Kaka Joel hii nyimbo nimeisikia kwenye harusi ya rafiki yangu ndiyo entrance song aliyo ichagua, huezi amini maisha ya huyo brother umeyaimba in that song and God ameminuaa sanaaaa zaidi ya matarajio ya walio kuwa wana mdhihaki, walio kuwa wana muona si kitu… Hongera sana kwa utunzi unao ongozwa na the Holy Ghost. Hii nyimbo ime mfaa sanaaaaaaaa Mungu kamfuta machozi na ame achilia mlipuko mkubwa 🌋 kwenye maisha ya kijana huyo.
This is a Testimony song. Reminding me of the verse that says "Be still and know that I am God." I hope we now sing this song in our Weddings, Birthdays, Graduations, Promotions,Baby Showers,, Baptisms and even our promotion to glory after doing Gods work.
Huu wimbo nimeuangalia nkalia saana yaani nmekumbuka pale MUNGU aliponitoa hakika huu wimbo ni ushuhuda wa maisha yangu,,,watu walinitabiria mwisho lakini MUNGU akatangaza mwanzo katika maisha yangu.SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE
Huu wimbi umenibariki sana Joel..May God continue to bless you uandike muziki mzuri.. I've been listening to this song since jana and my testimony ni kwamba I was stuck in finding the best business strategy to go with, lakini huu wimbo nimeimba Leo na jana and I can say I know which approach to go with.. Asante Mungu
Wakwanza naomba like hata chachee
Naomba unipitie
Ahsante mdogo wangu kazi ni njema
@@Mggiecharleskuiusijali brother
Kweliiiii bila mkono wa mungu hatuwezi chochote
@@meshackmmary3117 namimi uki jisikia tu nifuate . Asante
My fellow Kenyans let's gather here and celebrate this great tune 🔥 🔥 🔥
Mwalimu wa math 😅
We are grateful Lord for even the small wins in life
Si kwa nguvu zetu .. lord is Good
@@roseanne5475 🤣🤣
Hapa ni wapi to the world 🌎🌎🌎🌎 gonga like tukisonga much love from Kenya
🇰🇪
Kaka Joel hii nyimbo nimeisikia kwenye harusi ya rafiki yangu ndiyo entrance song aliyo ichagua, huezi amini maisha ya huyo brother umeyaimba in that song and God ameminuaa sanaaaa zaidi ya matarajio ya walio kuwa wana mdhihaki, walio kuwa wana muona si kitu…
Hongera sana kwa utunzi unao ongozwa na the Holy Ghost. Hii nyimbo ime mfaa sanaaaaaaaa Mungu kamfuta machozi na ame achilia mlipuko mkubwa 🌋 kwenye maisha ya kijana huyo.
This is a Testimony song.
Reminding me of the verse that says
"Be still and know that I am God."
I hope we now sing this song in our Weddings, Birthdays, Graduations, Promotions,Baby Showers,, Baptisms and even our promotion to glory after doing Gods work.
Amen!
Oh yeeees!!!
Amen
Amen
Hapa ni wapi????? mm wa kwanza like zangu❤❤❤❤❤❤ Big up broo Lwaga🙏🙏🙏🙏🙏🙏
By strength shall no man prevail. The horse is prepared for battle but VICTORY belongs to the LORD 🔥🔥🔥🔥
SO WHO SAID WE WONT GET ANYWHERE ? WHERE ARE THOSE WHO SAID IT WON'T HAPPEN ? But alas God Almighty got us where we are now by HIS mighy hand
One of my favourite Gospel songs for 2024, this is a Timeless Hit! Much appreciation from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapa ni wapi eeeeishhhhhh si kwa nguvu yangu ila kwa nguvu ya Mungu🎉❤❤❤
Na mpenda mungu kwa responsability yake, naitaji like zenu kwaku muchukuru mungu bali si kwa nguvu zetu...
Huu wimbo nimeuangalia nkalia saana yaani nmekumbuka pale MUNGU aliponitoa hakika huu wimbo ni ushuhuda wa maisha yangu,,,watu walinitabiria mwisho lakini MUNGU akatangaza mwanzo katika maisha yangu.SIFA NA UTUKUFU NI KWAKE
huu wimbo nimeupenda mpaka na kufa kufa..mwalimu wa mathe hapa ni wapi
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ni kwa nguvu za Mungu si kwa nguvu zetu🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Joel Lwaga fans gather here!!!!!
This one beats nafasi
Hapa ni wapi kweli Mungu ni mkuu❤❤🎉
God is not a respector of persons 🙏 its by his grace we are standing 🎉Indeed -HAPA NI WAPI ! Joel may the Lord continue to use you for his glory ❤
Sio kwa Nguvu zangu bali ni Kwa Nguvu na Uweza wa Mungu pamoja na neema ilioachiliwa na kibali Chake 🙏
Kwa kweli ni neema za Mungu ahsante Yesu 🎉🙏
Amen amen Amen papa Joel lwaga Mungu akubariki sana 🙏🙏🖥️📺🎹🥁🎸🎻
Psalms 124 is amplified in this song beautifully. Ni God Manze!
Toto la mama Joel, Umeua sana, take your 🌷💐
Atujigambi tusingeweza bila ya mkono wa Mungu 💪🙏🏾✌️
Bassist did justice to this song!!!! Eii!!! Utukufu tu!!!!🤭🤭🤭💯💯💯💯💯
Good tune,a fun from Uganda 🇺🇬 may GOD bless you Mr.Joel Lwaga
Joel God bless you,...mark frm kenya
❤❤wimbo mzuri sana...si kwa nguvu zangu n Mungu tu🎉
Joel you never fail SMH my brother aksanti sanaaaaaa
Joel Lwaga huwa unanibariki sana, Mungu akuzidishie. Grippa Music beat iko fireee....baraka tele.
Hatujigambi tusingeweza bila ya mkono wa mungu
MASTER PIECE, JOEL. God Bless
Hapa ni wapi hapa ni wapi si kwa nguvu zetu ni kwa uweZo wa Mungu ❤🙏
Good song 🎉🎉 🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪
Ni kwa neema ya mungu,, nashukuru
Nimeipata nyimbo ya graduation yangu ☺️ bado suit 😂
You and me same group in 2weeks😂😂🎉🎉🎉 can't wait
Mapema ndo best😂
Congratulations to 🎉I just graduated a week ago , thankful to God!
hahah May the LORD go before you AMEN
😁😁😁😁😁😁😁😁😊😊😊😊☺️
This is giving the psalms vibes maana kitabu cha zaburi Ndo my favorite 🙏🏽 HAPA NI WAPI 🙏🏽🙏🏽
🔥🔥Si kwa nguvu zetu ni kwa nguvu za Mungu🙇🏻♀️
👊👊👊Kaz njuli sana kaka joo
Gloory to God tumefika mbali sasa
Wewe ni balaaaaaa whaouh amazing Sana
Nibaraka sana 🙏💐
Huu wimbo unanivutia kuimba kila wakati
Hit song
Wako wapi??? Hapa ni wapi💪🔥🔥
Si kwa nguvu zetu ni kwa nguvu za mungu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ooooh Wow! It is nice song of the year i like much and I not tired to replay more. Surely be blessed Man of God Joel Lwaga.👏👏👏👏🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Huu wimbi umenibariki sana Joel..May God continue to bless you uandike muziki mzuri..
I've been listening to this song since jana and my testimony ni kwamba I was stuck in finding the best business strategy to go with, lakini huu wimbo nimeimba Leo na jana and I can say I know which approach to go with..
Asante Mungu
Hatujigambi. Tusingeweza bula ya mkono wa MUNGU
Hapa ni wapii❤❤
Haleluya nimebarikiwa, @joel lwanga kweli n kwa uweza wa Mungu
Hapa ni wapi,enyi watesi wangu😀
Now I’m in USA ni Mkono wa Mungu kbxa
🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏 hatujigambi.. ni mkono wa mungu
Si kwangu zetu ni kwangu zako Yesu woouh 💃 🙌🙌🙌🙏🙏
Tupo DAR sasa waliosema hatufik tumefik sasa
😂😂😂hadi raha
😂😂😂 yaani kutoka makambako hadi Dar ni MUNGU TUU
Wow🔥 🔥 umenibariki sana na huu Wimbo .
Amazing sana mentor this is fire
Kenya pamoja na Gen-Z tuko apa
God bless you brother lwaga I'm from Kenya your songs give me hope again, Glory to God 🙏
Ni kwa uwezo wa MUNGU😊🎉
Hapa ni waaaaapi... I thank God, He has a great plan
Apa ni wapi,na huliza hapa ni wapi???such a nice song
Ubarikiwe sanaa bro kwakwel ni neema tu ya mungu kufika hapa ❤
Si kwa nguvu, uwezo wetu, ni kwa nguvu, uwezo na mkono wa Mungu 💯
I will always testify to the world of What GOD Has done in my life. Hallelujah. Thank @Joel Lwaga for this great reminder.
Am blessed this song through TikTok......
🎉❤❤ good song wak wap waliosem sitafika mbal ni kw uwezo wa mung nk college sijidai nkiwa mkono wa mungu
🔥🔥🔥🔥blessed
I'm listening to this as i wait for God to do a miracle in my life 🇰🇪🇰🇪
Amen like wise
I'm blessed 🙌.
Amen 🙏 🙏
Nikifikiria niliyoyapitia mpaka sasa najua mengine nitayashinda licha ya vikwazo vingi,Hapa ni Wapi.
Kazi nzur❤❤
MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI HAKIKA @2024
Such a blessing.. I've listened to it over and over 🎉
Solo g ,bass🙌🙌🎧😭
Blessed my man, JL
Adhukuriwe Mungu aliyenisimamisha ..ningekua wapi mimi Yesu asante huu ni ushuhuda wangu.
Let's go on tiktok...hapa ni wapi???
Haaapaa niii waaapiiii❤
Kaka wimbo ni mzuri 🎉🎉but ukiimba ukifanya live nyimbo zako zote inafaa zaidi 🎉🎉
Huu ni ushuhudu kwa ukuu na uaminifu usiyo kuwa na upungufu wa Mungu❤
Amazing song. God bless you Joel Lwaga
Woooow nshapata wimbo wa harusi❤❤❤😂😂😂
🎉 we Give God all the glory ❤ brother Joel stay 🙏 blessed
Joel, you are one great element in THE KINGDOM. hope to meet you soon.
🎉🎉🎉🎉🎉Asante Mungu
HAPA NI WAPI enyi watesi wangu.. ? ❤❤🎉🎉 ni kwa Neema.. hongera Joel kwa kazi nzuri🤝
Wapi go go go😂😂😂🎉🎉🎉
❤❤❤+254
,hapa ni mahali ambapo Mungu ametuleta,nisingeweza bila ya mkono wa Mungu
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏
Thank you mighty God for sending me to places i never imagined i would one day ever get. All glory and honor goes to you mighty God.
🎉 vizuri sana Mungu akubariki
Hapa nilipo ni kwauweza wa Mungu 😂😂❤❤❤
Sijigambi singeweza bila ya Mkono Wa Mungu 🙌🙌🙌🙌
Ni kwa nguvu za Mungu❤
Bro I am so blessed
♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥. Naomba NIPITIE
Hapa n wapi???ni nguvu za MUNGU t kufika leo
Nimepata wimbo waushuhuda wamatendo aliyo nitendea mungu naatakayo endelea kunitendea
Amina Amina kaka❤❤❤❤❤❤❤❤