Kifungo cha Akili Part 3/5 - Bishop Dr Josephat Gwajima

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @We2k7
    @We2k7 9 місяців тому

    KWELI UNA AKIRI
    Sutu saidiye umeoneshwa
    Barikiwa SALIMIYA MADAME

  • @pastorybahinyuye4876
    @pastorybahinyuye4876 5 років тому

    Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe wanaoshindana nawe wakauliwe Mbali nawe.

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Nimelazwa sasa naamushwa Kwa jina la YESU na amkaaaaaaaaaaaaaa

  • @pendosamson7202
    @pendosamson7202 3 роки тому

    Amina amina kubwa baba

  • @monicahsada1929
    @monicahsada1929 8 років тому +1

    nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu na mafundisho haya....nimefunguliwa kabisa..nimepokea akili ya uuhubiri...nimepokea akili ya utajiri ambao maisha yatashangaza watu wengi, nimepokea akili ya kutenda, na wakati wa kutenda.....nitatumia akili yangu kujiendeleza katika maisha yangu....ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hki nimefunguliwa kiakili sasa

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 роки тому +1

    Mafundisho haya, Safi Sana. Lazima akili yangu ifunguke kwa Damu ya Yesu.

  • @emmahmunyao158
    @emmahmunyao158 4 роки тому

    Amen for the teachings , Bishop Gwajima be blessed

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Akiri yangu yakutimiza ayoyote unatmka Njooooooooooooooo

  • @aminaoman7597
    @aminaoman7597 6 років тому +1

    Amen akili yangu haitachukuliwa kwa jina la yesu

  • @EMChantalG
    @EMChantalG 4 роки тому

    Amen

  • @francisngwale4567
    @francisngwale4567 6 років тому +1

    Kwa jina LA Yesu akili yangu njoooooooo

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Niulize mimi njo najuwa Baba imefungwa 2017 nanunuwa vitabu kanisa 5 nikatakasoma usingizi mpaka mwaka uyu leo iyi saha iyi
    Basi Léo njo Léo
    Aciyaaaaa akili yangu Kwa jina la YESU

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Yangu akiri imefungwa inatumikishwa njooooooooooo

  • @wendomoses8078
    @wendomoses8078 7 років тому +1

    Narudisha vyote Leo kwa Jina LA Yesu

  • @truefoundationmissionminis5951
    @truefoundationmissionminis5951 5 років тому

    Bishop, na ukatukumbuke huku Marekani, tujuwe unakuja lini kwa mkutano wa kufunguliwa, tukahuzuriye. Naishi Phoenix, Arizona

  • @magdalinangussa8643
    @magdalinangussa8643 5 років тому

    Utazani kaniona mm .gwajima nakupenda bure baba yangu umenifungua

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 4 роки тому

    Asante Bishop God bless u Mimi akili yangu naona iliibiwa kitambo sana

  • @jacquilinejoram8199
    @jacquilinejoram8199 5 років тому

    Ni mara ya kwanza nmesikia mahibir yako...kwel wewe ni zaidi ya muhubiri na mwalimu. MUNGU akupe maisha marefu

  • @janeasowaonguta1435
    @janeasowaonguta1435 8 років тому

    Oh yes man of God, I have learnt since yesterday I saw you interview the young and today mateka ya akili naamua kukemea na kupokea akili ya kujua cha kutenda katika jina la Yesu

  • @happyelias4536
    @happyelias4536 5 років тому

    Amen, amen amen sana ubarikiwe

  • @maggiechepkorir7565
    @maggiechepkorir7565 4 роки тому

    Uuuuh! Amen, God is Great!!!

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 роки тому

    💞💞💞💞💞💞🙏

  • @estherwaga1955
    @estherwaga1955 6 років тому +1

    Wow kwa Jina la Yesu

  • @willyjacob9307
    @willyjacob9307 4 роки тому

    💪💪💪💪💪

  • @uwrtvuwrtv3575
    @uwrtvuwrtv3575 5 років тому

    Nakupenda sana gwajima mkuu wa imani

  • @NeemaKyando-d5v
    @NeemaKyando-d5v 8 місяців тому

    Ameen baba

  • @isaacbyaruhanga4369
    @isaacbyaruhanga4369 5 років тому

    Ohh Yesu Ni saidiyee🙏

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 8 років тому +1

    Amen I am so blessing in Lord!! God is great in all life!!😇😇😇 I am a queen😇😇😇😐

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Baba déjà vu

  • @paschaldamian4540
    @paschaldamian4540 7 років тому +1

    lazima tutumie akili alizotupa Bwana katika jina la yesu

  • @honorykwahhay4364
    @honorykwahhay4364 6 років тому

    Amina baba, ubarikiwe sana, mungu anibariki nitumie akili yangu kama mungu alivyonijalia.

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 7 років тому +5

    lazima nitumie akili aliyonipa mungu katika njina LA yesu

  • @raizayusuph1541
    @raizayusuph1541 7 років тому +1

    amina mtumishiiii..

  • @m-pesa9134
    @m-pesa9134 5 років тому

    kweli mchungaji nimegundua na mm akili yangu iko locked.

  • @alicensabimana7293
    @alicensabimana7293 3 роки тому

    Sasa ivi I say my interigence Côme back njoooooooooo

  • @elizabethsimonmapunda7678
    @elizabethsimonmapunda7678 6 років тому +1

    Narudisha akili yangu kwa Jina la Yesu, Amen

  • @loicemaina2356
    @loicemaina2356 3 роки тому

    Njooooo achiaaa

  • @ChrizantPauro-ms8jp
    @ChrizantPauro-ms8jp Рік тому

    Napokea akili kwa jina la YESU

  • @Dottopeche
    @Dottopeche 4 роки тому

    thanks

  • @princessedeleternel2836
    @princessedeleternel2836 8 років тому

    Ameeen

  • @henry1933
    @henry1933 5 років тому

    Who is watching this now; january 28

  • @JumaAmri-y2d
    @JumaAmri-y2d 2 місяці тому

    Naitwa Emma tunawafuata warudishe akili yangu vyote walivyochukua

  • @amiwitu9101
    @amiwitu9101 5 років тому

    Safi sana

  • @barick
    @barick 8 років тому

    Kweli

  • @magdalinangussa8643
    @magdalinangussa8643 5 років тому

    Kwa Maneno haya nimeelewa kitu

  • @lusiachales9195
    @lusiachales9195 2 роки тому

    0

  • @adelenzeyimana8916
    @adelenzeyimana8916 4 роки тому

    ñ8lóo