIBAR )wakat wa kuingia SUK (serekali ya umoja wa kitafa) had Leo hujatekekeza
Ina maana OMO halipwi mshahara na serikali ya umoja wa kitaifa ? Ina maana OMO hapewi Stahiki nyengine na Serikali ya umoja wa kitaifa ? 😂😂😂
😂😂😂 mbona hasusi akaacha nafasi akasema najitoa .... Wajinga ndo wachezewao akili ,
@mwanangusana Hata Mussa alilelewa na firauni
@@adamstour5736-kb6zq hata ibilisi alikuwa kwenye kundi la malaika pia au hujui ?
@@adamstour5736-kb6zqhata na abuu jeheli alikua kwenye zama hizo hizo za mtume ...hata uyo na yeye anaweza kuwa ni Abuu jeheli baba wa ujinga 🤣🤣
Mfenesin
Uyo mtoto apumbazwa kw kupewa shat ya kijanii ccm kesho kwa mungu n motoo mumeuwaa sanaa kisa madakaa
Ana amani gani uyo uyo Hussein alitupigaaa mno wakat wa uchaguzi ety apewe urais nakumbuka tulipingwa machoz daah nyiny cccm naawapia hilki chma kesho kwa mungu motoo wa jaham utawahusu tok niifaham ccm ckuwah kuona imeshinda miaka yoote daamu ibwagike mwaka huu usipige kura uko mukae tut
Musijitie vyama vyingi kueni tu n ccm tu jamani tena musipige kura uko akae tu maan njaa tu uko Zanzibar pumbavu mtot kisa pesa😢 akae tu muzid kufa n njaa mijengo t njaa Kali Ile kupata kazi ujitie ccm ndio upate kazi loooh mungu awahukumu ccm kwa kuuwa watu cio km waipend ccm wanatafuta kijio 😭😭😭😭
Nakumbk mama Ang alisimamia ktk kupiga kura anasema sefu kashinda ccm walirudia teen kura upya teen walimu ndio mbil mbil wanatia
@@AllyRashidy-km7sr moto na pepo ni kazi ya mungu acha kutowa fatuwaa kma moto utawapata waovu wote mpaka wa act au unafkiri act ndio cha ma cha allah ?
😊
Nawauliza wana ccm inakuwaje ccm kuhusika na mapinduzi ya znz ccm imezaliwa tarehe 5/2 1977 mapinduzi ya znz yamefanyika tarehe 12/1/ 1964 maana tumechoka kudanganywa
Ukitoka kwenye kundi la wajinga ndo utaelwa imehusika vip na Kwa nn ishehereke mapinduzi na hasa kwakua mapinduzi ni ya Kila mwananchi je jiulize anaesherehekea alishiriki ,kwani ww kwenu ulikuwa unakuta kula je ulikuwa ukishiri kutafuta au unakula t
Waliofanya mapinduzi wengi wao walikuwa ni afro shirazy party baadae wakaivunja na kuzaliwa ccm 1977 kwaiyo ccm wana kila haki ya kuhusika na mapinduzi ya zanzibar maana ni chama kilichotokana na wazazi wao sio kama vyama vyengine vilivo zuka kuanzia 1992 kama timu za mpira wa midodoni😂
Soma kijana historia ya nchi yako
Asome sana tu
Amakweli Wazanzibari wapumbavu wameuza mamlaka yao na utu wao kwa madaraja na magorofa
Ukiwemo na ww mpemba mkubwa
@@KhamisSeif-t3d acha upemba njaa uo mamlaka kamili ndio nini na yana faida gani na maendeleo yako ?
Kwani mawazo yako unafikiri kila mpemba ndio hawapendi ccm hata Unguja wapo ambao hawaipendi CCM,kwa hiyo acha ujinga wako kazi badala ya kuambiwa upeleke cheti cha skuli au chuo wanajadili anakadi ya ccm ,watu wanapokuwa wanawachukia kwa mambo ya kijinga kama hayo .na wewe unalijua hilo.
7
Kama nyinyi mnaimani nayo CCM basi sisi hatuna imani nayo maana hao ni wauwaji number 1 ila Mungu anawaona
Nashangaa ww hujafa na una nguvu ya kuandika comment sasa sijui uwaji huo umefanyikaje acha chuki ,a kipemba ww
Mpuuzi tu uyu
Uliuliwa wewe au😂😂😂 kujitafutia zambi za kusudi
Sasa nyie ndio wenye mabiasha na magari na hayo yaliotengenezwa ndio wengi miongoni mwa wapinzani ndio munayoyatumia
Wewe je
Allah ndie mwenye kujuwa la leo na kesho wao wanajipangia ila mungu ndie anapanga zaid
Kama mnavyopanga nyinyi 😂😂😂
Hao wanatisha watu tu washaona marahii nikuabika😂😂😂
Mitano tena Mwinyi
Na wewe pia upewe mitano pumbavu we
Shukran
Dhamira ya kuwaunganisha Wazanzibari kwa ccm haipo haiwezekani ata thamni ya uhai ya binaadam haijulikani
Na wao watapigwa na Allah anatosha kwa kipigo chake ndio kizuri zaidi
Allah anajua hata yaliyomo kwenye nafsi zetu pia 🤣🤣🤣
Dah inasikitisha sana
Naona kz zenu da rayyan
vop angalieni vichwa vyenu vya habari
Kuna shida gani hapo acheni ushabiki wa kijinga na kutisha watu