LISSU ajibu mapigo amvaa MBOWE, amtaja ABDUL na kufichua tusiyoyajua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @illomowerner7690
    @illomowerner7690 День тому

    Mtasubiri sana kufikiria CHADEMA itakufa, au itagawanyika, hamtafanikiwa kamwe, tutapambana sana kuelekea uchaguzi wa serikali mwaka huu

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 3 дні тому +4

    Huyu anafaa sana lissu hatakagi ujinga Yuko vizuli

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 дні тому +1

      Wewe ndiye mjinga hujui unachosema. Ni mazuzu wa kudanganywa tu.

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 дні тому +1

      Tundu Lissu ni mamluki na mpenda vyeo na vurugu. Historia itawaamua CHADEMA mkiendelea na mhemuko na jazba isiyokuwa na maslahi kwa CHADEMA.

  • @FrankMusoma-n7b
    @FrankMusoma-n7b 3 дні тому +2

    Ni yeyeeeeeeeee mwamba uyu apa

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 День тому

    Lissu hawezi kukiongoza chadema. Hana busara. Mbowe anashinda na anafaa kuwa kiongozi

  • @philmonsanka3903
    @philmonsanka3903 3 дні тому +1

    Hakika hitaji la wakati ni mtu wa kaliba ya lisu

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 3 дні тому

    Lissu umetufungua,,tusiyo yajua tumeyajua kumbe mbowe,,huyu mzee mbowe anatamaa

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 3 дні тому

    Bendera chuma, mlingoti chuma ❤❤❤

  • @hassanthabit3726
    @hassanthabit3726 День тому

    Wajumbe co watu USIJIMWAMBAFAI NA WAJUMBE.

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya День тому

    LISU kafura kama chatu,hana busara, LISU mpumbavu shida madaraka,tamaa ilimpoza mzee Fisi, LISU anatamaa ya Madaraka,mroho wa madaraka.

  • @AlsonMoses
    @AlsonMoses 3 дні тому +1

    Tuko pamoja lisu

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega 3 дні тому

    We lissu huwezi kuwa mwenyekiti hata siku moja

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu День тому

    Nimegundua kwa nini Lissu anazimudu sana interview ni kwa sababu hatengenezi majibu. Yeye hunyoosha kama yalivyo yakukele yasikukele.

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 дні тому

    Chama kimekwenda na maji

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 3 дні тому

    Siasa hakuna uadui wa kudumu,mbowe atashinda lisu

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 3 дні тому

    Uchagu,I wenu usimamiwe na viongozi wa dining wa kikristo na waisram ndio wawe waeesabu kura pupate mtu sahihi kama tundu liissu

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 3 дні тому

    Ww na magufuli wote nyny ni maredical

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 3 дні тому

    Huyu ndiye lisu ninayemfahamu..alafu anakuja mjinga mmoja aanasema hana busara..Huyu ndiye kiongozi tunayemtaka kwa uhai wa chadema

  • @MerryPoppyFlowers-xz3bu
    @MerryPoppyFlowers-xz3bu 3 дні тому

    Usiongee sana maana muda mwingine sisi wente akili zetu tunazidi kukuona ni mtu wa maneno mengi ambayo mwishoe yanakosa busara.

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 3 дні тому

    Kwa mlivokuwa disorganized ndo tuwape nchi....thubutuuu!mtabaki kuwa wapinzani mpk mwisho wa ulimwengu

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 дні тому

      Kama Kuma la mamako ndio linatoa uongozi wa nchi sawa.

  • @totonata5384
    @totonata5384 3 дні тому

    Tuambie zaidi ishu ya Abdul???😂😂

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 3 дні тому

    Kula chuma hicho Mwenyekiti mpya

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 3 дні тому

    Kwani huyo anaeambiwa ni mfanya biashara ana biashara gani baada ya birs kuvunjwa

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 дні тому

    Na akipita tunamfungulia mashtaka na kesi imesha andaliwa

  • @MerryPoppyFlowers-xz3bu
    @MerryPoppyFlowers-xz3bu 3 дні тому

    Hivi lisu amekuwa mtakatifu tuu baada ya kuamua kugombea uwenyekiti?acha kumchafua mwenzio hizi ni siasa tuu na kuna maisha baada ya uchaguzi.Sasa wewe ni mwenyekiti gani ambaye unaonekana kumshambulia mwezio kiasi hicho?ebu uza sera bwana acha malumbano.

  • @DeborahMgedzi
    @DeborahMgedzi 3 дні тому

    Tunaomba sera badala ya maneno yanayokiuta utu. Siasi zinapita.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 дні тому

    Bila lisu mboe potea sio

  • @AziCure
    @AziCure 3 дні тому +1

    Mda wa mafwedha umefika,😂
    Alianza silaa kuw ndiye, sasa Lisu
    The MBOWE naye hatak kutoka
    Time will tell!
    Wapigania upigaji😅😅😅

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 День тому

      Akili yako AziCure ni ndogo sana, CHADEMA sio mtu, ni taasisi, sio Slaa, sio Lissu wala Mbowe, ni taasisi.
      Anyone fitting and able can be a leader, hii CHADEMA sio kama vyama vingine vya upepo

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 3 дні тому

    yani lisu ni mkweli ndouzuri wake

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 3 дні тому

    Mwamba huyuuu

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 3 дні тому

    Wewe jamaa wa jambo leo mbona umeomba poooo hahahahahahaha

  • @totonata5384
    @totonata5384 3 дні тому +1

    Myamwongoza nani wakati nyie wenyewe hamjui mnachokifanya. Mnagombea madaraka?? Wananchi wanaongozwa na watu waliotayari kuwahudumia na si kulumbana. Kamalizeni malumbano yenu kwanza ndo mje kutujulisha